heche

Heche is a small village located in the Sorab panchayat town of Sagara, taluka in Shimoga district in the Indian state of Karnataka. It is close to Chandragutti, which has an ancient fort and temple. Heche has a few ancient temples, including the Kalikamba Temple, Eshwara (Pachalingeshwara) and Anjaneya temple.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Hii CHADEMA ya Dkt Slaa pale, huku Tundu Lissu kule Freeman Mbowe pale John Heche na John Mnyika katikati Godbless Lemma CCM kwisha kabisa

    Kama Kuna mziki CCM itapitia tangu kuanza kwa vyama vingi basi ni huu wa CHADEMA ya sasa. Najaribu kufikiria kama watakuwa na chopa tatu na wakawa na root tatu zitakazoongozwa na Dkt Slaa, Lissu, Mbowe na Heche naamini hii No reform No Election itakuwa ni kama kusukuma mlevi.
  2. T

    Heche asema hakuna hata senti moja ya wanachama itakayopotea

  3. T

    Pre GE2025 Heche asema hakuna hata senti moja ya wanachama itakayopotea

    John Heche amesema hakuna hata senti moja ya mchango itakayopotea kwani fedha hizo huwa zinakaguliwa hadi na CAG. Amesisitiza pia kuwa CHADEMA kuna uwazi hivyo watu waendelee kuchangia. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread...
  4. T

    Heche: Tunataka kujenga taifa la watu wanaojitolea ili wawe na nguvu ya kuhoji

    Heche amesema lengo la kampeni ya Tone Tone ni kujenga jamii itakayokuwa na uwezo wa kuhoji na kusimamia vitu kwa sababu na wao wanakuwa na mchango katika kujenga chama "Tunataka kujenga jamii ya watu ambayo amabo wanajitolea, wanaifuatilia, wanaisimamia serikali, wanasimamia vyama vya saisa" -...
  5. K

    Siku Heche akirudisha posho alizolipwa akiwa mbunge nitakubalia na unafiki wake

    Moja wapo ya ahadi ya mwana TANU ni "Nitasema ukweli Daima,fitina kwangu mwiko" na Leo Nitasema ukweli kama mwanaCCM unafiki sitaki. Bwana Heche ameonesha kubeza posho ya 400000 walizokuwa wanalipwa wabunge ni kubwa. Sipo kwa lengo la kupinga au kukubali posho hizi ila nipo kuufichua unafiki wa...
  6. Pre GE2025 Heche: Posho siku moja tu Bungeni tulikuwa tunalipwa laki nne, halafu Mwalimu kwa mwezi unamlipa laki 4!

    "Sisi posho siku moja tu bungeni tulikuwa tunalipwa laki nne, halafu Mwalimu kwa mwezi unamlipa laki 4" Soma, Pia: John Heche: Mbunge analipwa Milioni 20 kwa mwezi na posho ya laki 6 kwa siku. Nchi hii inaibiwa sana!
  7. T

    Pre GE2025 Heche: CCM wanaishi kwa kuviziana hawawezi kufanya uchaguzi kama wa Chadema

    "Sisi tumekwenda kwenye uchaguzi tumewaonesha maana ya uchaguzi wa kidemokrasia, free, fair, transparent election ambayo haijawahi kutokea Afrika hawawezi hata na dola yao kuthubutu kufanya vile. We uliona wapi mtu anasimamia uchaguzi anaochaguli1wa ?" - John Heche, Makamu mwenyekiti Chadema...
  8. Lissu na Heche achaneni na sherehe za kumtoa Mbowe madarakani. Mjue mpaka leo Soka hajapatikana nyie mnafanya tafrija

    Tunaona bado mpo mnasherekea kumtoa Mbowe madarakani. Heche kachinja ng'ombe 20 na kapikiq wakurya sefuria 68 za ubwabwa. Lissu alifanya kufuru Ikungi watu wamekunywa komoni, wameitwa watambikaji kumzindika asiguswe kwenye kiti cha chairman, ni mwendo wa sherehe back to back za kumng'oa...
  9. 4

    Kwenda mbiguni kwa elfu 20 wachache tungetoboa kama watz Kauli ya mh Heche , Wasira na uzee wako njoo.

    Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu ,kila mmoja kwa imani yake . Mh Mbowe amelitendea haki Taifa , kwa kuwapika vijana, leo chadema ni Taifa jingine . Tumeanza kuona ccm inapigwa kama ngoma chini ya uongozi mpya wa chadema. Mbaya na kutosha M/ mwenyekiti Chadema anasema KAMA KWENDA...
  10. Pre GE2025 John Heche: Dkt. Slaa akifia Gerezani, Rais Samia atawaambia nini Wananchi? Uonevu ni kitu kibaya

    Hapo jana Februari 12, akiwa kwenye mkutano wake wa hadhara Sirari, jimbo la Tarime vijijini, Makamu Mwenyekiti Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amehoji juu ya kukamatwa na kunyimwa dhamana kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Dkt. Wilbroad Slaa na pia...
  11. No Reforms, No Election 2025: Balaa la John Heche Sirari - Tarime. Maelfu wampokea. Amfyatua polisi anayeonea na kunyanyasa watu

    https://youtu.be/NRRV25wKN9U?si=Z82mG6EFcURTQFPr ➡Hii combination ya Tundu Lissu na John Heche sio mchezo. Ni wote wanajua kujenga hoja ➡Maelfu ya umati huu Sirari - Tarime leo wakimsikiliza huyu mwamba. ➡Ni ukweli usiopingika kuwa, IF THERE WILL BE NO REFORMS, THEN THERE WILL BE NO ELECTION...
  12. John Heche anapokelewa nyumbani kwao Tarime muda huu

    Tazama live mapokezi ya John Heche, Makamu Mwenyekiti Chadema nyumbani Tarime Endelea kukaa karibu na uzi huu ili upate updates ya kinachojiri https://www.youtube.com/live/7OJyurWyWTM?si=7W8P31TYXlSoapMT
  13. K

    CCM ni kama Wasira na Chadema ni kama Heche

    CCM ni kama Wasira chama kilicho zeeka lakini kinafikiri bado ni kijana. Chama kilichojisahau na kufikia wakati sasa wanaona hata chaguzi sio lazima kama una Polisi na Usalama. Chama ambacho kinafikiri vijana wote ni wasanii! yaani wakiweka wasanii machawa watapata support. Chadema ni kama...
  14. M

    CHADEMA ya LISSU na HECHE ijizuie Mikutano yake kuwa mikutano ya kutangaza Injili

    Kuna jambo linafanyika katika mikutano ya CHADEMA ambalo kama CHADEMA haitolifanyia kazi litageuka msumari wa kisiasa kwa chama hicho. Ninatambua kuwa CHADEMA siku hizi imekuwa ikiweka viongozi wa dini mbele katika mikutano yao. Lakini kitendo cha kuleta wachungaji na kuanza kuhutubia...
  15. Msanii aimba 'CHADEMA unaishindaje', wimbo wa Harmonize kwenye mapokezi ya John Heche

    Msanii aimba remix ya wimbo wa Harmonize kwa kweka mistari ya "CHADEMA unaishindaje, kwenye mapokezi ya John Heche nyumbani kwao Tarime
  16. Pre GE2025 VIDEO: Viongozi wa dini wamfanyia maombi mazito ya ulinzi Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche

    Akiwa nyumbani kwao Tarime, John Heche Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Viongozi wa dini wamfanyia maombi mazito ya ulinzi pamoja na familia yake
  17. Watu aina ya Mpina, Lissu, Gwajima, Ndugai, Bashiru, Makonda ,Bashungwa, Heche, Biteko Mwabukusi ,wakiongoza Nchi , Kila Raia atakua na Furaha !!.

    Na Nchi itakua na Maendeleo makubwa sana Kwa nyanja zote . Hawa watu unapofatilia Maisha yao , Utendaji wao wa kazi Kwa nafasi zao, Maono yaliyo Ndani ya hotuba zao, Kanuni, Imani ,falsafa na Itikadi zao kulihusu Taifa hili , utagundua kua Tuna watu tunaopaswa kujivunia kua nao kama Taifa. Ila...
  18. Pre GE2025 John Heche aliahidi kuwashughulikia team Mbowe kwa sababu hawakuwaunga mkono

    Salaama wakuu Katika pitapita zangu huko katika mtandao wa TikTok nimekutana na hii video ya Heche akisema watawashughulikia team Mbowe kwa sababu hawakuwaunga mkono. JamiiCheck naomba kupata uhalisia wa video hii kama ni ya kweli
  19. S

    John Heche: Tutawaeleza namna mabehewa yanavyonunuliwa. Kama ni mapya, yamepakwa rangi, n.k.

    Hii ni kauli ya John Heche leo wakati Mwenyekiti mpya wa CHADEMA akikabidhiwa ofisi. Amesema wanakwenda kuweka mambo mbalimbali hadharani na kwamba wanarudisha CHADEMA ya zamani. Kasisitiza watayafanya haya na hawatayafanya kama tu watakuwa wamekufa au wako jela. Niliwahi waambia mtakuja...
  20. John heche anatosha kuwa raisi lissu mpe nafasi huyu mtu

    Huyu ni makamu wako mpe nafasi awe mgombea wako wa uraisi halafu wewe tulia kunywa juice ya embe naamini ccm inaenda kuanguka kupitia huyu mwamba sijaona Cha kuizuia chadema kama wakimsimamisha John heche
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…