Katika kitu ambacho nawashauri vijana wenzangu tafuteni hela shabikieni mpira ila msishiriki mambo ya siasa sababu africa siasa ni Kwa vijana wajinga tu ambao watapoteza mda wao kumsikiliza mwanasiasa nadhani mmejionea wenyewe kinachoendelea mitandao I mimi natafuta hela nakula bata lakini...
Nawaambia walokole na watu wote mnaopata Sana mikosi
Hakuna kitu kinarudisha nyuma Kama uzinzi .
Dhambi ya uzinzi inaondoa kibali na unabaki kuwa mtu wa kawaida ambaye hauna impact yoyote.
Beatrice Mwaipaja -uzinzi ndo umekufikisha hapo na sio huyo shetani wala mapepo .
Kupata kibali cha...
WANAWAKE, kila unapohisi na kutaka mwanaume akupe pesa au akununulie kitu lakini hana uwezo wala fedha , na ukashawishika kusema MWANAUME AMEFULIA au ANAUMI-MI, Jipige kifua chako na ujiambie: “HAPANA, MIMI NDIYE NIMEFULIA KWA SABABU SIWEZI KUMUHIDI NINACHOTAKA BINAFSI..”
MWANAMKE tanguliza...
BARUA KUTOKA JELA
Kuna mbaba mmoja, mwanae lifungwa jela,
Jina lake sitotaja, nakataliwa na mila,
Machozi yakamvuja, mfukoni hana hela,
Barua kutoka jela, ilimkomboa baba.
Aliandika barua, kwa mwanae gerezani,
Dhumuni ni kumwambia, meshindwa lima shambani,
Nguvu zake mepungua, hawezi jembe...
Nawasilimu wana JF
Kwakweli tangu niliposhuhudia dem anaomba hela kwa boy wake anapewa halafu na yeye anaenda kumtoa lunch boy wake, basi niliumia sana.
Njia pekee ya kuniach ni simple, niombe hela yani hapo napoteza interest.
Katika harkati zangu za kutafuta wife material, nikakutana na huyo...
MATAJIRI WANA MFUMO WA KUVUTA HELA NA MASKINI WANA MFUMO WA KUVUTA MAJUNGU.
Maskini anajua wapi apate umbea wa moto yaani kama unataka umbea kwake utaupata ila tajiri anajua wapi kuna mchongo wa pesa yaani anajua nani amtafute apate mchongo wa pesa.
Hapa nazungumzia maskini wa asili na...
Nyieee
Wanaume viumbe rahisi sana
Alafu wanaume wanatoa sana hela
Mwanaume kutumia mil 2 kwa siku kwasabaabu amevutiwa na wewe ni kitu kidogo sana
Ushauri:
Wanawake wote na wadada, mlioolewa na ambao hamjaolewa
Jamani
1. Jipendeni, vaa kama mwanamke, jipende - be feminine
2. Usitoe mzigo...
Ujumbe wa Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda kwa Madiwani wa Mkoa wa Arusha.
"Huwa na waambia viongozi wangu wa hapa, sitaki diwani masikini’ hatutaki diwani masikini tafuteni hela hata tukija kuwagongea kuomba nauli ya kwenda hospitali Mount Meru muwe na hela za kutupa, huwezi kutoa kitu...
Wakuu,
Mambo yameendelea kushika kasi huko Syria.
Waandamanaji na wananchi wameingia kwenye Benki ya Syria (Central Bank Of Syria) na kuanza kubeba maburungutu na maboksi ya fedha.
Kwenye video zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, waandamanaji wameonekana wakiwa kwenye wanatoka benki na...
Mtu anapokuwa maskini au kukumbwa na changamoto za kifedha, mara nyingi akili yake huzongwa na mawazo ya matatizo yanayomzunguka, ambayo yanaweza kumfanya aone kila kitu kuwa kibaya.
• Hii ni hali ya kisaikolojia inayotokana na msongo wa mawazo, kukata tamaa, au hata kujihisi kama hana thamani...
Wakuu habari za wakati huu,
Samahani sana Nina jambo lakuwashilikisha hapa jamani. Mimi ni kijana nimefiwa na wazazi wangu wote kwa kufatana yaan alitangulia Baba ikapita wiki moja na Mama pia akafariki 😪😪😪. Dah!
Sasa suala langu so Hilo ila nilipenda ni rejee kidogo . SWALI:Je Nawezaje Kutoa...
Tuliyaona kwa Dr. Mengi.
Tukayaona kwa Mrema.
Tukayaona kwa bilionea Msuya.
Tukayaona kwa Dr. Likwelile.
Tumeyasikia kwa Hans Pope.
Na sasa yameibuka kwa Dr. Mwele.
Ndipo hapa naona hakuna maana ya watu kutafuta pesa kwa ajili ya watoto wao.
Usije na wimbo wa kwamba "watu waandike wosia...
Hello ! Uzi huu nitakuwa nikikupa updates za Magari used yalipo sokoni, yenye uzima na yanatumika kwa bei nafuu kabisa….kwa latest updates unaweza Subscribe uzi huu, ili kupata taarifa za gari mpya itakayo postiwa hapa. Pia unaweza follow instagram Page yetu kwa handle ya 👉🏾( @tunauza_we_sell )...
Habari za jioni wakuu
Napenda kuwapa taarifa kuwa sikopeshi mwanamke yoyote hela yangu tena. Kusema kweli sijawahi kukutana na shida ya kurudishiwa hela yangu kutoka kwa mwanaume mwenzangu (niliowakopesha mimi) ila kwa wanawake yamenifika kooni. Hadi uwe mkali ndo upewe hela yako.
Nimekopesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.