Hazina is an administrative ward in the Dodoma Urban district of the Dodoma Region of Tanzania. According to the 2002 and 2012 census., the ward has a total population of 7,25.
Mpaka tarehe ya leo sisi Wazee hatujapokea pensheni zetu toka HAZINA kulikoni?. Tuna maisha magumu na pensheni ndiyo tegemeo letu ili maisha yasonge mbele. HAZINA ifanye hima ili tupate pensheni zetu.
Leo kuna polisi Fulani wamenikamata kwasababu Chombo changu cha usafiri hakina plate number (kilikatika kikawa hakiwezi kufungika)
Sasa jamaa wamenikamata mmoja akapanda twende kituoni mmoja akaanza kunambia unashingapi ili tusifike polisi nikasema sina Hela we twende polisi.
Akasema kama una...
Kumekuwa na baadhi ya vijana mjini wenye jeuri ya kuonyesha nguvu ya pesa lakini imebaki kuwa siri yao namna wanavyozipata pesa.
Kuna matajiri wanaoingiza pesa kihalali lakini wapo pia matajiri wanaoingiza pesa kwa kuvunja sheria na kukiuka maadili, si kila tajiri wa kutamani mali zake bila...
Yani hakuna kash kash za kukamata wauzaji wa bidhaa feki, viwanda bubu vina operate kwa uhuru.
Taasisi za kupambana na bidhaa feki ni kama hazipo, Je ni Rushwa ? Hawawezi kazi ??
Na kuna michezo mipya imeanza bidhaa zilizoharibika zinazotupwa dampo zinarudi mtaani, mchele ulio expire na...
Ayatollah na wadau wake walisema sababu ya kurusha makombora ni
1: Kisasi kwa kiongozi wa Hamas aliyeuwawa ndani ya ardhi yake na watu wanaodhaniwa ni waisrael.
2: Kuuwawa kwa kiongozi wa Hesbullah huko Lebanoni.
Ukiangalia sababu hizo zote hazina mashiko ukilinganisha sababu za mashambulizi...
Wanabodi,
Japo fani ya sheria ni fani moja simple sana, ndani ya sheria kuna sheria fulani fulani ni ngumu sana kwa mawakili.
Miongoni mwa sheria ngumu ni Criminal Law, Land Law, Law of evidence, Constitutional law na Public International Law.
Kwa upande wa sheria ya katiba, constitutional...
Wana Jf,
Salaàm!
Nawaambia kuwa CCM tuko tayari kufanya kusikiliza wenzetu wanataka nn lkn siyo suala la Samia Must Go.
Rais wetu yupo kikatiba - hatutaacha atoke kabla ya muda wake kuisha - yeyote mwenye fikra hizo aache mara moja.
* Mchango wa SSH ktk elimu, afya, madini, siasa, Kilimo...
Hongereni shirikisho la soka la Zanzibar kwa kuzalisha vipaji vinavyokuja kulikomboa taifa la kichwa cha mwenda wazimu (hayati Ali Hassan Mwinyi).
Uzi tayari.
Guinea 1-2 Kizimkazi
FT
Aliyekuwa mweka hazina wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) Taifa, Evelyne Meena, pamoja na wenzake zaidi ya 20, wamejiunga rasmi na Chama cha Mapinduzi (CCM).
Evelyne na wenzake wamejiunga leo Septemba 8, 2024, kwenye mkutano mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM Wilaya ya Ilala uliofanyika...
Hakuna ubishi heshima ya kanisa la pentecoste na hapa nikiizungumzia TAG kwasasa imepotea sana .
Ile heshima ya wokovu na heshima ya Kristo ambayo kanisa hili lilibeba hapo zaman kwasasa inazidi kuporomika kwa kasi sana.
SIkuwahi kuijua TAG vizuri licha ya kujiunga humu mwaka 2015 nikitokea...
Kwenye nchi masikini watu smart huwa hawapewei nafasi ya Ku-shine hata siku moja.
That is way umeondolewa kisa una wa-out smart viongozi.
You deserve to be PRESIDENT
At ur Age 49 bado naamini utalisaidia TAIFA letu.
Watanzania wakijua umewazidi AKILI watakuponda sana
Bora uwazidi PESA na mali .
Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).
Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo...
Siasa sio uadui ni ushindani na hamasa ya kuchochea maendeleo, inashangaza kuona mwanasiasa anazungumza jukwaani mpaka mishipa inataka kupasuka. Siasa ni ushindani wa hoja . Kutumia lugha ya matusi kunafifisha jumbe uliyokusudia kwa jamii
Kutoka kwa Raia mwema nisiyefungamana na chama...
Pension zinazolipwa na Hazina kwa Wastaafu zimekuwa zilicheleweshwa bila taarifa kwa wastaafu.
Hadi sasa tarehe 12 July 20124, pension hizi hazijapatikana.
Pension hizi huwafaa wastaafu katika maswala mbali mbali kama chakula, matibabu na nk.
Hivyo kitendo cha kuchelewesha pension hizi...
Watu wa imani sala ndio kila kitu. Yaani wakati wasio na imani wanajisifia nyumba ni choo, wao wanatakiwa kusema nyumba ni chumba cha sala.
Watu wengi wa kipato cha kati wakifikilia kujenga, ramani ni masterbedroom, chumba cha vijana wa kike, cha vijana wa kiume, choo cha ndani, sebule na...
Ndege za kivita "fighter jets" na baadhi ya Helicopter za kijeshi zina seat special za kuokoa maisha ya rubani na crew member wengine ikitokea ndege imepata tatizo kubwa litakayopelekea kuanguka.
Kwahiyo rubani ata activate mechanism ya kueject, sehemu ya juu ya ndege itafunguka na kisha seat...
Wanasema watoto wetu ni maisha yetu ya baadaye. Hili ndo kundi ndio watakaopeleka vizazi vyetu mbele zaidi na kuvumbua mbinu mpya za kufanya maisha ya mwanadamu kuwa endelevu na yenye starehe zaidi. Lakini kama wazazi na walezi, lazma tuzungumzie kuhusu siku zijazo; tuwe na umakini mkubwa katika...
Uvuvi ni chanzo cha ajira pia ni chanzo Bora cha kitoweo kama ilivyo ufugaji hasa kwa hapa Tanzania.
Ili uvuvi ulete Tija na mtokeo ya kueleweka sana ndani ya taifa ni vizuri kama taifa likaanza kuingiza mikakati Bora kama ifuatavyo hasa Kwa wakazi wa Kanda ya ziwa hasa vijana wa maeneo hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.