hela

  1. Pdidy

    KIpa wa Simba Camara apokea hela kutoka kwa mfanyabiashara maarufu wa Nguruwe

    Mfanyabiashara mkubwa wa nguruwe dar es salaam na Dodoma amempatatia kipa wa Simba hela Katika makabidhiano hayo mh sana anasema alifurahi saves zolizooneshwa na mouse Camara libya akamhaidi kumpatia hela kadhaa Hakuishia hapoo akasema kwa wasiomjua yeye ni mfanyabiashara mkubwa wa Nguruwe...
  2. Pdidy

    Yanga ingekuwa na dini yakee hata wach tungepiga hela sana

    Mungu fundi kweli Wacha tuendekee kuishabikia tu Nawaza haka katimu kanavyotrsa watu hivi Laiti inggekua na dini yake nahisi wach wangepiga hela sana Wacha kabaki hivihici
  3. LIKUD

    Jinsi Mawakala wa Huduma ya pesa kwa simu wanavyo shirikiana na matapelii wa ile hela tuma kwenye simu hii.

    Nimestukia huu mchezo. Unaenda kwa wakala wa pesa unatoa lets say laki moja. Wakala anazuga hajaona meseji yako then anakwambia hebu nipe simu yako niangalie kama umepata meseji. Kumbe lengo lake anataka kujua unasalio kiasi gani. Atakupa hela yako utaondoka then meseji ya tapeli itaingia...
  4. Genius Man

    Wadada wasiopenda hela na wenye akili za maisha na maendeleo hebu jitokezeni tuwaone

    Wadada wasiopenda hela na wenye akili za maisha na maendeleo hebu jitokezeni tuwaone?
  5. GENTAMYCINE

    Acheni Kuzuga hapa Wote mlimpenda kwa Tamaa zenu za Hela zake na baada ya 'Kuwatifua' na kuona hamna Jipya akawaacha na leo mnajifanya kuwa Marafiki

    Kama utani vile, waigizaji nyota wawili wa Bongo Movie, Kajala Masanja na Jacklyne Wolper wamejikuta wakimaliza bifu walilokuwa nalo kutokana na kila mmoja kuwahi kutoka na staa wa Bongo Flava, Harmonize baada ya kukutana katika pati la siku ya kuzaliwa ya mtoto wa Leah Richard ‘Lamata’. Wawili...
  6. Juice world

    Masikini siwataki pm maana naona mnajaa kuomba hela

    Nyie masikini nimeshawaambia siwahitaji pm maana nawaona mnavyojaa kuomba pesa nimeshasema ukioniona barabarani ndio uniombe pesa mmesikia nyie masikini sitaki mtu pm tafadhali mnaanza kulialia shida zenu tafuteni hela muwe kama Mimi mtoto mdogo miaka 28 ila pesa nyingi huwa nashangaa jitu Zima...
  7. GoldDhahabu

    Kuingia Polisi ni bure ila kutoka ni hela

    Huo usemi una ukweli kiasi gani kwa Jeshi letu la Polisi?
  8. Pfizer

    Pre GE2025 Hussein Bashe: Luhaga Mpina uwe na shukrani kwa serikali, chezea sekta nyingine sio kilimo

    Na MWANDISHI WETU, IGUNGA WAZIRI wa Kilimo Mhe. Husein Bashe (Mb) amemtumia salamu Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuwa awe na shukrani kwa serikali achezee sekta nyingine sio kilimo ambayo ni tegemeo kwa Taifa. Amesema chokochoko za uongo za mbunge huyo zinapogusa sekta ya kilimo hawezi...
  9. Waufukweni

    Hivi ndivyo mastaa wa Bongo wanavyopiga hela nje ya muziki

    Licha ya mafanikio yao makubwa katika muziki, wasanii wa Bongo wamekuwa wakipiga hela kupitia biashara na miradi tofauti nje ya muziki: 1. Diamond Platnumz – Mbali na muziki, Diamond amejikita kwenye sekta ya habari akiwa na Wasafi TV na Wasafi FM. Pia, alianzisha lebo ya muziki WCB Wasafi...
  10. M

    Ninamzidishia baba 500K kila nikitoa hela

    Kwema ndugu? Naomba mawazo yenu. Mimi mara nyingi kama siyo mara zote, ninaposaidia nyumbani kwa chochote hususani fedha, huwa nazidisha mara mbili kwa mzee wangu. Juzi hapa nilikwenda kuwaona, nikatoa 500k kwa mama na 500k kwa baba. Stori zikaendelea. Wakati wa kuondoka ulipokaribia...
  11. ndege JOHN

    kuna faida zipo kutunza hela kwenye kibubu

    Nimeanza kucheza betting ya akili sasa hivi na deal na odds 1.27 mpaka 1.30 halafu mkeka wa accumulation mecchi 4 tu zilete odd ya 2.68 na zaidi na sio single bet mtaji ni laki 2 na natumia finobacci system.matokeo yanaenda vizuri nataka hela yoyote ndogo nitakayokuwa nakula niwe naitoa...
  12. Pdidy

    Tupunguze kuomba hela hovyo ndoa zipo shida mizinga wanaume tunaogopa....

    DADA SANAMU YAKO NAJENGA HUMUHUMU JF "Unalaumu eti Mimi ukoo niliotokea hawaolewagi kumbe shida hata sio Ukoo ,Bali tabia yako mbaya wewe ukikutana na mwanaume siku ya kwanza nikuomba hela ,amekusalimia tu ameonyesha ka interest kidogo ushaomba vocha,amekusalimia kwatabasamu kaomba namba...
  13. Prakatatumba abaabaabaa

    Wana kigoma wamenambia Kama sina hela wala connection nimiliki uchawi nipate heshima

    Huu msemo nineukuta kigoma hapa maeneno ya ujiji, nilienda kutembelea njia za watumwa, Livingstone n.k nimeambiwa story ya mzee mmoja aliekuaa anaitwa juma njemba huyu jamaa nasikia alikua noma gwijii, akikwambia leo jioni haifiki ujue umeenda hivyo wala hakuna mjadala, lakini alikua hakupi...
  14. Liverpool VPN

    Dear Baby, Ukiniomba tu hela basi mimi na wewe tumemalizana..!!!

    Mwenzenu nina ""aleji"" ya kuombwa hela 1. Ukiniomba hela basi ujue sura yako inabadilika kutoka Kuwa Beyonce kwenda Masudi sura mbaya..!!!! 2. Ukiniomba hela basi ujue hilo tako lako loteee linayeyuka, nakua silioni tenaaa ....!!!! Dear baby, ukiniomba hela hiyo meseji sijibu ng'ooooooo...
  15. R

    Unatapanya hela na hali ya watoto wa masikini iko hivi mashuleni!

  16. ndege JOHN

    Hivi mtu akikopa hela kwa dhamana ya nyumba halafu akajifanya amekufa je bank itaichukua hio nyumba?

    Naombeni tu nijue nini kitatokea kwa mfano nimekopea nyumba ambayo wanakaa wapangaji halafu nikalipa kidogo tuseme nusu halafu nikajifanya nimekufa nikajizika na kujiwekea kaburi..kisha nikasafiri mbali..wakija watu wa bank kunitafuta kwa wapangaji wakaambiwa huyu mtu ni marehemu na wakaenda...
  17. GENTAMYCINE

    Aliyewadanganyeni Wanaume kuwa Wanawake wanataka tu Hela Kwenu nani? Kudadadeki zenu wanataka Hela na 'Mfurunduano' wa uhakika kama hivi asemavyo Diva

    Mtangazaji wa WasafiMedia "Diva" amempa sifa kedekede Mpenzi wake kwa kile anachodai Mpenzi wake ni mtu Tajiri anayejua Mapenzi.... Kupitia ukurasa wake wa Facebook Diva anaandika.........."Sema acheni mchezo mume wangu ana macho mazur nyie, akicheka sasa aaaah!. Kijana ana hela, ana jua...
  18. ndege JOHN

    Kwa tanzania yetu nisaidieni kutaja vitu ambavyo ni vya ku enjoy ila havina gharama

    Kwa mazingira yetu yalivyo ni vitu gani vya kunoga ambavyo havimalizi hela yaani cost yake almost equal to zero. 1.kuogelea bahari ya hindi 2.kufuga bata lengo uwe unakula pilau na bata 3.gongo+mnazi (tembo) 4.x +punyeto 5.download movies kwenye wi-fi 6.audiomack 7.jamiiforum 8.mke mrembo...
  19. D

    Fanyeni kazi vijana hela zipo nje nje ukifanya kazi. Acheni ngonjera eti kuna serikali ya kuwajazia pesa mifukoni

    Vijana ni kama wamewehuka hasa kwa sasa wamebaki wanasubuli tu mwabukusi amesema nini leo ili iwe topic siku nzima Hawajui kuwa selikali inaweza kuamua kulifuta hata hili li TLS likizingua
  20. Erythrocyte

    DOKEZO Inadaiwa kila aliyehudhuria Tamasha la Kizimkazi amelipiwa Nauli, Malazi na Posho kabambe, Hizi hela zimetoka wapi?

    Hivi kwenye Nchi yenye kila aina ya dhiki kama hii, kukusanya Wasela na Maofisa kutoka Tanganyika na kuwajaza Kizimkazi, ili Washiriki Uzushi unaoitwa Tamasha la Kizimkazi, huku wakilipiwa kila kitu, Ni Ujasiri wa kutisha! Hivi hizi hela za kuchezea kwenye mambo yasiyo na Tija kama haya...
Back
Top Bottom