Muweke kwenye fungu moja na watoto wako na familia yako. Yani kama ni hela ya matumizi basi uwe unampigia hesabu ya kila siku.
Kama unapanga kuwa una mpa lets say elfu 20 kila siku au lets say elfu kumi kila siku basi uwe unampa kila siku au kama unampa kwa wiki basi umpe kwa wiki.
Siku...
Ni kauli ambayo ilianza kutumika sana kipindi cha Magufuli na kutia mizizi katika utawala wa Samia.
Ni kauli inayotumiwa na wanasiasa na watendaji wa Serikali!
Kwa sasa ni kawaida kusikia:
1. Rais katoa hela ya kujenga maabara!
2. Mama katoa fedha za kujengea shule
3. Dr. Samia katoa...
Nchi yetu ilianza kuharibika sana kuanzia pale mifumo ya wezi na watawala walipoamua kuhakikisha Tanzania haina mbunge hata mmoja wa upinzani bungeni.
Wakati wa miaka ya 2005 hadi 2015 tuliona angalau fedha za umma zikizingatiwa na kutumika kuleta maendeleo. Angalau tukaanza kuona barabara...
Kama uchumi unaruhusu, nunua chuma kali tu.. Mengine tutajua uko uko..
Na mafuta tujitahidi kuweka kutoka kwenye vituo vya mafuta vinavyoaminika..
Sema issue ndogo ndogo kama kuosha tujitahidi kupeleka car wash za uhakika ili kutunza rangi..
Na tusijenge hate, acha watu wapigaie picha chuma...
Kuna mtu aliuliza swali hili hapa kwenye mtandao wa "X". Nasikitika majibu ya jinsia ya kike ni kana kwamba hawajitambui kabisa! Sasa nawaambia acha kuendelea kuvuna laana! Wababa hatutaki kujionyesha! Kipato kinachoendesha familia hata kama mama ajimwambafai kuwa ni yeye, nguvu ya hicho kipato...
Nakusanua mwanaume mwenzangu
Kama huna hela usipende sana kuchati mara kwa mara na mtoto wa kike
Sina maana usiwasiliane na mpenzi wako lahasha ila hii itakusaidia kukwepa vizinga vya hapa na pale
Siku ukiwa vizuri financially hapo sasa unaweza kuchati as you wish ila kama huna kitu jitahidi...
Wanasiasa wetu hata Gavana wa sasa wa Benki Kuu wanasema kuwa maisha Kwa binadamu hayajawahi kuwa rahisi na mepesi.
Lakini wao Kila siku wanataka kubakia madarakani kwa hoja kuwa wapo madarakani kuyafanya maisha ya watanzania yawe rahisi na Bora zaidi ya sasa.
Lakini maisha ya watu hayawezi...
Jumatano hii kweli ya watu kujaa beach nimenusa watu Wana mipango ya Hela week hii toka ianze Mpaka itakapoisha maokoto kama yote kama wewe hujapitiwa aisee badilisha mfumo kabisa.
Ila mnaotegemea mulipwe madeni tulieni kwanza watu walikuwa na ukata wa kutisha acha wale wale maisha kidogo...
Habarini wadau.
Naongea kwa masikitiko makubwa hela za likizo mpaka sasa wilaya nyang'hwale mkoa wa geita mambo ni kimya .
Hivi nyie maafsa mnaohusika mbona hamna huruma jamani tumefunga tunaingia wiki ya pili lakini mpaka muda huu mmekaa kimya tukifatilia mnadanganya eti mtandao unasumbua...
Kama club Sawa tunaweza kukubali ila sehemu open mtu una akili zako nafika nipate huduma eti kabla sijakula au kunywa nadaiwa hela jamani mbona tunatiwa ubwege sana tunatoana class pasipo la msingi ingelikuwa kweli kuna matukio ya watu kukimbia kulipa au kudai Kwa bunduki kweli tungekubali...
Kuanzia unapotongoza mwanamke anakubebesha gharama zote ambazo alitakiwa kuwajibika mwenyewe au kugharamiwa na baba yake sasa hapa mwanaume akisalitiwa ndio yale yale ya msukuma na penny uko goba
Imefika hatua hauwezi kutofautisha kati mke, mpenzi na kahaba maana along the way wote watataka...
Asilimia zaidi ya nusu ya muda wangu natumia kukaa na walevi kila siku na zaidi ya asilimia 90 ya marafiki zangu ni walevi wa pombe za viwandani na hata za asili.
Nilichokigundua kwetu sisi wanywaji tunakuwa na bahati sana ya kupata hela yaani mlevi hakai siku tatu au nne bila ya kupata hela na...
Chukua hii nakupa; japo hatupangiani maisha kila mtu anajua jinsi anavyoyaendesha ila kiukweli life ni gumu ndugu zangu na mwaka huu huku mashambani hali sio hali hasa Kwa upande wa zao la mahindi.
Mikoa ambayo sio wazalishaji wakubwa wa chakula tumepata pata ila sio ya kuuza ni kwa ajili ya...
Kampuni la Kimarekani Apple, maarufu kwa kuuza bidhaa za electronics na accessories zake, wanauza ivyo vitu bei ghali sana.
Inawezekana ikawa ni value for money, ila kuna baadhi ya vitu ni wazi wanawaibia "loyal customers" wake, sema ndio ivyo hawaoni au wanajizima data.
Tuachane na iPhone...
Ukiona jambo una litamani kuliifanya kipindi umefulia jua ndo kazi yako biashara yako na your purpose nimaanisha ukilifanya Kwa moyo wote bila kurudi nyuma unatoboa na unaweza kufahamika duniani kote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.