Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mheshimiwa John Heche, anawatakia Watanzania wote heri ya mwaka mpya wa 2026.
Tunapoingia mwaka mpya, tunatambua maumivu, hofu na uchovu uliowagusa wananchi wengi. Tunawatakia uponyaji wa mioyo, faraja kwa waliopoteza wapendwa wao, na matumaini mapya kwa kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.