Husika na mada hapo juu tunawaomba MA-PS (Baadhi), huko MAOFISINI mtuhudumie kwa upendo na kwa haraka, nimefanya utafiti kidogo nimegundua kumbe mabosi wana moyo wa kutuhudumia Ila wanakwamishwa na masekretari wao.
Mfano;
1. Ps unamsalimia hakujibu kwa makusudi.
2. Ps anakataa usionane na boss...
Wakuu Leo shemeji yenu amekula kelebu moja matata baada ya kuniletea majibu ya mkato yaliyochanganyika na mzaha wakati ambao mimi ndgu yenu nilikuwa serious.
Mara moja moja kuwakumbusha hawa viumbe kujua mipaka yao si vibaya maana mazoea yakizidi sana ni hatari kwa mahusiano.
Mwandishi na mchangiaji mtulivu asiye na makeke, hata umchokoze vipi anatabasamu anakuita tu Mkuu.... Mpaka unajisikia aibu. Alilelewa vizuri na wazazi wake akashika maagizo yao.
Msomi wa kiwango cha juu wa shahada ya Ustahimivu. Na elimu kwa ngazi ya PhD kwenye suala la mahusiano na...
Marekani utafiti umeonyesha kwamba ni vigumu sana kufanya kazi na kizazi Z ama generation Z ambao wamezaliwa kuanzia mwaka 1997.
Meneja na wakurugenzi wa wakuu wa utumishi walioulizwa kwenye utafiti wamesema ni ngumu sana kufanya kazi na kizazi Z kwani ni wabishi, wajuaji, hawana nidhamu wala...
Ni vyema na ni wakati muafaka Freeman Mbowe akapewa hii heshima, kwani anaistahili vilivyo.
Natumai vyombo husika wataliangalia hilo.
Freeman Mbowe ana mchango mkubwa sana kwenye siasa zetu Tanzania
Toa maoni yako
Picha ya Freeman Mbowe
Wanawake wamekuwa ni wahanga wakubwa wa mahusiano hapa chini ya jua.
Unampa mimba mwanamke, unakataa mimba, halafu kesho unategemea aweje kama sio single mother?
Mwanamke kafiwa na baba watoto wake unategemea nini? Kwanini uje hapa JF kuwatukana na kuwasimanga single mothers?
Hebu tujaribu...
Staa wa Muziki wa Bongo Fleva na Mjasiriamali Shilole ameiweka wazi Gari ya ndoto yake anayotamani kumiliki.
Wakati akizungumza na waandishi wa habari @officialshilole ameitaja “v8 new model” ndio gari ya heshima kwake na akiongeza kwa sema Gari aina ya Range Rover ni za kitoto.
DOZEN SELECTION
Mwanachama Maarufu hapa JamiiForums anayeongoza kwa Kuchukiwa bila sababu yoyote ila amebarikiwa Vingi na Mwenyezi Mungu aitwae GENTAMYCINE akitoka BAN yake apewe Heshima yake ya Kipekee hapa JamiiForums.
Mwanachama huyu ( GENTAMYCINE ) kwa muda wa Wiki nzima kabla ya Mechi ( Derby ) ya Simba...
Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa Leo , hvyo ndo inavyotakiwa , sisi wakristo ni wakengeufu sana , Hata Biblia haihalalishi kuhifadhi maiti mda mrefu , mfano Yesu alifariki akazikwa sku hyo hyo,
Mlolongo wa mazishi kwetu sisi wakristo ni kama ifuatavyo.:
Mtu anafariki , anahifadhiwa...
Imekaaje hiki cheti cha Diploma ni Dhahabu wakati cheti cha Advanced level ni Mkaa .Serikali ianze kuleta ubunifu kutoa kipaumbele cha Ajira kwa wenye Advanced Certificate.
Maslahi yangu: Mimi ni mwalimu kwa kusomea.
Nimefarijika na hatua zilizochukuliwa na uongozi wa JamiiForums kwa kuondoa/kufuta mada zote zinazowadhalilisha walimu na kada nzima ya ualimu na kuwapa adhabu stahiki wale wote waliokuwa vinara kwenye hilo.
Kuna mahali tuliyumba na tukakosea sana...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu ametunukiwa nishani ya Heshima ya nchi ya Afrika ya Kusini (National order of South Africa) na Rais wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa katika kutambua nafasi ya Tanzania katika kuisaidia Afrika Kusini kupambana na ubaguzi wa rangi...
Kinara wa magori katika timu ya taifa Mrisho halfan Ngasa ambaye ana magori 25 katika timu ya taifa(taifa stars).
amesema anatamani kupewa thamani ya kustaafu soka la kimataifa kutokana na makubwa aliyoyafanya akiwa na timu ya taifa stars ikiwemo kuagwa kwa heshima.
Masoudi Kipanya ana uwezo wa kuwasilisha fikra za Watanzania na jinsi wanavyohisi kuhusu maisha yao ya kila siku.
Hata hivyo, anaeleza kwa lugha rahisi kwamba Watanzania wamechoka na siasa kutokana na uwongo, unafki, ufisadi, wizi, na ulaghai ambao unafanywa na wanasiasa wa nchi hiyo. Kwa...
Njombe yametokea matukio mawili ya kujumu wakulima katika eneo la Mbolea. Wasambazaji wa Mbolea badala ya kupeleka Mbolea wanasambaza maelfu ya magunia ya mchanga na vitu vinavyofanana na mchanga.
Polisi wanaambiwa wachunguze wanasema sample zinasubiri majibu maana yake pamoja na Waziri...
Hapo ulipo inawezekana unapitia magumu, kama hauumwi, Kama si kilema usikubali kuwa mvivu, wewe ni graduate, umefukuzwa kazi, hujapata ajira, wewe ni form four, formsix, kila ukijiunga chuo unafeli, kila ukisoma huelewi.
Hii isiwe sababu yakukaa bila kufanya lolote.
Kesho jumatatu. Fagia...
Una mwanamke sasa ni miezi kadhaa. Pengine una miaka kadhaa pamoja naye. Lakini kuna vitu anavifanya huelewi hujui ufanye nini. Hujui kama uko peke yako au la. Muda mwingi anakua na jeuri, anakudharau na kukupandishia sauti hadi unatamani umpige. Unajihisi huna uhuru tena ukiwa naye. Hutaki ata...
Ni mara chache sana kukutana na msomi ukamuuliza habari za Kemet akakujibu kwa ufasaha. Hii inaonesha ni kwa kiasi gani knowledge ya Kemet iliyofichwa hasa hasa kwa waafrika ili kutodhihilisha ukuu wa mtu mweusi katika hii dunia.
Waafrika weusi wa Kemet walikuwa wamekwisha gundua kila kitu...
MKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Ephraim Mafuru ameahidi kufanya kazi kwa bidii, ili kurudisha heshima iliyopotea ya kituo hicho.
Mafuru ameyasema hayo leo mbele ya waandishi wa habari wakati akiripoti kwenye kituo chake kipya cha kazi na kusisitiza...
Deiwaka World chini ya Joseph Mbilinyi “SUGU” kwa kushirikiana na Alliance Francaise (Kituo cha Utamaduni cha Ufaransa), imeandaa “Bongo Flava Honors” Concerts ambalo ni Jukwaa mahsusi kwa Wakongwe wa Bongo Flava.
Concerts hizi zitafanyika Alliance Francaise, Upanga, Dar Es Salaam.
Kila mwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.