Hapo ni Stand ya daladala Mbezi Louis kwenye foleni ya kusubiria Mwendokasi ya Kariakoo, huyu mwamba kila siku anawahi na spika yake na mic anapiga neno kisha anatembeza bakuli lake la sadaka. Tatizo hapo jirani kuna foleni nyingine ya mwendokasi ya kwenda Kivukoni ambapo napo kuna Mtaalam...
Hili ni tatizo na ni tabia inayonikera sana.
Mtu usipost upo kiwanja flani utashangaa inaingia text "Mzee nisaidie elfu 10 hapo"..
Sawa tunapaswa kusaidiana kwa shida na raha ila ukipata request za kuombwa hela na watu zaidi ya 6 kwa siku mbili tu lazima hata ule moyo wa kiutu unaisha...
Salaam!
Hivi kwanini wakuu watu siku hizi ukiwaambia kuna hela nasikilizia hapa au kuna mishe naisikilizia hapa wanaona kama kijana analeta janja janja 😅😅😅
Tena ukitaka uachane na demu akuombe pesa afu umjibu kuna mishe nasikilizia hapa itiki ✅ ✔ yaani ile ikitiki nitakusanua, huyo demu lazima...
Maulid Kitenge na wenzie walitamba mitandaoni kuwa wanakwenda kufanya mahojiano na DP world na kuleta majibu juu ya maswali ya watanzania!
Maswali makubwa mawili yakikuwa!
1. Mkataba ni wa muda gani?
2. DP world wamewekeza kiasi gani kwenye mradi huu?
Lakini cha kushangaza wamekwenda kumuhoji...
Mwanamke anayefahamika kwa jina la Blandinda Fredi Mkazi wa Kijiji cha Ilkrevi Kata ya Olturoto Wilayani Arumeru Mkoani Arusha anatuhumiwa kumuua Erick Adam ambaye ni Msanii wa Bongofleva na Mfanyakazi wa kiwanda cha mikate chanzo kikidaiwa kuwa ni kudaiana pesa ya LUKU (umeme).
Mashuhuda wa...
Salam..
Sijawahi kujaribu au kama kuna mtu imewahi kumtokea akachelewa kuitoa hela baada ya kutoka, je itadumbukia tena ndani au itakaa hapo hapo itaganda tu inasubiria.
Na kama ikirudi mahesabu yatakuwaje kwenye account yatajirudi tena kama awali au balance itapungua.
Changamsheni kichwa kidogo.
Kutokana na kile kinachoendelea kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu bandari ya Tanzania imeuzwa, Mbunge wa Geita vijijini Joseph Musukuma leo amezungumza na wanahabari akiwa Jijini Dodoma
Wizara ya elimu chini ya Profesa Mkenda hii aibu mnaitaka bila sababu. Kama mlijua fedha hakuna kulikuwa na haja gani ya kuita waalimu toka mikoani kuja Arusha kwenye semina na wamekaa wiki mbili mpaka wanamaliza tarehe 2 Mei,2023 hamjawalipa fedha zao.
Huu mradi wa SEQUIP imefadhiliwa na benki...
Si maneno yangu, ni Mkuu wenu mpya Mkoa wa Dar es Salaam.
Ukiwa kama kiongozi chunga sana maneno yako.
Tunajua kitambi ni kiribatumbo, ni ugonjwa, kipara sijui ila kiongizi lazima uwe na staha.
Salaam!
Katika kusaka faraja murua, juzi kati nilikutana na mdada mmoja hivi murua kabisa. Zoezi la kubadilishana namba likaenda vizuri.
Leo asubuhi na mapema kaniomba hela ya chai; nami, kwa kuzingatia bei halisi ya maandazi huku kijijini ambayo ni tshs 100, nikamrushia buku na mia mbili ya...
Wakuu nimekutana na hii clip,
Issa Haji Gavi Katibu wa Oganaizesheni wa CCM Iringa anaonekana akieleza kuwa kadi ya CCM ina uwezo wa kutoa pesa Benki.
Sikiliza mwenyewe kisha uweke maoni yako.
---
Kadi za kielekroniki za CCM kutumika kama ATM
Iringa. Katibu wa Oganaizesheni wa CCM, Issa...
Habari.
Mi mwenzenu sijui nikoje haya maimani ya ajabu ajabu yananipa shida sana huku duniani yaani huwa hata siwazagi haya mambo.
Sàsa mimi nina ela yangu msimbazi safi nahitaji kitu kwenye duka chenji hana na mimi kutembea na hela ndogo ndogo siwezi namwambia mwenye duka nasi nipe bidhaa...
Hellow africa
Sikutegemea Zari kwenda element kuspend sio hazi yake yeye alitakiwa kwenda maeneo kama wavuvi kempu, karambezi, sea crif, cape town huko ndiko anaweza tumia pesa pale anagawa tu
GENTAMYCINE nawaibieni Siri Watani zangu Wapendwa Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi kuwa tayari Wafiwa na Wazanaki kwa Kuwaogopeni wameshatenga Tsh Milioni Moja ya Utani (kuwapa Watani) hivyo Kesho Saa 3 Asubuhi kabla Mwili haujatolewa hapa Masaki Nyumbani kwa...
Katika harakati zangu za moja na mbili na utafiti mchwara niliofanya bila kufata vigezo vya kisayansi na kiutaratibu wa utafiti wowote ule nimeweza kugundua yafuatayo;
~ Wanawake wengi hawana mapenzi ya kweli kabsa.
~ Wanawake wengi wanaingia kwenye mapenzi na mwanaume au wanaume ili...
Mimi ni Mkazi wa Mkoa wa Tanga, Wilaya Kilindi, Kijiji cha Kikunde naona huku wazee wanapata shida sana.
Wale wazee ambao hawajiwezi wanaopokea pesa za TASAF wamegeuzwa makatapila huku wanatengeneza barabara za mitaa sio mchezo.
Najiuliza kama Serikali inataka kutuulia wazee wetu waseme au ni...
Habari wanaJF
Naomba kuuliza, hizi fedha za tozo wanazokata serikali kwenye miamala yetu ya simu huwa zinafanya kazi gani? Ni kwa ajili ya miradi ya maendeleo au matumizi ya kawaida, naomba kujua maana naona kimya tu?
Nilichogundua Kama upo na circle ya watu waliofanikiwa Kama ukiwa mtu wa kuwaomba hela Basi Fahamu watakupa bloko au watakuchukulia Kama msumbufu tu.
Yaani haijalishi mtu analipwa sh ngapi au anaingiza sh ngapi usithuhubutu kumjengea mazoea ya kumuomba hela ni hatari Sana. Labda uwe unafanya...
Nina ndugu yangu yuko nepal, sasa western Union ya nepal hairushi hela toka huko kuja Tanzania, je bank to bank itafaa, au kuna international agency ingine ipo..wenye uzoefu wanisaidie
Wakuu hisa za Tanga cement zimerise for almost 50% ndani ya wiki mbili tu. Kama mjuavyo hii mostly imechangiwa kwa kampuni hii kuuzwa kwa Twiga cement company PLC hivyo future prospectus itakuwa njema zaidi.
Kama una mpunga tupia Tanga cement PLC hutojuta.
Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.