LEO asubuhi ndio nimegundua kuwa ile Yanga ya Nasreddine Nabi ilikuwa hatari ndani ya Uwanja,Yanga ya Gamondi pia ni hatari lakini hii Yanga chini ya ENG HERSI SAID ni hatari zaidi ndani na nje ya Uwanja.
AKILI za Eng Hersi na pesa za GSM inaonesha inaweza kwenda kujitengenezea ufalme wa mda...