Nikimuangalia Nandy namuona kama mwanangu kwa umri wake. Ni msanii mwenye kipaji kikubwa sana na pia ndiye msanii pekee wa kike nchini mwenye Personality nzuri sana.
Ninatamani kuona siku moja akijikomboa kwa kuanzisha media station yake NA HAKIKA INGEBAMBA SANA kuliko Wasafi media.
Nimeshauri...
Kuhonga mwanamke asiyekuwa na shepu hii, ni matumizi mabaya ya fedha.
Wengi wanajisifia kuhonga vipato vyao kwa wapenzi wao mbalimbali; wengine wanasema pesa ya mwanaume lazima itumiwe na mwanamke.
Na kwa sasa tunapokaribia siku ya wapendanao, wapo wanaume wameshaanza kupigwa mizinga ya hapa...
Labda kama pesa zinamjia kiulaini laini. Lakini kama ni kidume wa mipango viwili tu inatosha. Ukiona wewe ni mpaniaji pale kati, basi ndugu yangu tafuta hela.
nilikuwa namchukulia poa misso misondo wakati anatrend mwanzoni.
ila nimegundua sio mtu poa huyu kijana. kila siku anabuni biti mpya na unakuta kali kuliko ile ya zamani.
ushauri wangu kwake ajiongeze apate mtu wa kumuandikia na mistari kidogo tena iwe ya kiswangilish.. kiingereza kwa mbalii...
Ndio dunia yetu ilipofikia, yaani wanaitana ndugu kama waarabu na pia dini ila kila mtu anavutia kwake, fursa ikijitokeza unatupa maadili kule na kujichukulia mihela, lori la misaada kupita lazima litoe dola $5,000
Tena hii tozo haram inamfikia generali wa Misri...
Naitaka Nioe Sasa Kuna MTU kaniambia ukitaka kuoa Kuna mlolongo mrefu hadi kuandika barua kwa mkono au kutype then iende kwa binti usubiri majibu.
Binafsi Mimi ni Mtu ambae hua sipendi vitu vya kunisumbua au kusubiri hususani milolongo.
Naweza kubadil mawazo ndani ya Dakika moja
Sasa nauliza...
Nilikuwa naangalia majuzi fb acc ya nabii mmoja aliwahi mtabiria David kifo cha mwanae
Leo nikaona niwasiliane nao nkatuma maombi yangu ya kiroho
nioMbewee weee ..kweli hamna vya buree
Msg niliyopokea mudaa huuuu
Tuna maji ya upako aina 3
Dollar 100 dollar 150
Na 200
Mafuta ya upako dollar...
Mzuka wanajamvi,
Kuna kijana flani alikuwa banker CRDB. Uzi wake uliletwa humu nadhani 2019-2020 akiwa mahakamani kwa uhujumu uchumi kwa kuiba hela za wateja.
Alikuwa akiposti mapicha ya yakujionesha insta ana hela nyingi. Nimesahau jina na link. Hivi kesi yake imefika wapi?
Yoyote humu...
Msitafute mchawiiiii
1. Aliikuwa ni Rais kiongozi wa nchi
Kumbukeni anaongoza kila mtu anapokasirika hata mbingu inahuzunika
Tuliona kirahisi alipoumia na kusema ile timu ni kichwa cha mwendawazimu mkakaa kimya
Yale maneno yanafanya kazi, yanaumba kwa stars yetu soln ya kutoka ni kwenda...
Naomba hela yakusuka! Sijala! Mama yangu anaumwa! Gesi imeisha! Sina hela ya bandle!
Ukijichanganya na wadada wa siku hizi, haya mawe lazima yakupate! Utadhani kama usingemtongoza angekufa jinsi anavyokutolea shida utadhani ndo uliyemleta duniani!
Habari zenu,
Kumekuwa na kasumba ya wanawake kuomba hela kwa kigezo cha kuumwa au kuomba hela kununua Dawa.
Ewe Mwanaume mwenzangu nakuhisia! usijaribu na wala usitume muamala mpaka pale mtakapoongozana na kwenda hospital kumpima ili ujue kama anaumwa kweli au lah!
Wanawake wengi wamekuwa...
Habari zenu,
Kama wewe ni Mwanaume unaejitafuta kimaisha ningependa kukupa ushauri huu, Mademu wasiokua na hela waachie wababu wanaokula pension na washkaji walioachiwa pesa za urithi. Utanishukuru!
NB: MADEMU KAUSHA DAMU NDIO NAWAONGELEA HAPA.
Toka Awamu ya Mama aingie madarakani kumekuwa na ucheleweshaji wa malipo ya wakandarasi wnaofanya kazi na serekali.
Mwezi wa 11 mwaka jana Waziri Bashungwa alifanya kikao na wakandarasi moja ya malalamiko aliyapata ilikuwa na ucheleweshaji wa fedha za wakandarasi tofauti na miaka ya nyuma...
Mwanaume kavutiwa na wewe, karusha ndoano, umekubali. Usiku huo huo unaanza mizinga, naomba 150,000/- mama mdogo ana fibroid anatakiwa upasuaji. Kwa shingo upande unampa.
Baada ya siku mbili, mzinga mwingine tena, mdogo wangu kakamatwa na bodaboda ya wizi yuko Oysterbay inatakiwa laki 7 tu...
Huu ndio uzalendo tunaoutaka, Ukitaka kujua mtu ni Mkereketwa wa Timu ya Taifa basi Mwangalie huyu Jamaa.
Yaani katumia hela zake binafsi kwenda kuishangilia Timu ya Taifa lake, Uzalendo mtupu.
Za jioni wakuu, supu ya pweza ni maarufu sana Dar es salaam mida ya jioni ambapo tunaona watu wanauza supu kwenye vimeza vyao.
Sasa kitu kinachofanya nije leo ni ulevi wa supu ya pweza aisee nimejitahidi kuacha nimeshindwa yaani kila nikitoka kazini njia ya kwenda nyumbani kuna kibanda...
Hela mwanaharamu, zinanunua mapenzi
Utapata mautamu, bila hata ya hirizi
Shingoni atakuchumu na tabasamu la kiwizi
Atasema bby tamu, na yatamtoka machozi
Bby wew mtaalam, tena anamwaga radhi
Bby unanipa hamu, anakupa na pongezi
Kumbe mwana haramu, anajifanya mwanafunzi
Jaman nyie mademu, wanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.