hayati

Pir Hayati-ye Sofla (Persian: پيرحياتي سفلي‎, also Romanized as Pīr Ḩayātī-ye Soflá; also known as Pīr Ḩayātī, Pīr Ḩayātī-ye Pā’īn, Pīriāī, and Pīryal) is a village in Mahidasht Rural District, Mahidasht District, Kermanshah County, Kermanshah Province, Iran. At the 2006 census, its population was 210, in 47 families.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Unahitaji kuwa kilaza wa kiwango cha SGR kuamini kuwa Hayati Magufuli alipanga kuwa rais wa milele

    Kuna hii propaganda ya kijinga sana imekuwa ikirudiwa rudiwa mara kwa mara na viongozi wa Chadema akina Mbowe, Lisu na Godbless kuwa rais wa 5 wa nchi yetu hayati Magufuli eti alikuwa anajiandaa na kuweka mazingira sawa ili aweze kung'ang'ania madaraka na kuwa rais wa milele!. Uzuri wa...
  2. L

    Pre GE2025 Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca Magufuli amwaga Pikipiki kwa UVCCM Mkoa mzima wa Geita

    Ndugu zangu Watanzania, Mtoto Wa Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais Wa awamu ya Tano Ndugu Jesca John Magufuli Amemwaga Pikipiki kwa makatibu wote wa UVCCM Mkoa wa Geita. Binti huyu mdogo ametoa msaada huo wa pikipiki kwa makatibu hao wa UVCCM ili ziweze kuwasaidia...
  3. M

    Juhudi kubwa zilizotumiwa na hayati Nyerere kupigania uhuru wa nchi zingine ulitusababishia umasikini mkubwa Watanzania

    Hivi angejikita kupambania nchi yake kwa muda wa miaka 24 aliyotawala tungekuwa wap? Lakini watu wanabaki kusifia upande mmoja wa shilingi. Huku wakisahau upande mwingine. Kwa ujumla aliacha nchi ikiwa masikini na hata tuliowasaidia kupata uhuru wanatucheka.
  4. chiembe

    Kwanini uongozi wa Chadema hawajatuma muwakilishi wa kitaifa katika kumbukizi ya kifo cha Hayati Mwalimu Nyerere? Wana chuki naye kiasi hiki

    Chadema haijatuma muwakilishi yoyote wa ngazi ya kitaifa, hii ni chuki iliyokithiri kwa Hayati J. K. Nyerere.
  5. GENTAMYCINE

    Je, Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere angependa tuwe na Tamasha na Land Rover Arusha au tupambane zaidi na Maadui wakuu wa nchi aliowataja?

    Halafu wenye Akili Kubwa tukisema kuwa Tanzania ya sasa huenda ikawa na Viongozi Wehu zaidi mnaanza Kuchukia.
  6. Roving Journalist

    Waziri wa Ulinzi, Dkt Stergomena azuru kaburi la Hayati Benjamin Mkapa

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 09 Oktoba 2024 amefanya ziara na kutoa heshima zake katika Kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya 3 wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Benjamin Wiliam Mkapa, na kuwasamilia baadhi ya...
  7. Nehemia Kilave

    Kama hatukumuelewa Hayati Mkapa basi tumuelewe Dkt. Dotto Biteko, tuache wanaoijua siasa waicheze na tujitume kufanya kazi

    Katika zama ambazo Ukoloni mamboleo umeshamiri ni bora tushauriane katika kujikita katika kufanya kazi ili kujitafutia maendeleo binafsi . Nafahamu kwamba Siasa ndio kila kitu lakini kulaumu na kuumiza vichwa kuhusu wanasiasa haisaidii kubadili maisha magumu tuliyonayo . Kama kuna watu...
  8. Nyanda Banka

    Hayati Mwalimu Nyerere aliwahi KUSEMA hivi

    “DEMOKRASIA SIO CHUPA YA Coca-Cola ambayo unaweza kuiagiza kutoka nje ya nchi. Demokrasia inapaswa kujengwa na kuendelezwa kulingana na utamaduni na mahitaji ya nchi husika”. Hayati Baba Taifa Mwalimu Julius K Nyerere (1922 - 1999)
  9. The Watchman

    KWELI Hayati Mwalimu Nyerere alikuwa mwenyekiti wa chama chake tangu 1954 mapaka 1977

    Kumekuwa na post ya Jenerali Ulimwengu aliyoichapisha kwenye mtandao wa X kwamba Mwalimu Julius Nyerere alikuwa Mwenyekiti wa chama chake kuanzia mwaka 1954 mpaka 1977, ukweli wa kauli hii upoje?
  10. iamwangdamin

    Balozi Nchimbi azuru kwenye kaburi la Hayati Benjamin Mkapa Lupaso

    Katibu Mkuu wa CCM Taifa Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akiongozana na Wajumbe wa Sekretarieti amezuru katika kaburi la hayati Benjamin Mkapa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu . "Naomba nikiri kuwa Mimi ni mwanafunzi wa hayati na nimekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Taifa katika kipindi Chake...
  11. B

    Tundu Lissu: Tutamkabili Dr Samia kama tulivyomkabili Hayati Dr Magufuli kwenye Uchaguzi Ujao, tumejipanga

    Hapo jana akiwa amewasili kutoka Ughaibuni alikokuwa kwenye Mapumziko ya takribani Mwezi Mmoja ameyasema hayo. Mh Tundu Lissu Ambaye ni Makamu mwenyekiti wa Chama cha Denlmokrasia na Maendeleo Chadema amebainisha kuwa hawataacha kumkabili mpinzani wao wa chama cha mapinduzi. Tundu Lissu...
  12. GENTAMYCINE

    Semeni mtakavyosema, ila ukweli ni kwamba SGR bila Nguvu ya Hayati Magufuli na Uthubutu wake leo tusingeifurahia tusimbeze hata kama Kalala mazima

    Kwangu Mimi GENTAMYCINE ninachojua mazuri yote hasa ya Kimiundombinu yanayotokea sasa yametokana na Hayati Magufuli na bado sijaona hata moja ambalo aliyeko sasa anaweza kusema Yeye ndiyo kalifanikisha na kama labda kuna alilofanikisha kwa upande wake ni Kucheza Sinema Mbugani na kufanya...
  13. Nyankurungu2020

    Picha: Moja ya megastructures ambazo CHADEMA walisema hazina manufaa kwa taifa lakini shujaa hayati JPM alihakikisha zitakamilika

  14. Nehemia Kilave

    Je tuendelee kuamini katika kudanganywa ?

    Je tuendelee kuamini Upinzani haiwezi kuongoza Nchi ? Je tuendelee kuamini miradi ya hayati Magufuli haina manufaa kwa taifa kama tulivyoambiwa awali na sasa tunaambiwa kulikuwa na mkono wa ma Rais wa nyuma ? Je tuendelee kuamini CCM inatuongoza katika njia sahihi kama wanavyodai ? Je...
  15. GENTAMYCINE

    Endelea zako tu Kupumzika kwa Amani Hayati Robert Mugabe hukuwa na Baya na hapa Umenena kwa uhakika na usahihi wote

    Ask your girlfriend to visit you, she will say 'she doesn't have money for transport' but if someone tells her that you are with another girl at the hotel. She can even hire a private jet to follow you. Chanzo: Robert Mugabe Hilarious Quotes Sasa kama Mkongwe kabisa Hayati Robert kamaliza...
  16. Roving Journalist

    Mwandishi Ansbert Ngurumo apewa hifadhi kwa usalama wake nchini Finland

    Ni habari mbaya kwa nchi yetu inaendelea kuwa na hadhi mbaya ndani /nje ya mipaka yake. Maisha ya waandishi wa habari, wanasiasa na wanaharakati yamekuwa ya mashaka. Mwanahabari Ansbert Ngurumo aliyewahi kuwa mhariri wa Magazeti ya Tanzania Daima na Mwanahalisi, amekimbilia nchini Finland na...
  17. fungi06

    Nimemmiss sana, Hayati John Pombe Magufuli

    Sio siri amna kipindi nilifurahia kuwa mtanzania kama kipindi raisi Magufuli akiwa Rais wetu. Kwa sasa sioni furaha kabisa na taifa langu. Sina Imani na viongozi wangu hata mmoja labda tu Makonda angalau ananionyesha anaujali sana utaifa wetu. Huu ni mda wakuwapa vijana fursa hawa wazee hawana...
  18. Tlaatlaah

    Rais wa Kenya Dr.William Samoe Ruto ni chuma imara zaidi ya hayati daniel arap moi alie wahi kua raos wa taifa hilo

    miongoni mwa marais Imara sana, wenye nguvu, ushawishi na maono ya mbali sana, na wasio tikiswa kisiasa nchini Kenya kwa wakati huu, na anae enjoy mass support, technical and economic support ya makundi mbalimbali, ya kitaifa na kimataifa ni pamoja na Dr. William Samoe Arap Kipchirchiri Ruto...
  19. B

    Enzi za Hayati Magufuli Wafanyabiashara wasingejaribu kugoma. Imekuwaje leo?

    Enzi za uhai wake angesema.....Hiiiiii! Maweee! Yaani enzi za Jembe unajaribu kutingisha Sharubu za Mfalme? Ungejuta. Wafanya biashara waache dharau wao sio muhimu sana kuzidi makundi mengine ya wananchi. Lazima wakubali kufata sheria za nchi na walipe kodi kama ambavyo wengine anafanya...
  20. Nyankurungu2020

    Rais Samia amefeli wapi? Gerson Msigwa amkumbuka shujaa wa Afrika hayati JPM

Back
Top Bottom