Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefungua dirisha la rufaa kwa mwaka wa masomo 2026/2027 kwa muda wa siku saba, kuanzia Oktoba 25 hadi Oktoba 31, 2026.
Hatua hiyo inalenga kuwapa fursa wanafunzi wenye taarifa za ziada zinazoweza kuwawezesha kupata mikopo ya elimu ya juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.