hela

  1. chiembe

    Kwanini TLS ya Mwabukusi imefilisika ghafla? Hela zimeenda wapi? Imeshindwa kushiriki uchaguzi serikali za mitaa

    Najiuliza taasisi tajiri kama hii fedha zake zinekwenda wapi? Tena muda mfupi tangu uongozi mpya iingie madarakani? Jamani!
  2. Hypersonic WMD

    icloud ya iphone yangu imejaa sina hela ya kulipia kuna njia nyingine ya kupata space bila kulipia??

    wakuu nambieni Huu mwaka sitaki kulipa bills za ajabu ajabu.
  3. B

    Neno "tafuta hela" limeua dhana nzima ya neno" mahusiano" na" upendo"

    Kigezo Cha kuwa kwenye mahusiano kimekuwa kimoja🤔tu utasikia watu mtaani Wakina dada wanasema "tafuta hela"?! Utaweza kummliki huyo demu Lakini watu waliojipata kifedha mfano "vunja bei " wakati fulani alipublish sana swala la Kuhonga Ina maana hakuna aspect nyingine zinazowakutanisha watu...
  4. Roving Journalist

    LGE2024 Dkt. Mollel: Hii sio kodi yenu, ni CCM ndio imeleta hela

    Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Siha, Dkt. Godwin Mollel akizungumza wakati akiwa katika kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhamasisha Wananchi wa jimbo hilo kuhusu umuhimu wa kuchagua wagombea wa nafasi za uenyekiti wa mitaa kupitia chama hicho.
  5. Kidagaa kimemwozea

    Aua Rafiki zake 14 ili apate hela ya kubeti

    Sararat Rangsiwuthaporn. MWANANMKE mmoja nchini Thailand amehukumiwa kifo katika kesi ya kwanza kati ya msururu wa kesi anazotuhumiwa kuwaua marafiki zake 14 kwa kutumia sumu. Mahakama mjini Bangkok ilimpata na hatia Sararat Rangsiwuthaporn (36) ya kuweka sumu kwenye chakula na kinywaji cha...
  6. S

    Kuna mtu katuchangisha Shs milioni 60 za harusi, nyingi zaidi ya hela alizochangisha Niffer; sijui kaomba kibali serikalini?

    Jamani, kuna mtu katupiga Tshs 60m mchango wa harusi. Sasa mie nashindwa kuelewa kama aliomba kibali cha serikali kama anavyosema Waziri Mkuu Majaliwa. Kama hakuomba na hairuhusiwi nijiwahi nikadai hela yangu, maana nilimpa wakati ninazo sasa nimechacha!
  7. Loading failed

    Mwanaume ukimtumia mwanamke wako hela akahoji kua ni kidogo pasi na kushukuru rudisha huo muhamala mtumie mama yako

    Ndugu zangu salaam sana Katika harakati za dunia tunafahamu fika jukumu la mwanaume ni kutawala, kutunza na kuongoza kile kilicho mali yake ikiwemo mwanamke wake Kupitia jukumu hili kubwa wanaume tulilopewa wanawake wamegeuka kuwa chuma ulete na wanyonyaji kupita kiasi kwa wanaume kwa kivuli...
  8. Eli Cohen

    Wewe mwenyewe unapenda makalio makubwa, alafu bint akitanguliza pesa kama priority unaanza kulalamika "ooh mademu wa siku hizi wanapenda hela sana"

    Hii inaitwa ngoma draw, Mi nafikiri kila mtu ashinde mechi zake huku tukila kwa urefu wa kamba zetu maana hata solomon alijaribu kila kitu na akaishia kusema hii dunia na maisha kiujumla ni batili tu. Kama mwanaume priority yako ni kupenda makalio makubwa. Na mwanamke priority yake ni kupenda...
  9. Hypersonic WMD

    Wakuu nimeshindwa kusoma hii hela??? ni elf 12 au milion 12?

    Watu wanaweza zan nazingua lakin kifupi nimechanganyikiwa sidhan kama n kweli maana hamna ninae mdai sifanyi kazi na sina mtu wa kuniwekea hii hela kama kweli ndio yenyewe Iko ivi nilikopa laki 4 sehemu nilikha na kazi nayo jamaa ameniwekea amenitumia na msg ya muamala kwenda kuangalia nakuta...
  10. Last_Joker

    Freelancing Tanzania: Hela Imekuwa Rahisi au Hizi ni Hadithi tu?

    Siku hizi, freelancing imekuwa kama ndoto mpya kwa vijana wengi wa Kitanzania. Kila mtu anazungumzia uhuru wa kufanya kazi mtandaoni, hela isiyo na stress ya kusimamiwa na mabosi wa ofisini, na uwezo wa kufanya kazi popote – hata ukiwa nyumbani na kikombe cha chai! Lakini swali ni hili: Hela...
  11. THE BIG SHOW

    Tundu Lissu anasema serikali inahonga hela nyingi kwa viongozi wa dini

    Friends and Our Enemies, Katika mkutano wake na vyombo vya habari leo hii,Makamu Mwenyekiti wa Chadema anasema kwamba mabillion ya mapesa yanahongwa kwa makanisa na maaskofu ili kuzibwa midomo. Kauli hizi ni kauli za uchochezi na zenye kuleta taharuki sana ndani ya Taifa,Makanisa na Maaskofu...
  12. Kalaga Baho Nongwa

    Kuna watu hawakai na hela maana hata wakizipata wanazitafutia matumizi

    Uswahilini huku na uzaramoni watu wana nongwa balaa! Hii aina ya watu nimekuja kujionea mwenyew mana nilikuwa nasikia sikia tu kwa watu. Wengine wanasema ni bipolar. Ila sifa kama hizi niliwah kumuona mzee wangu kipindi nasoma chuo, bum likisoma nampa mpaka laki 1 imsaidie kwenye mambo yake...
  13. B

    Wanaume wenye hela na wale magenius hawaoi Mke zaidi ya Mmoja

    Kipimo cha akili na uwezo wa kifedha kwa Mwanaume ni namna anavyocontrol hisia zake za mapenzi. Duniani kote mwanaume mwenye akili hapendi migogoro kwenye ndoa yake wala maisha yake. Ndio maana hata wale waliofanikiwa kiuchumi, masadaka au siasa hawaoi kabisa au wana kuwa na mwanamke mmoja tu...
  14. Magical power

    Una Kipi Cha Kuniambia Kabla Sijaweka Hela Yangu😂😎

    Una Kipi Cha Kuniambia Kabla Sijaweka Hela Yangu😂😎
  15. K

    Kama polisi ndio wanaishi Maisha haya ya kuombaomba hivi, acha nitafute hela Kazi nyingine hazina heshima

    Leo kuna polisi Fulani wamenikamata kwasababu Chombo changu cha usafiri hakina plate number (kilikatika kikawa hakiwezi kufungika) Sasa jamaa wamenikamata mmoja akapanda twende kituoni mmoja akaanza kunambia unashingapi ili tusifike polisi nikasema sina Hela we twende polisi. Akasema kama una...
  16. Nikola24

    Naogopa kutumia huduma za kifedha kuhifazi hela

    Habari wadau Nataka kuanza mpango wa muda mrefu kuhifadhi pesa.Nimechagua kuhifadhi kidigitali yaani huduma za kifedha kwenye laini ya simu au benki. Sasa tatizo naogopa kujibiwa maana naamini wafanyakazi watoa huduma hizo wanaweza kunipiga tukio. So naombeni ushauri nikae sawa kimtazamo!
  17. Last_Joker

    Niaje Kuwa na ‘Side Hustle’? Kutafuta Hela Zaidi au ni Kukosa Tamaa?

    Siku hizi imekuwa kawaida kusikia watu wakijisifia wana ‘side hustle’ – kazi ya ziada mbali na ajira yao ya kudumu. Swali linakuja, hivi kuwa na ‘side hustle’ ni kutafuta hela ya ziada kwa maisha bora au ni tamaa tu ya kutoridhika na mshahara wa mwezi? Kila mtu anapambana kutafuta hela za...
  18. W

    Ni kitu gani hata uwe una hela Kiasi gani huwezi kununua?

    Huwa nashangaa sana mtu anasema amenunua wigi la millioni saba. I know I love expensive things lakini there is no way siku nikiwa na mamilioni ya hela nikanunua wigi la millioni 7 au 15. No way 😤 No matter how rich you are, one thing you might not waste your money on is superficial luxury items...
  19. Loading failed

    Wanawake wengi wanadanga ili wapate hela ya kununua taulo za kike

    Ndugu zangu Japo wapo wanawake wanao danga kwa tamaa zao binafsi ila wimbi kubwa la wanawake na mabinti wadogo wadangaji linalojitokeza ni kwasababu ya kukosa hela ya kununua Taulo za kike (ped) na nguo za ndani kutoka kwa waume zao, wazazi au walezi wao ili kujisitiri pindi anapoingia kwenye...
  20. Metronidazole 400mg

    Huyu nabii GeorDavie achunguzwe, anagawa Hela Kama karanga

    Nilikuwa nafuatilia Ibada yake kwa njia ya mtandao kule Facebook nimestaajabu Sanaa. Yani anagawa pesa Kama takataka kwa waumini wake na anakupa cash kabisa Anakuita mbele, unaeleza shida YAKo na kiasi unachotaka then anakupa hiyo Hela cash hapohapo Mfano Kuna mmoja aliomba laki mbili (...
Back
Top Bottom