"Mabadiliko hayawezi kuletwa na watu wale wale walioleta matatizo, yaani matatizo hayawezi kutatuliwa na kiwango cha fikra kile kile kilicholeta matatizo, matatizo tuliyonayo ya kukosa maji, umeme, umasikini yameletwa na CCM, CCM haiwezi kubadilisha hayo matatizo, CCM ni sehemu ya matatizo...