Salamu.
Kwanza watawahamisha mazima wateja wote kutoka mitandao mingine na kuingia kwao kwa sababu watakuwa na vifurushi vyenye gharama nafuu hii itatokana na gharama za kuendesha mtandao zitakuwa ndogo kutokana na kutojihusisha na internet.
Internet inakula gharama sana kwenye matumizi na...
Nagongewa mlango kufungua wadau wanataka Hela ya ulinzi shirikidhi a.k.a sungusungu,na juzi wakati narudi usiku waliwweka limiti ya mtu kutembea usiku,hii SI sawa ,polisi wafanye majukumu Yao, ninalipa Kodi, haiwezekani kwenye nchi ambayo tunalipa Kodi zetu washindwe kudumisha usalama wetu...
Sijui yuko wapi sasa huyu mwamba?
Kila alichokisema katika nyimbo zake hizo mbili ninakabiliana navyo kila siku na kuvishuhudia;
-masjala file lako litaonekana tu kama utawapoza kidogo wale ps, la sivyo utaona linatafutwa kila siku.
-mpe mwalimu pesa uone mtoto anavyofuatiliwa na matokeo yote...
Ni kauli fupi sana lakini nzito kwelikweli. Akionyesha kukerwa na majizi Rais Samia aliitoa kauli hii. Majizi yote hakuna linalolala kwenye vitanda viwili, vyumba viwili wala kula sahani mbili za ugali kwa wakati mmoja, wanaiba na kurundika pesa ambazo wataziacha wakati wakifa.
Pesa hizo mara...
Nilikuwa mteja mzuri wa parimatch lakini nimekuja kugundua ni matapeli. Unaweka hela inaingia vizuri tuh lakini ukija kutoa hela hawakuoneshi hela umetolea kupitia number gani halafu utakuja kuona hela haingihi then utawatafuta watakuambia tunafanyia kazi.
Mwishowe utakuja kuona ulitoa...
Hii bado sijaelewa ningependa kupata au kujua ukweli, ukiwa kwenye biashara mitaani ni lazma ulipe hela ya ulinzi shirikishi hata kama kuna mlinzi kwenye fremu zenu? Hii ni nchi ya aina gani na tunapelekana wapi? Naombeni kujua ukweli.
Habarini wadau wangu wa nguvu.
Napenda kuuliza kuhusu Nala Money; Kuna yeyote humu ambae ameshawahi itumia. Nadhani wengi watakuwa bado sababu kwa Tanzania bado haijazinduliwa.
Jambo langu kubwa ambalo nilitamani kulifanya ni kuweza kupokea hela kutoka nje (German). Naomba kama Kuna mwenye...
Mawaziri wanapishana tu kuja na vimiradi uchwara vya upigaji Pesa !
Mnakumbuka Makamba akaja na ya kukodi Wahindi kufatilia Ukatikaji wa Umeme Mabilioni ya Kitanzania ?.
Sasa Ukiwa Waziri ,mwenye akili ya Ulaji, Kwa Samia lazima upige , yes unapiga kwakua Samia sio mfatiliaji, ili mradi...
Leo March 20 Kuna tukio nimelikumbuka kipindi Niko o level kidato Cha nne.
Nilipewa hela kama laki 4 kwa ajiri ya kulipa Ada na michango mingine ya shule. Kipindi hicho Ada inalipwa shuleni unapewa risiti halafu muhasibu wa shule anapeleka benki..nilikuwa nasoma shule ya jeshi ni ya day na...
Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Hayati Rais Magufuli, nataka ushahidi wa haya niliyoyasikia;
1. Ufisadi/Mwizi - Nataka kujua Hayati Magufuli alifisadi nini au aliiba nini na je kuna mahali amewekeza hizo pesa alizo fisadi, mwenye uelewa na hili aliweke hapa kwa uzuri kabisa wengine...
Credit Suisse ya Usiwiz imeiomba Swiss Central Bank iipige jeki baada ya hisa zake kushuka kwa kasi ' nose dive'.
Hii hali imetokana baada ya SVB silicon Valley Bank ya Marekani hisa zake zilipoanza kushuka.
Wawekezaji wakubwa na wadau wa Credit Suisse wamekataa kuendele kutoa msaada wakifedha...
Asalaam alhkumu.
This is the world we are passing through. Fanya yote tambua iko siku utalala kwenye tumbo la ardhi.
Jifanye mbabe, nguli gaidi n.k kaburi inakusubiri, hela ni mfumo na hela ndo kitu ambacho kinabadilisha watu mwisho kujipa ukuu kwasababu anachambambi chambi.
Endelea na...
Tangu Rais Mama Samia Suluhu Hassan atangaze motisha ya shilingi milioni tano kwa kila goli litakalofungwa na Simba au Yanga kwenye michuano ya kimataifa, Yanga wamekuwa watu wa 'kutaka sifa'. Wamekuwa wakichota mamilioni kwenye kila mchezo.
Wakati watani zetu Simba hadi sasa wakipata milioni...
Nyakati zimebadilika kwelikweli, zamani mtu masikini alithaminiwa sana na kuonwa mtu wa kupewa msaada lakini sasa hali ni tofauti nahisi ubepari umeptiliza.
Karne hii masikini anahenyeshwa kweli kweli siyo serikalini, kanisani wala msikitini matajiri wanazidi kutajirika masikini wanazidi kuwa...
Kwema wakuu,
Nimekaa nikawaza, TZS 5mil kwa kila goli naona kama ni hela ndogo sana. Kwa Serikali kama ya Mama Samia zile ni hela ndogo sana. Pengine hata zingefaa kua ni hela kwa kila mchezaji. Zile ni kama mshahara wa mchezaji mmoja tu hivyo hazileti sana motisha kusema unaipa timu nzima...
Habari za usiku wanajamvi.
Kwanza nikiri kuwa nilifanya uzembe Kwa kuleta ujamaa kwenye biashara.
Nashughurika na Mambo ya Logistics sasa last year kuna jamaa yangu mmoja alifungua kampuni ya clearing & Forwarding Ila kupata kazi ilikuwa kipengele hivyo akaniomba nimpasie angalau wateja wawili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.