hayati dkt. magufuli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Mkopo hauwi deni hadi unapoiva na kushindwa kulipika. Magufuli hajaacha madeni, ameacha miradi mikubwa. Tukishindwa kulipa ni sisi, si yeye!

    Vitu vingine ni rahisi tu, Mkopo hauwi deni hadi pale utakapoiva na labda kushindwa kulipika. Mikopo ya Magufuli iliitwa fedha za ndani kwa sababu ilikwenda direct kwenye miradi ambayo upembuzi yakinifu uliofanywa na wakopeshaji ulionyesha italipika ndani ya muda wa mkataba. Kwahiyo tembeeni...
  2. Linguistic

    Mantiki ya hii makala ya Balile ni aina ya mikopo iliyokopwa wakati wa Hayati Magufuli

    Siku zote Miradi ya Maendeleo kwa kanuni za kiuchumi mara zote ama mara nyingi hutumia zaidi concessional loans na siyo commercial loans. ROIs kwa miradi hii huwa inachukua muda mrefu ndiyo maana ushauri wa kitaalam huelekeza mikopo itoke ktk Benki za Maendeleo na siyo za Biashara. Benki hizo...
  3. M

    Balile: Magufuli katutenda, deni la nje lafikia shilingi Trillion 78

    Magufuli katutenda deni la taifa, trilioni 78 Samia msalabani Jamhuri October 26, 2021 Na Deodatus Balile Kazi hii ya uandishi wa habari moja ya majukumu yake ni kuanika ukweli minong’ono inapotawala katika jamii. Kwa sasa kuna minong’ono mingi. Minong’ono imeanza baada ya Rais Samia Suluhu...
  4. Mukua

    Hayati Dkt. Magufuli aliligeuza suala la Wamachinga kuwa mtaji wake wa kisiasa

    Ikumbukwe kuwa wakati wa utawala wake alijaribu sana kucheza na akili za watu, hasa akitumbukiza neno la Watanzania wanyonge. Ni yeye huyu huyu alitoa amri kuwa wamachinga watafutiwe maeneo maalum ya kufanyia biashara zao, na ukweli ni kwamba zoezi hilo lilianza na kukatokea mtafaruku mkubwa...
  5. Mukua

    Hayati Magufuli alikuwa mtawala na siyo kiongozi

    Hayati Magufuli aliamini kuwa yeye ana akili kuliko watanzania wote na ndio maana hata alipodanganywa kwa sifa za uongo Kama sio kumkebehi kuwa anajua idadi ya samaki wote kwenye mito, ziwani, na baharini alibaki kukenua kwa kicheko. Mtawala anapenda sifa usipo msifu una geuka kuwa adui wake...
  6. K

    Rais Samia: Tunaandaa mradi wa kuomba hela za kujenga stendi. Hayati Magufuli asingethubutu kusema kitu cha kujitweza utu wetu namna hiyo... never!

    Akiwa anajibu kero za wananchi kuhusu stendi ya Arusha, Rais Samia Hassan leo amesema "Kuna mradi tunaundaa wa kuomba hela hizi za stendi, tukipewa tuna nia maeneo mengi yawe na stendi za kisasa" ____________________________________________ Magufuli anabiringika kaburini. Tulikuwa tunaambiwa...
  7. OKW BOBAN SUNZU

    Kupitia Sabaya, mmeiona picha ya Hayati Dkt. Magufuli tuliyemlalamikia?

    Tunaendelea..... Katika awamu ya 5 mambo mengi ya hovyo yalifichwa kupitia propaganda mfu za uzalendo. Watu wengi waliumizwa na kudhulumiwa. Kesi za uongo na kubambikiza zilikuwa za kufikia tu. Tuliopewa macho ya kuona haya na wapenda haki tulipiga kelele ikaonekana tunakosa uzalendo...
  8. T

    Ambao hawakumuona Mwl. Nyerere, wamemuona Dkt. Magufuli

    Leo hapa jijini kunafanyika kongamano la miaka 100 tangia kuzaliwa kwa Baba wa Taifa letu, Mwl. Julius Kambarage Nyerere, 1922 huko Butiama mkoani Mara Vijana wengi wa sasa hatukubahatika kumuona Mwl. Nyerere Bali tunamsoma tu vitabuni na kuskia masimulizi kumhusu. Mfano: 1. Kwamba Mwl...
  9. My Son drink water

    Rais Samia, viatu vya Magufuli vimekufaa

    Rais Samia, wala usihofu, hatuoni wapi ambako viatu vya Hayati Magufuli vimekupwaya, unapodai eti havijakufaa hivyo viatu wakati tangu Mungu alipomtwaa Magufuli kila kitu kipo vile vile ndo kwanza unaboresha. Wakati Magufuli akiwa madarakani,Sukari kg moja ilikuwa Tsh3,000,na haijashuka hadi...
  10. J

    Utatu wa Dkt. Magufuli, Eng. Kijazi na Eng. Mfugale katika ujenzi wa barabara nchi nzima tutaukumbuka milele

    Nimepita kwa daladala kutoka Temeke - Lumo jet - Kinyerezi hadi Mbezi mwisho stendi ya mkoa lami tupu sijagusa vumbi. Nikatoka Mbezi mwisho hadi Bunju kupitia Madale ni full mkeka no vumbi. Kwa hakika Magufuli - Kijazi - Mfugale tutawakumbuka daima. Raha ya milele uwape ee Bwana, Wastarehe...
  11. Pozzers

    Jambo lililomtesa Hayati Dkt. Magufuli ni mkataba wa Dowans na Symbion ambao Mzee Kikwete alisaini wakati wake

    Mkataba ile ulisainiwa kww vipengele vya kuifunga Tanesco isichomoke 1: Mkataba ulikuwa inaitaka Tanesco itumie umeme wa Dowans/Symbion kwa Miaka yote, 2: Mkataba ulikuwa umeandika Tanesco watumie au wasitumie Umeme wa Dowans / Symbion wanapaswa kumlipa kila siku ,Kila Mwezi, maisha yote. JPM...
  12. W

    Hayati Dkt. Magufuli anapohukumiwa kwa kifo chake

    Kifo ni tukio la kiasili. Katika imani kadhaa za kidini zina elezea kifo kilitokea baada ya Adamu na Hawa (Eva) kwenda kinyume na mapenzi ya muumba wao (MUNGU). Ndipo Mungu alitamka kuwa tutakufa, au kurejea katika mavumbi. Binadamu wa kwanza kufa alikuwa Abeli. Ambaye aliuliwa na kakaye aitwae...
  13. Mwamuzi wa Tanzania

    Mpaka sasa hakuna mwanaCCM aliyeeleza pesa alizokuwa anagawa Magufuli majukwaani alizitoa katika mfuko gani

    Ni vyema CCM ikalinda heshima yake kwa kutuambia sisi wananchi kuhusu fedha alizokuwa anazigawa Magufuli majukwaani Je, zile fedha zilikuwa zikitoka mfuko gani? 1. Zilitoka katika mshahara na posho za Rais? 2. Zilitoka CCM makao makuu? 3. Zilitoka katika mfuko au akaunti ya Ikulu? 4. Zilitoka...
  14. Red Giant

    Nini kifanyike ili kiongozi asipendelee kwao kama Hayati Dkt. Magufuli alivyoipendelea Chato?

    Ni wazi kuwa rais Magufuli aliipendelea sana wilaya ya Chato katika kupeleka maendeleo. Alijenga uwanja wa ndege wa kimataifa, alijenga hospitali kubwa ya rufaa ya kanda, alijenga chuo cha Veta, alianza kujenga hoteli ya nyota tatu, mipango ya kujenga uwanja wa mpira. Na mambo mengine mengi...
  15. Elitwege

    Miradi iliyoachwa na Hayati Dkt. Magufuli yawatesa mafisadi

    Mafisadi wanahaha kila kona jinsi ya kujinasua na hii miradi ya matrilioni iliachwa na Magufuli na ambayo inaonwa na wananchi kama kipimo cha utendaji kazi wa serikali ya sasa. Bila kukamilika kwa hiyo miradi wananchi hawataielewa hiyo serikali. Mafisadi wanajiuliza wauache vipi mradi wa bwawa...
  16. J

    Kwa namna walioachwa na Mwendazake wanavyotaabika, ni dhahiri wateule awamu hii watajilimbikizia mali

    Kwa namna vijana wa mwendazake walikatiziwa ulaji ghafla kufuatia kifo cha mpendwa wetu, ni dhahiri hawa wa sasa hawatarudia makosa. Ukiwaangalia akina Polepole ni kama vile wanataka kupata uchizi kwa namna walivyonyang'anywa tonge mdomoni. Cheo ni dhamana kwa kweli. Akina Halima James Mdee...
  17. Mwamuzi wa Tanzania

    Hayati Dkt. Magufuli aliwatumia wamachinga ili kujizolea umaarufu wa kisiasa, hakuwa na huruma na wamachinga

    Tuliyasema haya wakati akiwa hai na tutayasema wakati huu ambao hatunaye. Kwanza Wamachinga hawakuzi uchumi wa nchi hii kwa kiwango kikubwa bali wanaukuza uchumi wa China, India na Thailand maana huko ndiko zitokazo bidhaa wanazouza. Serikali ya Magufuli iliwatumia wanyonge kama mtaji wake...
  18. Q

    Siwaoni wana CCM kindakindaki wakimtetea Rais Samia kama walivyofanya kwa Hayati Magufuli

    MATAGA waliojulikana kama ‘Praise Team’ enzi hizo walikuwa mstari wa mbele kusifia chochote alichofanya Magufuli hata kama kilikuwa kibovu. Leo mama Samia kaachwa peke yake akijitetea mwenyewe, hata viongozi kina Shaka hatuwaoni wakimtetea kama tulivyokuwa tunashuhudia wakijitoa ufahamu kwa...
  19. NKWENYE

    Rais Samia na viatu vya Hayati Dkt. Magufuli

    Habari ndugu zangu, poleni na makali ya tozo. Niende kwenye mada moja kwa moja, baada ya kuondoka mpendwa wetu JPM kwa hakika moja ya swali zito lililokuwa liko kwa waombolezaji wote ni kuwa, je, Nani atavaa VIATU VYA baba na vimuenee? Kwa kuwa Mungu ndiye mpangaji basi ikampendeza Mungu kuwa...
  20. W

    Kwanini mnatamani Rais Samia awe Bora kuliko Hayati Dkt. Magufuli?

    Nawashangaa Sana ndugu zangu! Munamdemkia mnoo!! Sote hatujaona fikra au maono ya maza ambayo yanatekelezwa hapa nchini Tozo si maono yake Barakoa na chanjo si maono yake Kesi ya mbowe si maono yake Kuhojiwa Gwajima si maono yake Bei za mazao si maono yake Hivi ni nini kinaendelea nchini kwa...
Back
Top Bottom