Wakuu habari ya muda..mdogo wangu amehitimu ualimu miaka minne nyuma sasa punde baada ya kuhitimu huwa wanapewa mapema ACADEMIC CERTIFICATES kuliko vyeti vingine..kwa hiyo alifanikiwa kuipata mapema tuu sasa Kimbembe ikawa kupata TRANSCRIPT.
Pesa ilishalipwa katika control number husika na sms...
Unatumia muda na Hela kidogo ulizo Nazo kusaka wadada,mpaka unasafiri Mbali kufuata demu! Unachoma mafuta unazunguka Mkoa Mzima/ wilaya/ kitongoji kisa demu! Elewa kuwa umepoteza muelekeo na nimtumwa wa mapenzi,mhanga wa kupenda Kuliko pitiliza. Unahitaji Maombi uokolewe. Wewe ni cheap and...
Wakenya walio Somalia wanatuma wastani $500,000 kwa siku, noma sana yaani mlifikaje huko na mnavumiliaje hayo mabomu, nchi yenye misuko suko ya kidini.
=========
Somalia has emerged as a new source of remittances for Kenya and Uganda, accounting for $180 million and $21.9 million respectively...
Yani kabla ya mwisho wa mwezi nakuwa na mipango mingi sana tena ya maana mnoo. ila ukifika tu huo mwisho wa mwezi hela inavyopukutika sasa, hata sielewi.
Mitungi jamani mitungi jamani mitungiiiiiiiiiiiii aaaaagh.
Nakukuta tu balance niliyobaku nayo inatia huruma hapo ndo akili zinarudi hela...
Mimi hata ukinipa million 5 sasa hivi siwezi kujibania lazima ipigwe kiberiti kazi ya Hela sio kuwekwa chumbani au kuhifadhiwa.. Unajenga nini lijumba kubwa wakati una mwili mdogo we huoni wazungu hata vitanda vyao vidogo.. Nipelekwe BOT pale nikachome hela nitakuwa mwaminifu sitatoka na pesa...
Huwa nashangaa mtu anapata pesa anabaki na mawazo mengi kichwani yaani in short anaitesa pesa yake anaipa changamoto pesa yake kazi yake inakuwa ni kutatua tu matatizo mara ya wagonjwa mara ya madeni.
Sikatai kutumia pesa kwenye shida ila usijisahau babu kula kidogo sheikh kula kuku au safari...
Mimi ni wakala wa voda na mitandao mingine pia kwa kutuma na kutoa hela
Leo nipo ofisini kuangalia kamisheni yangu nikakuta zaidi ya 50 elfu imekatwa
Moja kwa moja nikawasiliana na huduma kwa wateja kitengo cha mawakala nikawaambia mbona mmepunguza kamisheni yangu. Wakaniambia wasiliana na...
Nimeona wanaume wengi kwenye mitandao ya kijamii wakilalamika jinsi wanawake wa siku hizi wanavyopenda pesa, ukiwachunguza hao walalamikaji utagundua hawana hela Ila wanatamani kuoa. Hivi umewahi kuchunguza - ni katika tamaduni gani mwanaume asiye na kitu alipewa mke?
Kwa maoni yangu binafsi...
Kwenye upande wa ufundi unaweza ukawa na vitu vifuatavyo mafundi wakaja kukodisha wakafanyie kazi kwa maana mafundi wengi tu nawajua wana ujuzi ila hawana vifaa.
TOOLBOX SET
GRANDER
MACHINE ZA KUPAKA RANGI
MACHINE ZA KUCHOMELEA
HAMER DRILL
MASHINE YA KUFYATUA MATOFALI
MATOROLI
MASHINE YA...
Hii ni kwa Mujibu wa CAG
"Nilibaini kuwa Bohari Kuu ya Dawa ilinunua mashine 10 za kuondoa maumivu, ukakamavu na mkazo wa misuli (Diathermy) kwa bei ya shilingi milioni 136.7 na kuacha kununua vifaa hivi kwa mzabuni aliyebainika kuwa na bei ndogo wakati wa ushindani ya shilingi milioni 103.2...
Kuna Wale Watu wa kujichanganya na watu wa namna zote wenye hela na wasio nazo, wanywa bia na wanywa gongo huwa wananifurahisha sana pale wanapopata hela yaani moyo hautulii mpaka hela iishe.
Na kati ya maskini na matajiri nimejifunza wanaoongoza Kwa dharau ni maskini hawahawa wanywa gongo...
Anaitwa truong my Lan umri ni miaka 67 Tajiri wa ki Vietnam amepatikana na hatua ya kutakatisha hela kwenye Bank moja kubwa Kwa zaidi ya miaka 11.ila nimeshindwa kujua hasa alifanya fraud kivipi Kwa maana hiyo hela aliichukua kama mikopo. Kesi hio Ilikuwa ni kubwa sana kiasi kwamba ilihusisha...
kama huna hela ya kumpa wife wako / demu wako siku kama za sikukuu au siku yeyote au ukiona nywele zake zinakaribia kufumuka na wewe machale yanakushika unaenda kuombwa hela , halafu mfukoni hakueleweki ushauri wangu kwako wa kijasusi tengeneza ugomvi alafu jifanye umenuna ili sikuzipite 😀😀😀
Yaani Iran haiponi, inapigwa kote....
Iranian rial collapses, 'loses 30% of value' - reports
Government attempts at distracting the public with threats against Israel do not go unnoticed, as small demonstrations and online comments return focus to harsh conditions
Yesterday, a sharp crash in...
Hakwambii kama hana au atakutafutia kesho anaanza kukupanga Mara ooh subiri kidogo kipengele hapa usafiri Mara blah blah kibao yaani lazima akuingize viswahili acheni ujanja ujanja watu wa dar sio unamuaminisha mtu asubiri ukipigiwa simu inazingua acheni kudanganya danganya wakuu.
Wadau hamjamboni nyote
Leo nimepewa ofa na rafiki yangu huko maeneo ya Skansca Salasala
Nimefurahi sana kwa huduma husika shukrani kwa Ndugu yangu
Gharama zake za kutisha
Nimeweka kiambatanisho Kwa rejea yenu
Niwatakie mchana mwema wakuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.