Kwa jinsi wachezaji walivyo wamechoka wengine kama inonga na sakho hawajali utoto mwingi tutarajie aibu super league.
Ingekuwa na uwezekano simba wajitoe au wanachama wa simba waandike barua cairo kuomba hilo.
Wazee wa ten pasenti mbona hamna huruma jamani mnaokoteza tu wachezaji
Ndiye mchezaji pekee anayejituma sana hapa Yanga. Na Aziz Ki naye anajitahidi. Ila michezaji ya ndani imezubaa sana. Huoni hata ikiumia tunapopoteza points.
Nimependa Hersi jinsi ambavyo amepiga simu na kumuweka loud speaker Mayele akimtaka kesho kutupatia magoli. Mayele amesisitiza atatetema...
Muasisi wa ndoa kwa binadamu ni Mungu.
Alipowaunganisha Adam na Hawa katiba bustani ya edeni.
Familia ni msingi wa Taifa lolote kwani kukiwa na familia imara ni rahisi kuwa na jamii imara,dini imara na taifa imara.
Familia ni taasisi nyeti na muhimu mno.
Kwakua taasisi hii nyeti ni muhimu...
Kumekuwa na Maandiko kadhaa na mijadala kadhaaa kuhusiana na umuhimu wa ndoa na wengine wakisimamia katika kampeni Yao ya Kataa ndoa,ndoa ni utapeli na kadhalika.
ETUGRUL BEY nae ameona achangie kidogo katika Jambo hili, nianze Kwa kusema Kwanza wale ambao wanakataa ndoa hawakatai Bila...
Wakati kukiwa na mjadala kuhusu utolewaji wa shahada za udaktrari wa falsafa wa heshima (PhD), Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda ametetea shahada kama hiyo aliyopewa Mwenyekiti kamati ya maridhiano Sheikh Alhadi Mussa Salum, akisema anastahili kuwa nayo.
Alhadi Mussa Salum aliyekuwa Sheikh mkuu...
PhD iwe ya kuingia darasani na kutoa andiko, kutoa andiko, au ya heshima zote zina sifa moja inayofanana. Sifa hiyo ni kutunukiwa na chuo husika baada ya kutimiza vigezo na masharti yao.
Walio na PhD baada ya kuingia darasani na kutoa andiko au kutoa andiko huenda mbele ya chuo husika na kusema...
Daktari yupo kwenye risk kubwa sana ya kupata HIV, maana daily anarukiwa na madamu damu ya watu lakini jitu hilo hilo likipona linashindwa hata kusema asante dokta.
Madaktari wanashika sana vinyesi vya wake zenu labour na wanawasafisha bila kinyaa lakini wakishajifungua shukrani hamna.
Mambo...
Kulingana na mchango wake mkubwa katika kuukuza muziki wa kizazi kipya napendekeza msanii mkongwe Chidi Benzi apatiwe PhD ya heshima sasa akiwa hai kama alivyopatiwa Babu Tale
Suala la PhD (Doctor of Philosophy) zinazotolewa kama za heshima, sasa si tu linakera, bali sasa linarahisisha na kudharaulisha maana hasa ya elimu.
Kama PhD, a pinnacle of acchieved learning, research na contribution to natural understsnding, linaanza kuwa la kisiasa nchini, basi tumefikia our...
Ajabu anayestahili zaidi kupata PhD ya heshima ndiye anayesakamwa zaidi. Mambo aliuofanya Tale WCB na kwa kina Dogo Janja, anastahili PhD kuliko maprofesa na madoctor wanaopeana huko majalalani.
Hata JK na Samia hawastahili PhD ya heshima kama Dr Taletale.
Nilikuwa nafuatilia vyuo vinavyotambuliwa na PhD za heshima walizotoa. Ukiangalia vizuri zimejaa wanaharakati, wachezaji wa michezo mbali mbali na wasanii. Sasa huyu spika kupoteza muda na kujadili haya ili tu Dr waitwe wenyewe haitawezekana na haipo kisheria kama ananyo aminisha watu. Hivyo...
Siku chache baada ya waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Qin Gang kumaliza ziara yake ya mwaka mpya barani Afrika, waziri wa fedha wa Marekani na balozi wa nchi hiyo kwenye Umoja wa Mataifa walianza ziara zao barani humo mmoja baada ya mwingine. Na imeeleweka wazi kuwa lengo kuu la ziara hizo ni...
Mbunge Katani amesema kitendo cha Waziri Mwigulu kudharau Phd za heshima amesahau Rais Samia Suluhu Hassana amepewa udaktari wa heshima kwa mageuzi makubwa aliyofanya nchini, Mstaafu Jakaya Kikwete alipewa udaktari wa heshima kwa kazi nzuri aliyofanya.
Iweje Mwigulu yeye adharau Udaktari wa...
LEO nimemsikiliza Waziri wa Katiba Damas Ndumbaro anavyojibu hoja za wabunge kwa heshima na unyenyekevu mkubwa kama chombo kinachoisimamia serikali.
Kwanini Mwigulu, Bashe na Makamba wamekuwa wakitoa kauli za dharau bungeni wanajiamini na nini?
Mwigulu : Mimi Dokta yangu ni ya darasani sio ya...
LEO nimemsikiliza Waziri wa Katiba Damas Ndumbaro anavyojibu hoja za wabunge kwa heshima na unyenyekevu mkubwa kama chombo kinachoisimamia serikali.
Kwanini Mwigulu, Bashe na Makamba wamekuwa wakitoa kauli za dharau bungeni wanajiamini na nini?
Mwigulu : Mimi Dokta yangu ni ya darasani sio ya...
Najua wengi mtatukana matusi mengi ila mkashindwa kukubaliana na ukweli!
Kokote kule, msaliti huchukiwa na kila mtu, awe mke ama mume akimsaliti mwenzake, huibuka chuki na pengine mgogoro mkubwa ndoa unaanzia hapo na hata kuvunjika kwa ndoa!
Watu wengi hawafikii katika hali ya kufunga ndoa na...
Wakati fulani mwaka juzi nikawa na safari ya kikazi Musoma. Sikuwahi kufika Musoma kabla kwa hiyo sikuwa mwenyeji wa maeneo nilitegemea boda.
Nikashuka stendi nikamwambia boda nipeleke lodge nzuri nzuri. Baadaye nikaona nisichemke ngoja nimshirikishe mwenyeji wangu. Mwenyeji wangu sikuwa...
"Njaa inadhalilisha heshima na uhuru wa nchi, inatweza utu wa binadamu kwahiyo tatizo la mfumuko wa bei za vyakula ni tatizo ambalo tutake tusitake lazima tuongeze kiwango cha ubunifu kukabiliana nalo, hakuna ukomo wa ubunifu, wananchi wanakibiliana na tatizo hili.
"Nilikuwa nazungumza na...
Kama umeteuliwa ni kwamba umekidhi vigezo kwa maana una sifa stahiki lakini pia umepewa heshima kubwa na Mamlaka iliyokuteua.
Jiulize kuna Watanzania wangapi wenye sifa zaidi yako lakini hawakupewa nafasi hiyo?
Vyombo vya habari vimetoa taarifa kuna Watu wamekataa Heshima waliyopewa na Mamlaka...
Habari zenu....
Katika maisha yangu nilijiapia sitakuja kumpiga mwanamke,mwanamke pekee niliyempiga tena kwa kumnyoosha ni mdogo wangu tu?
Kipindi alikuwa anavunja ungo alikuwa asikii la mtu mimi ndo niliyemnyoosha kama nisingekuwa mimi ndo alikuwa anaenda kuharibu maisha yake kwa kubeba mimba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.