Hazina is an administrative ward in the Dodoma Urban district of the Dodoma Region of Tanzania. According to the 2002 and 2012 census., the ward has a total population of 7,25.
Kwanza kabisa napenda kukupa pole na majukumu ya kitaifa.
Vile vile tunakuombea wewe na Serikali yetu katika utekelezaji mwema wa majukumu ya nchi ili kuinua uchumi.
Mweshmiwa Rais katika muda mchache huu umeonuesha matumaini ya watanzania kupata maisha bora, Ajira na uchumi kuinuka tena...
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Mbatia ameitaka serikali kutaja hadharani majina ya waliofisadi mabilioni ya fedha za benki kuu yaliyotajwa katika ripoti ya CAG.
Mbatia amesema kuwasimamisha maofisa wachache wa wizara ya fedha waliogawana fedha hizo kama posho haitoshi, wale ni dagaa tu...
Hatimaye yale malalamiko kwa bodi ya mikopo kwamba watu wamekatwa lakini deni halionekani kupungua. Baada ya kimya cha muda huku malalamiko yakiendelea wameamua kujibu. Ni wakati mwafaka kwa hazina nao kujibu.
Wale ambao mlikatwa bodi mwezi Juni ila deni halikupungua tatizo hilo limeisha baada ya hazina kufanya marekebisho na kutoa salary slips mpya.
Ahsante kwa wote waliopaza sauti pia kwa wahusika waliojitahidi kurekebisha hili kwa haraka.
Kazi iendelee.
Pia soma
Malalamiko ya Makato ya Deni la...
George Michael Uledi.
Tabora, Tanzania.
June, 2021
Naweza nikasema mchakato wa ndani wa CCM wa kuchakata watia nia wa Ubunge mwaka 2020 ulikuwa bora sana pengine kuliko michakato mingi ya nyuma na pongezi za pekee ziende kwa Chama cha Mapinduzi na Serikali yake chini ya hayati JPM,Makamu wake...
Habari Wanajamvi,
Kuna swali najiuliza kwa muda sana.
Ni kwanini watanzania awajawaza ku-invest kwenye fast ferries(kama zile za Azam) kwenye maziwa yetu?
Iko wazi meli zipo lakini huduma ni za kusuasua sana.
Kwa bahati nzuri tuna ship builder mmoja--Songoro marine na ana yard karibu na hizi...
Ofisi ya DPP imegeuka kuwa ofisi ya wafuta mashtaka badala ya ofisi ya waendesha mashtaka. Haya madaraka mapya yakufuta mashtaka wameyatoa wapi?
Kwanini imeacha jukumu la Msingi la kuanzishwa kwake? Kama wamebaini walikosea, hao waliokosea kifungua mashtaka wanasubiri nini kushtakiwa?
MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, amemsimamisha kazi Mtunza Hazina wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, Edward Andendekisye na kuagiza Jeshi la Polisi kuwakamata na kuwaweka ndani watumishi saba wa halmashauri hiyo kutokana na tuhuma za ubadhirifu wa zaidi ya Sh. milioni 400.
MKUU wa Mkoa wa...
Wakati Mhe. Rais anaingia Madarakani aliwataka watendaji wa serikali kufanya tathimini kuhusu aina ya mifumo inayohitajika serikalini na kuboresha ufanisi.
Juzi Kati Tanesco walipata matatizo kwenye mfumo wa LUKU nakupelekea kukosekana kwa huduma hii.
Niliwaza sana kuhusu udukuzi wa kimtandao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.