hazina

Hazina is an administrative ward in the Dodoma Urban district of the Dodoma Region of Tanzania. According to the 2002 and 2012 census., the ward has a total population of 7,25.

View More On Wikipedia.org
  1. Idugunde

    Supu na michemsho kwenye mabaa ya Dar es salaam hazina kiwango ukilinganisha na tunazokula mikoani.

    Huwa nashangaa sana nikiwa kwenye ziara zangu huko jijini Dar es salaam. Utakuta supu ya ng'ombe au kuku inauzwa buku nne mpaka sika. Tena kwenye baa za kiwango kikubwa lakini ukionja unakuta hazina kiwango kabisa. Husikii harufu ya ya supu ya kuku au ng'ombe. Supu yenyewe majimaji tu yaani...
  2. B

    Ripoti za Tume za Maprofesa wetu hazina tija

    Amesikika Profesa Manyele na ripoti ya vinyesi vya ng'ombe. Kama vile haitoshi inasemekana Profesa Mukandara naye yuko njiani kudai katiba mpya isubiri tu hadi baada ya 2025. Hawa si wa mwanzo. Wapo waliojinasibu kuokotwa walikotoka. Wapo waliotuaminisha kusubiria Noah zetu tokea kwenye...
  3. J

    Wafuasi wa Magufuli muelewe, siasa zenu hazina nafasi tena nchi hii, ila wapinzani nao wana wajibu

    Pamoja na matatizo mengi Tanzania ilyokuwa nayo kabla ya mwaka 2016 lakini ilikuwa katika njia nzuri na ilikuwa inapiga hatua, Then akaingia Magufuli ambaye wengi, ikiwemo mimi nilidhani atatatua matatizo mengi ya nchi yetu kwa kipindi kile Lakini Magufuli alikuja na siasa mpya ambazo...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    Vita ya Tatu ya Dunia ikinukia:- Zijue nchi 31 ambazo hazina jeshi

    1. Andorra Andorra moja ya nchi ndogo sana barani Ulaya iliyopo kati ya Spain na Ufarasa na ina watu 85,000 . Nchi hii ina polisi wake weyewe ambao wanaitwa Cos de Policia d'Andorra, lakini haina jeshi. Ulinzi wa mipaka ya nchi hii uko mikooni mwa Hispania na Ufaransa kwasababu wao ndio...
  5. J

    Japhet Hasunga: Deni la kodi ya Ths trilioni 300 za makinikia ni aibu kwa nchi, hazina uhalisia

    Japhet Hasunga ambaye alikuwa waziri katika Serikali ya Magufuli, amesema trilioni 300 ambazo zipo katika bodi ya rufaa za kodi za TRA ambazo zinatokana na ripoti ya Profesa Osoro na Mruma zilizoonesha kuwa makampuni ya madini yalikuwa yakitorosha makinikia yenye thamani kubwa na kuikosesha...
  6. J

    Iundwe Wizara ya Uchumi, Viwanda na Biashara. TRA irudishwe Hazina kama Idara ndipo tutatoboa

    Ni ushauri kwa bunge, wabunge na Spika mpya Dr Tulia Ackson. Jaribuni kuishauri serikali ili mipango ya kiuchumi ihamishiwe wizara ya Viwanda na Biashara kisha ateuliwe mbunge nguli wa Uchumi, Biashara na Masoko kuendesha wizara. TRA irudishwe Hazina kwani lengo la Sanare na Kezilahabi wakati...
  7. L

    Hazina mnatuchanganya sasa

    Leo tarehe 15/2/2022 mmetoa tena salary slip nyingine za January. Deni la bodi ya mkopo limerudi kama zamani wengine limeongezeka. Deni LA benki limerudi tena vile vile inamaana watumishi hawajalipiwa mikopo na serikali? "Tunahitaji katiba mpya itakayokidhi mahitaji ya sasa"
  8. Mparee2

    Barabara/Highways nyingi hazina vivuko vya miguu stahili

    Kwa barabara zetu kuu ( Highways) hivi hakuna kigezo kwa wakandarasi wa barabara kuweka vivuko vya watembea kwa miguu stahili zaidi ya kuchora mistari ya pundamilia? Nimeandika hivi kwa sababu barabara zetu kuu karibia zote zimejaa matuta na Zebra kitu ambacho nahisi kinaweza kuwa hata nje ya...
  9. C

    Watumishi wa Umma waombwa na Hazina kuorodhesha Dini na Kabila zao. Rais Samia na Wasaidizi wako, haya yanafanyika kwa lengo gani?

    Habari wana JF .. Mimi niliahidi sitamkosoa Rais Samia, kwa sababu nilishawakosoa sana ma Rais wa nchi hii hadi nachoka; lakini Kuna mambo ni mazito huwezi hata kufikiri yanaweza kufanyika kwa karne hii. Mimi niwaombe Serikali, niwaombe CCM, niwaombe washauri wa Rais, kama mmechoka, mtuachie...
  10. The Assassin

    Neema kwa wafanyakazi, CRDB imeshusha riba hadi 13% kwa wafanyakazi na 9% kwa wakulima

    Hivi karibuni Bw. Nsekela wa CRDB alisema mabenki yatashusha riba na kweli ameishi kwenye maneno yake. Leo CRDB wametangaza kushusha riba kutoka 20% hadi 9% kwa wakulima na kutoka 16% hadi 13% kwa wafanyakazi. Ingawa riba bado ni kubwa sana ila kiukweli hii ni neema kwa wafanyakazi...
  11. Kijakazi

    Takwimu za Uchumi wa Mikoa hazina maana kama Mikoa haijitegemei

    Sielewi hizi takwimu ya kipato cha Mikoa kinachotolewa zina lengo gani haswa, je ni kuonyesha Mkoa upi ni masikini zaidi ya mwingine au ni nini? Na kama ndiyo je, tukishajua Mkoa fulani ni masikini then what ? Nini kinafwatia? Tunafanya nini sasa na hizo namba? Kwangu mimi ingeleta maana kama...
  12. CCM Music

    Serikali ifute Div 4 na 0. Hazina tija yoyote kwenye ulimwengu wa leo! Halafu ipunguze Div 1 kuna pointi nyingi sana Div 1.

    Zibaki Div 1, 2 na 3. Just imagined matokeo ya mitihani ina range from point 7 hadi 35 Kwa O level. Uwingi wote wa nini? A level point 3 hadi 20s huko. What the meaning of all these many numbers? Div 1 inaanza 7, 8, 9, 10, 11, unaendelea kuchanja mbuga hadi 17 dah a very long safari. Div...
  13. GENTAMYCINE

    Wale 'Waswahili' ambao 'mlinidhihaki' pale niliposema kuwa Mchezaji Pape Ousmane Sakho ni Hazina na kamwe asiachwe Simba SC mpo wapi leo?

    Yaani kabisa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE niseme Jambo au Kitu fulani halafu nikosee au nisiwe na uhakika nalo? au nimpende Mchezaji fulani kama nimpendavyo Khalid Aucho, Yanick Bangala, Jonas Mkude na Pape Ousmane Sakho halafu nikosee au wasiwe Wazuri kama nilivyowaona na Kuwasoma Kiuwezo? Asante...
  14. The Sunk Cost Fallacy

    Mnaotafuta Kazi,Canada kuna Kazi bwerere hazina watu.

    Happy new year. Wale mnaotafuta Kazi ,nendeni haraka Canada,mnaweza wasiloana na Balozi wetu kule awafanyie connection. Sio mumelundikana Bongo na kulia Lia tuu hamtaki kujiongeza. Kazi hizi hapa zinawatafuta nyie👇
  15. GENTAMYCINE

    Wale Wanasimba SC na wana Yanga SC mliokuwa 'mkinishambulia' JF nilipokuwa 'nikimsifia' Kibu Denis kuwa ni Hazina Kubwa mpo wapi leo?

    Kudadadeki GENTAMYCINE sijawahi Kumpenda na Kumsifia Mchezaji Mbovu au Mchezaji ambaye hafanyi kile nilichomsifu nacho. Nikisema au Nikichambua huwa nakuwa nina uhakika kwani hata huo Mpira wenyewe naujua na isitoshe nimeucheza vile vile tena katika Ngazi zote Muhimu za awali Mashuleni, Mtaani...
  16. Mparee2

    Tozo za visima hazina uhalisia - mtazamo wangu

    Nilikuwa nasoma jarida moja nikaona kuwa mtu akichimba kisima kwa ajili ya matumizi yake ya nyumbani anatakiwa kulipia kodi ya shs 8,300 kwa mwezi. Wakati huo huo matumizi ya kawaida ya nyumbani kwa maji ya Dawasco hulipia kati ya 4000 na 10,000 hivi. kwa namna nyingine ni kama vile watu...
  17. T

    Mzee Mangula ni moja watu waliojaliwa kipaji cha hali ya juu cha uongozi, ni hazina

    Tofauti na wazee wengine ambao wakifikia umri kama alionao nao mzee Mangula akili huwa zinashindwa kufanya kazi vizuri lakini kwa huyu MTU sivyo kabisa. Siku zote ni mtu anayetumia busara na hekima kubwa katika kuzungumza kwake licha ya umri alionao tungeshuhudia vituko vingi katika maneno yake...
  18. M

    Biashara zipi hazina kodi

    Nipo wilayani nafanya biashara 2.moja Ni ya kununua na kuuza mifugo, hakika sijawahi lipa Kodi, 2. Biashara ya chuma chakavu hii ina usumbufu mwingi, vibali polisi , rushwa , kutishwa tishwa, nataka kuacha niambie Ni biashara nyingine ipi ipo free from tax nifanye
  19. aka2030

    Kwanini jezi za yanga za watoto hazina tangazo la sportpesa ila zinatangazo la gsmfoam mgongoni?

    Wote ni wadhamini wa yanga kwanini tangazo hili la sportpesa wamelitoa kwa jezi za watoto wadau huku la gsmfoam likibaki?
  20. Wakulonga

    Mwanamke amkata mumewe Korodani akidai hazina faida

    Mwanaume mmoja nchini Kenya aitwaye Meme Kabati mwenye umri wa miaka 56 amelazwa Hospitali ya Nyambene Kaunti ya Meru baada ya Mkewe Karambu Meme, kumvuta na kuikata korodani yake moja kwa madai ya kwamba korodani hizo hazina faida kwakuwa Mumewe hajawahi kumridhisha kimapenzi kitandani hata...
Back
Top Bottom