Kijana mmoja baada ya kumaliza masomo yake ngazi flani wakati akisubiria ajira ana amua kujiingiza katika kilimo cha mahindi na maharage,
Anakodi shamba lenye ukubwa wa
heka 3 =240,000/
kufukua kwa trekta=120,000/
mbegu mifuko 9=108,000/
mbolea kilo 75=105,000/
vibarua wa kukatia mahindi heka...