Hazina is an administrative ward in the Dodoma Urban district of the Dodoma Region of Tanzania. According to the 2002 and 2012 census., the ward has a total population of 7,25.
Mwanza kata za Isamilo na Kiloleli hazina maji kwa zaidi ya wiki mbili sababu ukarabati miundo mbinu, maji tunapa ziwani . Hatujui yata rudi lini je huo ni utaratibu wa ukarabati maana imezoeleka hivo lakini watu wanaumia kwa sababu hapo ni mjini hakuna chanzo mbadala cha maji. Mlipuko wa...
Anonymous
Thread
hazina
lini
maji
mbili
mwanza
sababu
ukarabati
wiki
wiki mbili
zaidi ya
Katika kasi ya mabadiliko ya mtaala niliona shule binafsi kama chachu kwa sababu ya uwezo wa kuweka miundo mbinu kwa ajili ya kuisaidia serikali ila kwa mazingira haya naona giza.
Siandike kuweka data ila kwa uzoefu wa miaka minne ni udhibitisho tosha.
Unanyanyasaji wa walimu, baadhi ya shule...
Ukifuatilia hata Law Bar Associations ya Rwanda tu utagundua huwezi wakuta wanaenda kulia lia kwa Kagame mara wapewe Gari mara Kagame awwpunguziwe Kodi, nenda Law Bar ya Uganda huwezi kuta huu ujinga wa kwenda kuomba msaada kwa Mseveni.
Njoo sasa kwa Law bar association ya Kenya, ile ndio...
Town Kuna joto ndani ya muda mfupi unaweza jikuta umekata hata 2 litres kimbembe kinakuwa unapokuwa kwenye mazingira ambayo hayana access ya restroom kama Bank.
Je na wenzetu huko Ulaya bank zao hazina vyoo??
Mchungaji Msigwa ameeleza wazi kuwa anamuunga mkono Tundu Lissu katika kinyang’anyiro cha Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Akizungumza kuhusu mwelekeo wa uchaguzi huo, amesema:
"Mimi nam-support Tundu Lissu, ningependa ashinde, lakini ni matatizo yao hayo. Mimi, yeyote...
Mambo vp wadau wa JF.
Ninaomba kuelimishwa kwa maana elimu haina mwisho.
I'm just asking this out of curiosity (Curiosity once killed the 🐈 cat)
Je, ni takwa la kisheria au ni uamuzi tu wa watu wachache kwa maana Magari, Bajaj na Pikipiki vyote ni vyombo vya moto..
~ SIPENDI SIASA ~
Mpaka sasa watumishi wa umma wengi wao wanaochukulia mshahara NMB hawajapata mishahara wakati wanaochukulia mshahara Bank zingine walishapata tangu juzi Jumamosi.
Kuna nini hapo?
Ajali zinazotokea msimu wa sikukuu zimeendelea kuacha majonzi kwa Watanzania, baada ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu ofisi ya Msajili wa Hazina, Amos Nnko kufariki dunia.
Nnko amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea maeneo ya Same, mkoani Kilimanjaro...
Hawa Osha sijui wanafanya kazi gani. Ni ama wakienda huko wanapewa hela wamalizane tu au hawaendi kabisa. Ndo shida ya waajiriwa wa serikali wakishaajiriwa hawafanyo kazi tena tofauti na ambapo osha ingekuw private sector.
Ndo mana hata jpm alikosea sana ATC na TTCL kuzifanya ziwe monopoly na...
Kusaidia wengine ni tendo la heshima na ubinadamu, lakini si kila mtu anayekuomba msaada ana nia njema. Kuna watu ambao, badala ya kujiboresha kupitia msaada wako, wanatumia ukarimu wako kama njia ya kukupeleka kwenye matatizo zaidi. Watu hawa ni hatari kwa ustawi wako wa kiakili, kihisia, na...
Tundu Lissu leo amechukua fomu na amedai fomu hiyo amelipiwa na Sativa.Kwanini amemtaja Sativa? amemtaja Sativa ili wanachadema waone namna anavyopendwa na wahanga wa matukio ya utekaji, hizo ni mbinu za siasa za kutafuta sympathy kutoka kwa wapiga kura, hata hiyo hoja ya kupigiwa simu na mtu...
Mitandao ya kijamii imekuwa na athari kubwa kwa watumiaji zikiwemo zenye matokea chana na zingine matokea hasi.
Moja wapo ya manufaa chana ni namna ambavyo mitandao ya kijamii imesaidia utangazaji wa biashara mbalimbali mitandaoni na upatikanaji wa bidhaa mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii...
Anonymous
Thread
athari
hazina
kijamii
lugha
maadili
madalali
mitandao
mitandao ya kijamii
mitandaoni
nyumba
watumiaji
Niliwahi kuongelea suala la hukumu, hasa za Mahakama Kuu kuandikwa na "vitoto" vya Mahakama za Mwanzo vilivyopachikwa majina "wasaidizi wa jaji" Na pia tabia ya majaji kuwa na vikosi vya mahakimu ambao huwaandikia hukumu, na wengine huwakodia mpaka vyumba vya hotel weekend wakafanye kazi hiyo...
Ninajaribu kudadisi kuona namna CCM inavyoendesha kampeni zake.
Naona hazina Mvuto. Nimejaribu kuangalia kwenye magroup ya wasapu kimya kingi.
Nafatilia mtaani wengi wanasubiri kupewa chochote.. wafia chama wamepungua Sana.
CCM embu changamkeni Ili kampeni zichangamke.
Au komba kakosa...
Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽
Ktk kuishi kwangu na kuchunguza chunguza baadhi ya mambo, nmegundua kuwa wanawake wengi wamekuwa mstari wa mbele kwenye kumiliki biashara kubwa na ndogo ambazo zimekuwa hazina tija.
Hapa siwazungumzii wanawake wote bali hawa wanawake ambao wanatumia UHUSIANO wa...
Vita si jambo la kushabikia sana, lakini nchi kama Urusi, Iran, Korea Kaskazini, na China zinaonekana kushabikia vita. Wanafikiri pengine ni wao pekee wenye nguvu kubwa za kijeshi na silaha za maangamizi, wakipeana sifa kiasi hicho.
Mara nyingi utasikia, "Korea itamshambulia Marekani," na...
Hivi mtu unajisifia una PhD kumbe PhD yenyewe ni ya sociology,law, education,public administration, accountant, public relations, community development n.k hizi PhD ambazo hazin faida yoyote zaidi ya mtu kupoteza muda tu darasani bila msingi wowote ule hizi zinatakiwa zifutwe nakuendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.