hifadhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Rais Samia: Chuo cha Diplomasia sasa kitaitwa Chuo cha Dkt. Salim Ahmed Salim

    https://www.youtube.com/watch?v=Y8ALXkIaiow Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa shughuli ya Uzinduzi wa Tovuti ya Hifadhi ya Nyaraka za Dkt. Salim Ahmed Salim, leo Septemba 30, 2023 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Dar es Salaam. Maktaba hiyo ya...
  2. KING MIDAS

    Motu proprio ya Papa: Pango Hifadhi ya Nyaraka za Kitume Vatican!

    Katika barua kitume yenye mtindo wa Motu Proprio Baba Mtakatifu anafafanua jina jipya la Pango hifadhi la Nyakara za Kitume Vatican kuwa linashindwa kueleweka kutokana na uhusiano wa neno la siri na ambalo kwake linaonesha wazi uhusiano wa karibu kati ya Makao makuu ya Kitume na nyaraka zilizo...
  3. Miss Zomboko

    Asilimia 53.1 ya idadi ya Watu Duniani hawana malipo ya Hifadhi ya Jamii

    Haki ya Ulinzi wa Kijamii bado haiwezi kufikiwa na Watu wengi Duniani, hasa wale wanaohitaji zaidi wakiwemo Watoto, Wanawake na Wasichana, Wazee, Watu wenye Ulemavu na Masikini Takwimu za Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa zinasema Asilimia 53.1 ya idadi ya Watu Duniani hawana malipo...
  4. Ngongo

    Hifadhi ya Taifa Kigosi yafutwa rasmi na kuwa msitu wa hifadhi ya Kigosi

    Kigosi National Park ni Hifadhi ya Taifa iliyokuwa ikimilikiwa na TANAPA. Hifadhi hii imenyofolewa chini ya usimamizi wa TANAPA baada ya kugundulika ina hifadhi kubwa ya dhahabu. Hifadhi iliondelewa kipindi cha Mchengerwa alipokuwa Waziri wa Maliasili na Utalii na kukabidhiwa TFS ambayo ni...
  5. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kuendelea Kudhibiti Mimea Vamizi Katika Maeneo ya Hifadhi

    NAIBU WAZIRI KITANDULA - SERIKALI KUENDELEA KUDHIBITI MIMEA VAMIZI KATIKA MAENEO YA HIFADHI Serikali imesema inaendelea na jitihada za kudhibiti mimea vamizi katika maeneo ya Hifadhi na Mapori ya Akiba kwa lengo la kurejesha uoto wa asili nchini ambao ni tegemeo kwa wanyamapori. Hayo...
  6. Roving Journalist

    Majangili wajeruhi Askari wawili wa TANAPA katika Hifadhi ya Burigi Chato

    Jeshi la Uhifadhi -TANAPA wakitekeleza majukumu yao ya Ulinzi wa Rasilimali za Taifa katika Hifadhi ya Taifa Burigi-Chato walibaini ujangili wa nyama na kufanikiwa kukamata majangili wawili kati ya watatu waliokuwa wakiwinda hifadhini. Aidha, katika jitihada za kuwakamata majangili hao askari...
  7. JanguKamaJangu

    Afghanistan: Taliban yapiga marufuku Wanawake kutembelea Hifadhi ya Kitaifa

    Marufuku hiyo ya Uongozi wa Taliban umehusu Mbuga ya Wanyama ya Band-e-Amir iliyopo katika Jimbo la Bamiyan, ambapo Kaimu Waziri wa Maadili wa Afghanistan, Mohammad Khaled Hanafi amesema Wanawake wamekuwa hawazingatii mavazi ya hijabu wanapokuwa ndani ya mbuga hiyo. Amewataka viongozi wa dini...
  8. JanguKamaJangu

    Askari wa Uhifadhi TANAPA afariki kwa kugongwa na Nyati katika Hifadhi ya Taifa Mkomazi

    Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), William Mwakilema amesema kifo cha Askari huyo wa Uhifadhi Daraja la Tatu, Samwel Edward Nassari kimetokea Agosti Mosi, 2023 eneo la Mbula katika Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi wakati akitekeleza majukumu yake ya ulinzi Hifadhi...
  9. L

    SoC03 Tanzania, Kitovu cha Hifadhi ya Historia ya Afrika na Utalii

    Huezi kuizungumzia Afrika, pasipo kutaja Mlima mrefu zaidi, Mlima Kilimanjaro upatikanao nchini Tanzania. Huezi zungumzia Afrika, pasipo kuitaja Serengeti, hifadhi iliyopo nchini Tanzania na iliyoshinda tuzo ya hifadhi bora zaidi barani Afrika mara nne kwa mfululizo na huezi zungumzia Afrika...
  10. PANTHERA LEO

    KWELI Dan Friedkin ana hifadhi ya ardhi kubwa Tanzania

    Aprili 27, 2023, akaunti ya Mtandao wa Twitter inayotumia jina la MainLandAfrica iliweka chapisho linalodai kuwa Bilionea wa Marekani Dan Friedkin amekodisha takriban Ekari 6,000,000 za ardhi nchini Tanzania. Chapisho hilo lilienda mbali zaidi kwa kudai kuwa Friedkin ni mmiliki wa Ekari zingine...
  11. Richard

    Korea Kusini nchi yenye hifadhi kubwa ya silaha duniani wakataa kutoa silaha zaidi kwa Ukraine

    Raisi wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol ameondoka nchini Ukraine kurudi Seul baada ya kufanya ziara ya kustukiza akitokea Vilnius nchini Lithuania. Raisi huyo wa Korea Kaskazini alikuwa alihudhuria kikao cha NATO kilichokutana kujadili masuala mbaimbali likiwemo suala lla misaada zaidi kwa Ukraine...
  12. Stephano Mgendanyi

    Mbunge wa Ushetu Emmanuel Cherehani aipongeza Serikali kufuta Hifadhi ya Taifa ya Kigosi

    Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani ameipongeza serikali kufuatia juhudi za kutatua changamoto za migogoro ya ardhi baada ya kufutwa kwa Hifadhi ya Taifa ya Kigosi ambayo ilizuia kufanyika kwa shughuli za kibinadamu ikiwemo ufugaji na kuwakosesha wananchi wa maeneo jirani kufanya...
  13. BARD AI

    Mifuko ya Hifadhi ya Jamii yapewa siku 60 kuwalipa Wanachama wake

    Wizara ya Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, imetoa agizo hilo ikiwa ni siku moja tangu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kuitaka Serikali kuwawajibisha Waajiri wanaoshindwa kuwasilisha Michango pamoja na Mifuko kutolipa madeni ya Wanachama wake. Wizara hiyo imeagiza Majina ya Waajiri wote...
  14. S

    SoC03 Umuhimu wa matunzo kwenye hifadhi za barabara Tanzania

    Utangulizi Hifadhi nyingi za barabara nchini Tanzania zimeingiliwa kwa matumizi mbalimbali ya wananchi wakiwemo wafanyabiashara na watoa huduma wadogo wadogo wakati na wakati mwingine wale wakubwa. Maeneo kama Tegeta kwa mfano, ama Bunju ama Banana ama Gongo la Mboto ama Mbagala kumekuwapo na...
  15. S

    Hii ni aibu kwa Wizara ya Utalii kwa kinachoendelea Hifadhi ya Taifa ya Nyerere

    Kwako Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa (Mb), Hatua za haraka zinahitajika Hifadhi ya Taifa ya Nyerere/Selous. Mgogoro mkubwa unaanza kuibuka kati ya waendesha utalii (tour operator) na watalii wanaoenda kwenye hifadhi hii. Kitendo cha Maaskari wa Mbuga kuwatoa kwa nguvu...
  16. Stephano Mgendanyi

    Serikali Itenge Maeneo Maalum kwa Ajili ya Wakulima na Wafugaji ili Kuondoa Migogoro ya Hifadhi za Ardhi

    SERIKALI ITENGE MAENEO MAALUM KWA AJILI YA WAKULIMA NA WAFUGAJI ILI KUONDOA MIGOGORO YA HIFADHI "Nchi zilizoendelea mfano Afrika ya Kusini, Durban ni sehemu inayohusika na viwanda tu. Johannesburg ni sehemu inayohusika na Biashara tu. Tanzania tutenge maeneo yawe ni Maalum kwa wafugaji wetu tu...
  17. FaizaFoxy

    Faidika na Darsa la FaizaFoxy 2: Orodha ya nchi zilizo na hifadhi ya mafuta iliyothibitishwa.

    Orodha ya nchi zilizo na hifadhi ya mafuta iliyothibitishwa Akiba ya mafuta iliyothibitishwa ni zile kiasi cha mafuta ya petroli ambayo, kwa uchanganuzi wa data ya kijiolojia na uhandisi, inaweza kukadiriwa, kwa uhakika wa hali ya juu, kuweza kurejeshwa kibiashara kuanzia tarehe fulani kwenda...
  18. Stephano Mgendanyi

    Serikali kuchukua hatua kutatua migogoro baina ya Hifadhi na Wananchi

    SERIKALI KUCHUKUA HATUA KUTATUA MIGOGORO BAINA YA HIFADHI NA WANANCHI "Serikali ina mpango gani wa kutatua changamoto kati ya wananchi na maeneo ya hifadhi za Taifa ikiwemo Jimbo la Momba" - Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe, Mbunge wa Jimbo la Momba "Serikali imekuwa inachukua hatua...
  19. Roving Journalist

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira kurejea mtaani kufanya ukaguzi Mei 28, 2023

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) linatarajiwa kufanya ukaguzi wa uzingatiaji na utekelezaji wa Sheria ya Usimamizi wa Maingira (2004) na Kanuni zake. Mkurugenzi Mkuu wa NEMC, Dkt. Eng. Samuel Gwamaka Mafwenga amesema zoezi hilo linatarajiwa kuanza Mei 28, 2023 na...
  20. Roving Journalist

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira na wadau Dar wakutana katika kikao maalum cha udhibiti kelele

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limefanya kikao na wadau mbalimbali kujadili kuhusu udhibiti wa uchafuzi wa mazingira kwa njia ya kelele. Katika kikao hicho cha Mei 17, 2023 NEMC ilishirikisha wajumbe kutoka Wizara ya Afya, Wizara ya Ardhi, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa...
Back
Top Bottom