Tunaishukuru sana Serikali kwa uamuzi wa kununua Mahindi ya Wakulima kwa Bei elekezi ya KG 1 Tsh 860.
Hata hivyo tangu Wakulima wapekele Mahindi yao bado hawajalipwa Fedha zao hali inayosababisha kuleta ugumu wa kufanta maandalizi ya Kilimo kwa msimu huu wa Masika ambao kwa mikoa ya Nyanda za...
Nimetafuta hela juani, siku nyingine vumbini, mara nyingine ni kwenye mvua au porini nalala na fisi.
Sasa nakuja mjini kuchukua hela mara moja, kwa nini nisiingie saloon spa kufanya scrub kujiweka safi na masaji kuupa mwili raha!
Tafuta hela, ukipata hutaona kama scrub ni udada.
Weekend njema...
Naona watanzania kwasasa wengi wao wamekuwa na hulka ya kupiga picha na hela trna hela za kutosha. Je tabia hii wewe unaichukuliaje, ujanja au ushamba?
Jana Obama na Michelle wametimiza miaka 30 ya kuwa pamoja. Pamoja na kutimiza umri huo hamna hata siku moja ambayo Michelle alimuomba Obama hela akanunue gesi achilia mbali luku, vocha, hela ya kusuka nk.
Chief Godlove ame bambwa. Kuna video ina sambaa mtandaoni iki mu expose Chief Godlove . Katika video hiyo chief anaonekana akiwa na hela ambazo ukichunguza vizuri utagundua kwamba ni note moja ya elfu kumi kwa juu ila kwa chini ni vimbao. Ukitazama vibaya unaweza kufikiri ni mabulungutu...
Mgabe alishawahi kusema fisrt class students become engineers, doctors and so and so
third class students become politicians, witch doctors and so and so in order to eat the money of the first class students.
Huo ndo ukweli waliosoama history ndiyo watoa maamuzi ya fedha zenu ziende kwenye...
One of the most reckless statement ever...
Kauli ya kizembe sana..
Mtu anafanya kaz serikalin au kwa Kampuni binafsi unamwambia tafuta hela?
Unataka aibe au?
Na hii kauli ya reja reja sio ya bahati mbaya, ni ya machekbobu wanaotamba kwenye mitandao na scraps za dola 10-15k.
Hii kauli inakuwa...
Katika Uongozi wa Awwmu ya tano, 13 Agosti 2016 aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli alimtengua Dkt Servacius Likwelile, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango(sera) nafasi yake ikachukuliwa na Doto James.
19 Machi 2016 Vicky Kamata alifunga ndoa na Likwelile.
Watu...
Duniani kuna majambo na vijambo.
Basi bwana juzi nikiwa natoka kwenye mishe zangunza kijamii nikapita Atm.
Eneo hilo kuna Parking so nikajump kidogo pale na kuweka Mkweche wangu.
Eneo hilo hilo kuna Yard ya Wauza Nyapu.
Turudi nyuma kidogo, siku hizi ukikutana na Mwanamke Mzuri au mwenye...
Wengi tunatamani mahusiano tukiamini itakuwa njia pekee ya kutuliza nafsi pamoja na uchumi.
Mambo yamekuwa ni kinyume, na imekuwa ni karaha; kama huwezi kuhudumia kwa kutoa pesa, hapo migogoro lazima iwepo.
Wanaume wamefanywa chuma ulete au watumwa kwa kutumikishwa kuwatafutie hela au uhakika...
Ni majanga.
Utasikia nimeibiwa na boda, wamekwapuwa pochi yangu baada ya kutoka kutoa hela Mlimani City, ilikuwa na smart phone na ile laki tano niliyotoa baba watoto!
Au nikiwa ndani ya daladala, nafikiri yule kijana pembeni yangu alipulizia madawa ya usingizi au ya kulevya, akanikokota...
Nilichogundua Binadamu huwa anakuaga na mipango Mingi akiwa Hana hela.
Mfano back the days Mimi na classmates zangu tuliwahi kupanga Mambo ya kuoa nk but now hao classmates wapo Sehemu nzuri wengine katika Taasisi kubwa na wengine wafanyabiashara so Hakuna hata mmoja kaoa na hawataki kusikia...
Yaani nimezaliwa tarehe kama ya leo unanipa zawadi au hela kwamantiki gani? Kwamba unanipa zawadi kwa kuzaliwa? Unanipa hela sababu nimezaliwa leo?
Sijaelewa naomba kueleweshwa.
Na Mashabiki wa Timu yako wengi wao wasivyo na Akili wakaanza Kuamini kuwa Five Five za Kubahatisha FC watamsajili Kiungo Mshambuliaji Makabi Lilepo na hatimaye dirisha la Usajili limepita Jana hajaja.
Haya haraka sana tafuteni Pesa za Kuwalipa akina Morrison na Doumbia kabla hawajaenda FIFA na...
Walengwa hasa ni wale wanaopata pesa za ghafla (zawadi, kuhongwa, betting, michezo, kuotea, boom la chuoni, n.k) na wale wanaojidunduliza.
kununua simu ni hatua ya kwanza tu, bado kuna mambo yanafuata. ni sawa na gari inabidi ununue kwa kuzingatia ulaji wa mafuta, bei za spare, gharama za...
Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amezungumzia kuhusu Mjadala wa Dola kuadimika unaoendelea Nchi.
Amesema watu inabidi watambue kwamba Dola sio hela yetu bali tunaipata pale tunapopata Mkopo, Msaada, tunapouza bidhaa ama Huduma nje ya Nchi ndo tunapata Dola.
Sera za kifedha za Marekani...
Hawa jamaa wanakuwaga na shida mbalimbali katika safari zao wakipatwa na shida.
Unakuta mzee msaada hapa gari imepata tatizo nisaidie kunitumia hela mimi bosi wa gari akinitumia nitakutumia na shida ninunue spea kufnge chapu niendelee na safari.
Baada ya kutuma mzee asante sana nimepata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.