hela

  1. NetMaster

    Case Study: Wanaume wanaohimizana watafute hela ili watoke na wanawake wazuri wengi wao background zao ni umaskini uliotukuka

    wanaume wanaohimizana watafute hela ili watoke na wanawake wazuri, wengi wao background zao ni umaskini uliotukuka. Sehemu walizotokea na kuishi miaka mingi wameshakuwa brain washed kuiweka pesa mbele na ukifatilia vizuri kundi hili ndio wamekariri sana msemo wa "Tafuta Hela" , kwao Pesa ndio...
  2. Money Penny

    Haijalishi mwanaume mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae

    Kwani siku hizi class na desires mmemwachia shetani awashikie au? Nipo hapa kwenye kituo nasubiria usafiri, kuna wadada wanaongea kuhusu kupata hela na mabwana. Katika maneno yao meeengi, hili la mwisho ndio nilichoka. “Haijalishi mwanaume ni mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae"...
  3. Leo Lee

    Hela ya kujikimu kwa Ajira mpya

    Samahani ndugu napenda hvi kazi ya hela ya kujikimu ni ipi hasa? Maana haitolewi kwa wakati
  4. MK254

    Wagner wakumbwa na matatizo ya hela, mishahara imekuwa tafrani

    Hili zimwi alilokuwa analilea Putin na ambalo lilimsababisha aikimbie Ikulu kwa siku chache, linazidi kuwa kero, maana ni kundi la wapiganaji ambao kwa sasa wameingiwa na matatizo ya hela na kwa muktadha huo wanaweza wakawa hatari zaidi kwake na kwingine. The Wagner Private Military Company...
  5. Teslarati

    Hela za bila shortcut huwa hazisahau zilipopitia hata ufilisike vipi, lazima zitarudia njia yake siku moja

    Niamini mimi, Achana na hela za bahati, za waganga au za kurithishwa na kupewa, kwa uzoefu wangu hizo hela zikipotea ndo zimeenda huwa hazirudi. Lakini kwa mtu mpambanaji kweli kweli hata kama akiteleza akapoteza kiasi kikubwa cha utajiri wake basi hela zitakumbuka njia yake siku moja na...
  6. Notorious thug

    Tunatumia vibaya neno "tafuta hela"

    Nimeona uzi flani wa mdau kaenda GSM MALL SHOP kaona kitanda kinauzwa 8M kaja na uzi anatushauri tutafute hela. Najiuliza tutafute hela kwa ajili ya kununua vitu vya bei kubwa na starehe nyingi zisizo na maana kisa tumetafuta hela? Naona tutafute hela tuukabili umasikini ila sio kwa kufanya...
  7. enzo1988

    Tutafute hela jamani!

    Mh, hiyo bei ya kitanda na jinsi kilivyo! Tutafute hela tu kwa kweli! Ukiongea sana utaonekana una nongwa! Pita kule na hiyo ni ofa ya punguzo! GSM
  8. William Mshumbusi

    Baada ya Mo kumwaga mihela nyuma na kuifanya Simba kuingia Ligi ya Africa Sasa ni kama uongozi haumtaki ili upige mihela ya Africa

    Mo ategemee kabisa kuwekewa vikwazo vya kutosha ili aiache timu viongozi wafaidi maokoto kutoka Africa. Hii inaitwa unahangaika wee kufunga Nyati miguu, mdomo anatulia tuli Alafu ukimaliza wajinga wanakuwahi wanakufunga wewe pia Alafu wanaanza kumkamua maziwa.
  9. GENTAMYCINE

    Wenye Magari si huwa mnatutambia kuwa mna hela, sasa kwanini mnalalamika kupanda kwa bei ya mafuta?

    Na nyie ndiyo mnaongoza kuja na gari zenu Mitaani kutuibia Wake na Mademu zetu huku mkitamba na Kutucheka tusio na Magari. Yaani EWURA wamepandisha Tsh 400/ tu kwa kila Lita ya Mafuta mnaanza Kulia lia. Hovyo kabisa hivi mwenye Hela huwa analia lia? Akina GENTAMYCINE tunaopanda Dala Dala Kutwa...
  10. M

    Ukibahatika kuwa na hela nyingi usizitumie kufanya uovu. Kuna faida gani kuoa mwanaume mwenzio sababu ya pesa?

    WanaJF ninaandika huu uzi baada ya kusoma machapisho mbalimbali mitandaoni na mimi mwenyewe kujionea mambo mengi maovu. Watu wengi wenye pesa wamekuwa chanzo cha maovu mengi sana. Ni kawaida watu wengi wenye pesa kutaka kufanya mambo ambayo ni ufedhuli uliopotiliza. Kuna wengi wanatumia fedha...
  11. and 300

    Atumia ubunifu wa kujamba ili kupata pesa (Video)

    Ingawa pesa ngumu Ila huu 'ubunifu' haupendezi aisee. Ni masikitiko kama sio msiba.
  12. E

    Msaada nataka kumfungulia mtoto account ya USD kwa ajili ya kumtunzia hela

    Mambo vp wadau kama kuna mtu yoyote anaweza kunisaidia kujua faida na hasara kwa kufungua acc ya usd kwa kuhifadh hela naomba anifafanulie nipate uwelewa vizuri.
  13. S

    Kuiita "Pesa" hela ni kuikosea adabu itakuadhibu vibaya sana

    Kuiita "Pesa" hela ni kuikosea adabu. Ulishindwa kuiita pesa iite basi fedha, acha kuiita hela. Maana itakukimbia siku zote na hata ukipata utaipata kiduuuuchu! Wewe watazame matajiri, wanaiheshimu pesa na huwezi kuwakuta wanaiita hela.
  14. B

    DOKEZO TFF acheni ubabaishaji, wapeni watu hela zao

    Ikiwa imepita mwezi mmoja tangu kutolewa kwa Tuzo za TFF 2023, kuna malalamiko yameibuka juu ya zawadi za washindi. Kwa mujibu wa mmoja wa washindi wa tuzo hizo, mpaka leo hawajakabidhiwa fedha walizoambiwa watapewa washindi. Mbali na tuzo walizokabidhiwa siku ya sherehe, washindi waliahidiwa...
  15. Pdidy

    Na nyie kwenu mnao watu kama hawa?

    Best kama hauna watu kama hawa kwenye ukoo wenu katoe sadaka ya LKUJIMALIZA asikwambie mtu,,,,,,yaani wachaga tunavumilia mengi sanaaaaa Kuna magrp ya ukooo matajiri usiwaguse ati una ndugu yako mgonjwa aisee watakurudisha na vibokoooooooooo Ila itokee yule mgonjwa kafaa best yaan...
  16. frankkilulya

    Kwanini hela mpya zinazotoka bado zina sain za viongozi waliotolewa kwenye nafasi zao

    Ukiangalia Hela/Pesa mpya zinazotoka za noti Bado kuna sain ya waziri wa fedha Na gavana ambao kwa sasa hawapo kwenye nafsi zao. Prof. Philip mpango alikua waziri wa fedha lakini kwa sasa ni Makamu wa rais prof. Florens luoga Alikua gavana wa bank kuu Kwa sasa kuna waziri mpya wa fedha na...
  17. MGOGOHALISI

    Tetesi: Imejulikana, CCM wanategemea kupewa hela za kampeni uchaguzi ujao Toka DPW.

    Mara nyingi CCM hutegemea pesa za uchaguzi Toka kwa matajiri Ambao huzawadiwa rasilimali zetu kiholela. Wakati huu imekua ni zamu ya DPW ndio maana inatetewa kwa nguvu zote. Bibi tozo amehakikishiwa mpunga mrefu wa kampeni kwa chama chake ili waendelee kukaa madarakani na kuwalinda hawa...
  18. The bump

    Mwanamke aliyekupendea hela unamfanyaje wewe kama Mwanaume?

    Kuna nyakati huwa tunapitia maisha magumu sana na shida zisizo simulika lakini haisababishi mioyo yetu kuwa na Ganzi katika mapenzi, bado tunapenda na kutamani kuwa na wanawake wazuri na mpenzi atakaekupa pole na shida zako. Miaka ya nyuma kidogo sikua vyema kipesa,nilimpenda binti mmoja mzuri...
  19. MK254

    Kiongozi wa Wagner arudi Urusi kuchukua hela yake iliyotaifishwa, anatamba kibabe

    Ni dhihirisho tosha kwamba Putin ni mateka kwa mafia wa pale Klemrin, ikikumbukwa alivyobwatuka kwa hasira wakati wa uasi ambao ulisababisha vifo kwa marubani na uharibifu wa ndege kadhaa, uasi ambao ulitetemesha taifa, uasi ambao ulisababisha hadi Putin akaikimbia ikulu na kujficha, ila baadaye...
  20. Mwachiluwi

    Mtakaochangia mchango wa kufungua kesi hela zenu hazina kazi na kichwani kidogo kuna shida

    Hivi hao mawakili wameshindwa kweli kujichanga ndio wafungue kesi? Walifungua kesi wakitegemea pesa za watz? Na serikali mliwapaje kibari cha kutuchangisha uhuu ninupumbavu wafutiwe kibari cha kuchangisha Watz siku zote wanawaza kuwapiga watu uhuu ninupumbavu uhu upepo utaenda na pesa za watu...
Back
Top Bottom