hela

  1. Stuxnet

    Edwin Odemba Tafuta Hela Ukodishe Star TV Kwa Mzee Diallo

    Kwa sasa huwa naangalia Star TV vipindi 2 tu; Medani za Siasa na BBC ambacho Star TV wanakipitisha tu kwenye kituo chao. Star TV kwisha kabisa haina vipindi vyenye mvuto zaidi ya Medani za Siasa cha Edwin Odemba aka Chief Odemba Huyu nguli wa maswali ambayo ni multi task, multi discipline ni...
  2. Informer

    Tanzania: Meta kuanza kuwalipa wazalisha maudhui wa Instagram na Facebook

    Agosti 6, 2024 Meta imesema kuanzia mwezi huu (Agosti 2024) itapanua zana za uchumaji wa mapato za watayarishi nchini Tanzania kwenye Facebook na Instagram. Hatua hii ni matokeo ya moja kwa moja ya michango taasisi ya JamiiForums na wadau wengine ambao ni watetezi wa Haki za Kidigitali na...
  3. jangos

    Natumia njia Gani kati ya hizi kupokea hela?

    Kuna hela kidogo nimezipata mtandaoni Sasa Kuna hizi njia za ku withdraw kama Kuna anayejua inayosupport apa bongo anipe details 👇
  4. Jini Kisiranii

    Tuliopigwa hela na BR investment mje hapa

    Habarini wana jamvi, hivi karibuni kama mwezi hivi uliibuka mtandao wa kuwekeza hela then unalipwa 20% ya fedha ulowekeza kila siku. Kama kawaida wa tz hatusikii watu wakajiunga. Mimi fursa ikanifikia kama wiki 3 zilizopits nikiwa najua kabisa mda wowwote naweza kupigwa. Basi nikatupia laki2...
  5. GENTAMYCINE

    Naomba kuuliza Vijana walioenda Kongamanoni leo Dodoma walienda kwa Utashi wao au ni kwa Utashi wa Chakula na Hela kutoka kwa Team Chawa?

    Halafu inakuwaje wengi Wao niliwaona kama vile Nyuso zao zilikuwawa na hofu na pia kukosa Kujiamini kama Vijana?
  6. Superbug

    Naapa kutomkopesha Mtanzania hela mpaka naingia kaburini

    1. Mligo wa njombe 600000/= 2. Evodi wa kibaha 100000/= 3.Elibariki wa moshi kati ya 280000/= umenirudishia 15000/= 4. Dotto wa kibaigwa 45000/= 5. Mama Thadeo wa ilemela 68000/= Haya madeni yana miaka miwili na zaidi Mungu atanilipa. Ila mligo wa njombe ushapata adhabu yako hapahapa duniani...
  7. GENTAMYCINE

    Baba Levo: Diamond Platinumz alitaka apewe Milioni 300 na Yanga SC aende Siku ya Wananchi, ila Yanga SC hawana Hela na wakashindwana hapo

    Tusichoshane nendeni Wasafi FM huko mkamsikie Wenyewe. Mnajifanya mna Hela zisizo na Kazi kumbe ni Masikini tu.
  8. GENTAMYCINE

    Tafadhali naomba hili la Treni ya SGR kupatwa na Hitilafu za mara kwa mara za Bundi na Ngedere liwekwe katika Michezo ya Kubeti ili tuwe tunapiga Hela

    Manake naona sasa kila Siku tu lazima kuna Taarifa ya Treni ya SGR Kukwama njiani. Iwekwe katika Kubeti tule Fedha.
  9. L

    Mwambieni Haji Manara atoe ahadi nyingine inayopendwa hasa ile inayopendwa na Mende

    Binadamu anapenda sana starehe, hasa starehe ya kupata watoto.Ahadi ya hela sisi sio ishu, toa ahadi, sisi wengine tunapenda tabia ya mende. Toa ahadi endapo Yanga haitofunga mabao manne siku hiyo ya trh 8 basi utatoa ile apendayo mdudu Mende.
  10. Tyrone Kaijage

    Tumwambiaje Lamine Yamal mbadala wa Tafuta hela?

    Tumekuwa tukihimizwa kutafuta hela na tusiendekeze mapenzi, Sasa bwan mdogo wetu Yamal yashamkuta huko,demu kawekwa kwa mapaja na mwamba mwingine kijana kahamaki,... ingawa kiasi fulani kajipata je, tumwambiaje sasa maana hela tayar anazo na zinazidi kuja....
  11. Jaji Mfawidhi

    Elimu si kipaumbele: Hela za Mabango na wasanii zipo za vitabu hakuna!

    Mtaala wa form 5 unasitishwa kwakuwa hakuna fedha za vitabu, holi siyo jambo la ajabu kwakuwa hienda si kipaumbele cha mhusika , Waziri wa Elimu na Kaatibu mkuu. Wamelala nyumba ya seriaklai na gari ya serikali ya milioni 450 ianguruma hapo nje. Haya, tuendele kunywa mtori, nyama zipo chini.
  12. britanicca

    Hela yote ya Dubai kaichukua, mtu kategwa kategeka mtego waaa!

    Hili jukwaa linaloheshimika sana ! Bwana mkubwa wa hapo beirut Kachukua maamuzi na ku freeze Pesa yooote ya Mauzi ambayo ilikuwa kwenye bank Dubai, account imekuwa freezed kwa maagizo ya Serikali ya Beiruti Nimekumbuka kwenye corridor fulan tulikuwa tunaongea kwa Makamu wa Ufalmeni hapo...
  13. Equation x

    Sasa ni muda wa kubadilisha 'likes' kuwa hela

    Nina 'likes' nyingi sana kwenye mitandao ya kijamii, lakini hizo 'likes' hazinisaidii chochote katika utatuzi wa changamoto zangu za kimaisha. Nini kifanyike ili hizo 'likes' zibadilike na kuwa hela? Mfano mtu aki-'like' mada fulani, akatwe angalau 1000, si tutakuwa matajiri wakuu? Najaribu...
  14. Roving Journalist

    LATRA: Anayetuhumiwa kuchukua hela za Madereva Bajaj si Mtumishi wa LATRA ni Afisa wa Halmashauri ya Morogoro

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna Afisa wa LATRA amekuwa akichukua fedha za madereva Bodaboda na Bajaj ili awalipie faini na malipo mengine ikiwemi ya stika, kisha kutofanya hivyo, mamlaka husika imejibu. Kusoma tuhuma za Afisa huyo bofy hapa ~ Huyu Afisa anaichafua...
  15. S

    Ewe mwanaume, ukiona wakati wa uchumba unaombwa vocha, nauli ya daladala, hela ya LUKU na hela ya kula, kimbia

    Huyo siyo mtu ni kupe, na kama siyo kupe basi hafai kuwa mke, maana hatokuwa msaada kwako. Ndiyo! Kama ameshindwa kutafuta hela kwa ajili ya vitu vidogo kama hivyo unaoa kwa ajili ya nn sasa? Kuzaa tu? Hata panya anazaa. Acha ujinga wewe, chukuwa mke atakayekuwa msaidizi wako kiuchumi...
  16. ndege JOHN

    Tumia hela bila kuogopa

    Jenga mazingira weka njia na fensi na nafasi weka mazingira ya Choo mbele weka biashara mandhari mbona ulaini tu kijana acha ujanja huvijui vyote mtoto wa 2000 uongo Zambi Tanzania pazuri.
  17. haszu

    Kwa nilichokiona kwenye hii lounge, naacha starehe na mademu, najikita kutafuta hela

    Eeh watu wanahela hapa mjini, Mabinti wazuri ni wengi hapa mjini. Majivuno yangu yote yaliishia kwenye parking. Sema wenye hela wengi ni sura ngumu, sasa nataka nipambane af niwe kijana handsome, wenye hela halafu physically fits. Hii bar nitarudi tena kivingine.
  18. L

    Chadema acheni ubaguzi, Lissu anachangisha hela apate gari hamhamasishani, dogo kafungwa kule Mbeya familia ya Mbowe inachangisha

    Mtoto wa Mbowe, James Mbowe amefanikiwa kupata michango ya m 5 kwenda kumnusuru yule mtoto fala aliyekuwa akidhani serikali ina mchezo mchezo, huyo huyo Mbowe ameshindwa kuhamasisha wenzake kumchangia Lissu apate gari jipya. Fuatilieni vzr hawa chadema, yaan watu wa kabila la Mbowe wako wamoja...
  19. Mr Why

    Vijana wenzangu msipoteze muda wenu kusubiri hela za Google, Facebook na TikTok kwasababu ni hela za chai, mtachelewa kufanikiwa

    Vijana wenzangu, maendeleo makubwa mnayoyaona hapa Tanzania ikiwemo biashara kubwa, majumba makubwa na magari ya kifahari hayajapatikana kwa hela za mitandaoni Bali maendeleo haya yalipatikana kwa kufanya kazi kwa bidii kubwa ndipo mafanikio haya yakapatikana Nyumba mnazoziona Salasala, Mbezi...
  20. GENTAMYCINE

    Wana Yanga SC Wenzangu hapa JamiiForums huyu Achraf Hakimi tuliyemsajili anachukua nafasi ya nani? Tuna Hela ya Kumlipa wakati Madeni yanatuumbua?

    GENTAMYCINE nikiwa kama mwana Yanga SC Tukuka nimefurahi mno Yanga SC kumsajili huyu Mchezaji na hakika Yanga SC yetu kwa Msimu ujao si tu kwamba inaenda Kubeba tena Kombe la NBC Premier League bali pia inaenda kuwa Bingwa wa CAFCL na tukienda katika Mashindano ya Vilabu duniani Yanga SC tena...
Back
Top Bottom