Salamu.
Ama baada ya salamu Mimi ni mzima wa siha muruwa.
Mwezi Dec nilipata wasaa wa kutembelea nchini Misri, ratiba yangu ilikuwa very tight kiasi kwamba hata airport sikuweza kubadilisha Egyptian Pound kuwa USD.
Sasa zimekaa ndani Nina zaidi ya Pounds laki Moja ya Misri, ubalozini...
Bench la ufundi, Hersi na baadhi ya wachezaji. Na ndio maana Pacome alianzishiwa benchi.
Tukubali tu kuwa haya ni maisha na kuna hela ukionyeshwa ni ngumu kuikataa hata kama wewe ni paroko.
Muarabu akitaka jambo lake anaweza kukupa hata behewa la SGR
Kumiliki nyumba au ardhi haviwezi kukupa utajiri mkubwa, fuatana nami ujifunze experience yangu ya umiliki wa hizi mali
Mimi Mr Why nataka nishare experience yangu ya umiliki wa nyumba na ardhi
Nimemiliki nyumba na ardhi kwa muda mrefu lakini havikunipa fedha za kutosha
Mwanzo nilidhani kuwa...
Kama kichwa cha habari kinavyosema mm ni mtumishi katika halmashauri ya mji wa Tarime, toka nimeajiriwa miaka mitatu iliyopita na sijawahi kulipwa hela yangu ya kujikimu na kila ninavyofuatilia imekuwa ni danadana.
Wenye mamlaka tusaidieni tuweze kulipwa hela ya kujikimu kwa maana ni haki yetu.
Chama Chadema kuna watu waliokosa maono .
Tundu lissu , yupo sahihi kutokubali kukichangia hiki chama I agree with him.
Mimi nachojua life is about priority Maisha ni swala la vipaumbele zaidi .
Kulikuwa kuna haja gani ya kununua jengo la billion 1.6 wakati tunashindwa kugharamikia uchaguzi...
Hebu niambieni ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo kwaajili ya matumizi ya ndani ya nyumba Huwa anaongea sana maneno mengi halafu muda mwingi anakua na hasira na kununa nuna hovyo ?
Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.
Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?
Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
Wengine nimewapiga block,
Wengine nimewapotezea sipokei simu zao,wengine nawqoiga kiswahili.
Hakuna niliyemuambia kuwa sina.na hakyna niliyenpa hata mia
Mwanaume usiseme sina.utakuwa John Cena,
Hivi wanawaje hudhani sisi tunaikotahela?
Msisitizo kwamba Tutafute hela ni wa kweli. Cheki makazi ya maana kabisa. Sio wewe unaenda kujenga kijijini kwenu huko Singida bado unaenda kubanana karibu na sokoni
Huyu demu nimemtongoza hata wiki mbili hakuna tayari matatizo Yake yote ya kifedha amenipa Mimi Leo hili Kesho kile Sasa nimechoka nimeona nimuambie ukweli
Lissu anagombea Uenyekiti kwa hasira baada ya kuletewa Wenje ili amuondoe kwenye nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti aliyokuwa ametia nia.
Akiwa anajibu maswali kwenye kipindi cha ClubHouse, Lissu amesema, "Yanayoendelea Chadema chanzo chake ni hizo hela za Abdul nilizozikataa ambapo Wenje alikuwa...
Ewe kijana jitathimini sasa.
Mpaka sasa umeshamtumia pesa ya kusuka, pesa ya viatu na mmeshapanga sehemunya kukutana kula bata.
Mpak muda huu Atm ishaumia mara kadhaa kqa ajili ya kumnunulia pamba za sikukuu.
Je umejiuliza mpaka muda huu umemtumia Baba yako na Mama yako kiasi gani?
Panga...
Me ni mwenyeji wa Kanda ya kati uko mkoa x ila kwa sasa nipo mjini Dar baada ya kupata huu mchongo. Kuna jamaa angu alinstua kwamba nije Kuna kazi imepatikana uko nje ya ulaya katika nchi ya Poland.
Basi nikawa nimekuja toka wiki iliyopita kufatilia basi akawa ameniunganisha na uyo agent na...
Naona mahusiano haya yatanishinda, asubuhi kaamka anataka nimtumie hela anunue gesi, mchana kanitumia meseji tena anataka nimsaidie kulipa ada ya chuo saa hizi anataka hela ya kwenda kusuka
Nimewaza na kuwazua sijamuelewa ikiwa kazi anafanya ya serikali na kuna mchongo nimemconnectia anapiga...
Mambo mengine ni kufanya tathmini tu ya kawaida, Lissu aliitisha mchango kwa nguvu kubwa sana, lakini alichopata ni cha kununua pikipiki ya SUN-LG.
Anapata wapi nguvu ya kuamini tutampa kura?
Wakuu,
Kumbe ukiachana na mshahara Rais wa JMT anapewa Milioni 60 nyingine kila mwezi kutoka kwenye kitu kinachotambulika kama MFUKO WA RAIS?
Kwa mwaka hiyo ni Milioni 720.
Kwa hiyo kwa mwaka Rais ana Milioni 720 ambazo atachagua atafanyia nini?
Hii pesa yote inapita kwenye wizara gani? And...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.