Nakubaliana na Tundu Lissu kwamba yeye ndio mdogo kuliko Chadema na wanategemeana.
Ila siyo kweli kwamba mtu hawezi kuwa maarufu kuliko Taasisi.
Mifano ni mingi tu wapo akina Nyerere na Magufuli kule CCM.
Maalim Seif kule ACT Wazalendo.
Chama pale Simba SC.
Mbowe hapo Chadema nk.
Hii biashara ya usafirishaji wa ndege ni ngumu sana ndio usishangae taifa kubwa kama USA kupitia serikali yake kutojiusisha na biashara hii.
Pesa tulizopoteza kununua madege kwa nchi changa kama hii zingeweza kuboresha viwanja vya ndege kwenye mikoa iliyo na kuitaji huduma na kuita wawekazaji...
Ila hii Dunia acheni tu. Huyu Nape sijui anapokutana na Bernard Membe, Makamba, Kinana et al anawasalimiaje.
Katika Dunia epuka sana kuwa na ukaribu na mtu anayeweka pozi hii ya mikono anapokuwa na Boss wake/wenu. Baba yako, Mkubwa wenu au mtu flani mwenye uwezo.
Anayeweka hivi mikono muogope...
Najua nitatukana na machawa ya mwendazake lakini ukweli lazima usemwe
Je, uzalendo na utetezi kwa wanyonge aliojiita mwendazake upo wapi kama haya aliweza kuwatendea hao hao wanyonge?
1. Kuwadanganya kuwa tutalipwa kodi ya tril. 360 za Barrick kumbe ni kanyaboya?
2. Fedha za plea bargain...
Evil does not pay, leo imebainika wazi CWT ni agent wa CCM, hata kama mlioteuliwa mmegoma kuapa ila mmeumiza watu sana na walimu wanaodhalilishwa kwa kufungishwa mikataba ya hovyo.
• Mh Rais huyu mama alisifiwa sana na JPM, hata kumteua tu umempa neshima sana, lakini ni miongoni mwa watu ambao...
Baada ya Chadema kufanya mikutano hafifu sana na iliyokosa watu kanda ya ziwa (Mwanza na Mara), Tundu Lissu akapata meseji kichwani mwake kwamba nguvu ya Hayati Magufuli siyo ya kawaida kwenye jamii hasa kwa wananchi wa maisha ya chini kabisa na kwamba kuendelea kumponda Magufuli ni kujichimbia...
Wadau baada ya suala la CAG kuthibitika kuwa Rais Magufuli alivunja katiba ya nchi.
Sasa nataka na hili la Halima Mdee na genge lake nilifikishe mahakamani ili mahakama itamke kuwa Spika Ndugai alivunja katiba na anionyeshe kifungu cha Katiba kilichompa nguvu ya kuwaapisha kina Halima Mdee na...
CCM oyee!
Zidumu fikra za mwenyekiti Magufuli
Bashiru Ally aliteuliwa na mwenyekiti wa CCM, Rais Magufuli, hamkupiga ktk kikao chochote zaidi ya kumpongeza huku KIgwangalah ukijua kuwa Bashiru ni mwanachama wa CUF.
Wapinzani waliteuliwa na kupewa nyadhifa serikalini huku mkijua serikali...
Kiukweli hii kitu inaitwa Sukuma Gang haikuwa kitu halisi kwa sababu Shujaa Magufuli alikuwa ni Jeshi la Mtu mmoja aliyekamata mihimili yote mitatu.
Magufuli hakuwa na Wapambe ila Watu walijipendekeza Kwake ili wateuliwe na wengine walijipendekeza ili wasitumbuliwe.
Shujaa Magufuli aliweza...
Hii nchi kuna mambo mengi ya ufisadi mwingi ambao unaendelea katika nchi hii ila watu wengi hawajui tu. Na hao mafisadi ndo alidili nao jpm kipindi cha uhai wake.
Wajinga wengi wakaona kuwa anawaonea bure lakini walikuwa hawajui kilicho kuwa kinaendelea nyuma ya pazia.
Sasa hivi ndo hawa hawa...
Historia inatueleza bayana Hayati Magufuli na Paul Kagame walitokea kuwa marafiki wakubwa kupata kutokea!
Urafiki wa wawili hao ulikuwa wa kufa na kuzikana hali iliyopelekea waaminiane kwa kila jambo.
Kiungo wa marafiki wale uliunganishwa na rafiki yao mwingine Bashiru Ally.
Bashiru Ally na...
Moja kwa moja kwenye mada.
Haya ni baadhi ya mafanikio hayati JPM aliyapata akiwa kama Rais wa JMT kwa awamu moja.
1. Ujenzi wa Miundombinu ya barabara, reli, viwanja vya ndege, vituo vya afya nk.
Ujenzi wa bwawa la umeme la Mwl. Nyerere ulihitaji uthubutu wa hali ya juu hasa ukizingatia vita...
Kila kilichokataliwa na Magufuli kitabaki vilevile na kila kilichoinuliwa na Magufuli kitabaki vilevile. Iko wapi bandari ya Bagamoyo?
Kuhusu uwanja wa ndege Chato je? Vipi kuhusu waliopinga serikali kuhamia Dodoma? Vipi kuhusu utendaji wa Nape, Nchemba na Makamba kwa sasa?
Ikumbukwe, hata...
Habari Watanzania wenzangu,
Kuna jambo ambalo naamini viongozi wetu huwa wanalipuuza wakifika kwenye viti hivyo.
Japo Tanzania ina utajiri mwingi sana, lakini Watanzania asilimia kubwa ni fukara sana.
Hii ni kuanzia kwa Mawaziri, Makatibu wakuu, viongozi wa Taasisi mbalimbali, Majaji, Bunge...
Wengi wanaamini Utawala wa nchi Jirani utakuwa kama ule wa Mwamba wa East Africa Shujaa Magufuli lakini siyo.
Serikali ya Wanyonge ya Shujaa Magufuli ni tofauti kabisa na hii bottom up ya Dr William.
Naangazia hapa Citizen tv majirani kutoka UDA wanalalamikia Bei ya Petrol na Diesel Kupanda...
Mzaha mzaha, mbuzi Kampanda mamaye.
Ile kauli "mtanikumbuka ilikuwa ni kauli ya kinabii na sio ya kisiasa. Nathaniel sasa kila mtanzania ameanza kuelewa kwanini JPM Ali deal na wakenya effectively.
Hawa Wakenya sio majirani, ni maadui zetu, hawafai kuchukuliwa kama majirani.
Suala la...
"JPM ALICHELEWA KUWA RAIS WETU"
Tulitakiwa kuwa na JPM kabla ya miaka 20 iliyopita. Magufuli alichelewa kuwa Rais wetu kwa katiba ya kifalme/kisultan tuliyonayo. Miaka 5 na miezi 5 ilituonyesha rangi za udikteta. Ingawa rangi hiyo haikufika kwa mtu mmoja mmoja, wapo walioguswa
Bado tulihitaji...
Hii video ni baada ya Dk Mwinyi kushinda mchakato ndani ya CCM na kuteuliwa kuwa mgomea urais wa Zanzibar kupitia chama chake.
Hayati Magufuli alisema mengi kuhusu Mwinyi lakini mwishoni akatoa onyo kwa wazanzibar ikiwa watamchagua Dk Mwinyi kuwa Rais wao hiii wataiona Zanzibar itakavyopaa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.