hifadhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Nimefukuzwa na mwenyeji wangu naomba msaada wa hifadhi Dodoma

    Habari za wakati huu Wana JF. Kwa majina naitwa David Mathias. Nilikuja Dodoma kutafuta maisha kutokea jijini Dar na nikafikia kwa rafiki yangu niliesoma nae chuo kimoja ambaye anaishi Nkuhungu. Rafiki yangu ameleta mwanamke ghafla na kuniambia kuwa anataka aishi nae kwahiyo mimi niondoke...
  2. Mwanaisha Mndeme

    ACT WAZALENDO: Hifadhi ya jamii ndio mwarobaini wa Bima ya afya

    HIFADHI YA JAMII NDIYO MWARUBAINI WA BIMA YA AFYA KWA WOTE; MUSWADA WA BIMA YA AFYA NI WA KUTUPILIWA MBALI! Ndugu Waandishi wa Habari, A. Utangulizi: Muswada wa sheria ya ‘Bima ya Afya Kwa Wote’ uliwasilishwa Bungeni rasmi tarehe 23 Septemba 2022 na unatarajiwa kuanza kujadiliwa katika ngazi...
  3. BARD AI

    Spika Tulia aitaka Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kuwalipa wastaafu hata kama waajiri hawajapeleka michango

    Dkt. Tulia Ackson ameihoji Serikali akitaka kujua nani anapaswa kuhakikisha michango ya mafao inayokatwa kwa wafanyakazi inapelekwa katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Pia ameitaka Mifuko kufatilia fedha kwa waajiri kwasababu sio wajibu wa mfanyakazi kujua michango imepelekewa au haijapelekwa...
  4. Mwamuzi wa Tanzania

    Serikali iunde tume kuchunguza tuhuma za mauaji yanayodaiwa kufanywa na askari wa hifadhi ya pori tengefu la Selous. Hali ni mbaya

    Selous hifadhi ya pori tengefu au pori la akiba kwasasa ndilo pori linalotegemewa sana na TAWA. Kama kawaida ya binadamu hakosi alternative pale anapozidiwa njaa au shida. Vijana wanaingia kwenye hifadhi mbalimbali kutafuta chochote kitu ili wapate kujinasua aidha kwenye njaa au wajinasue...
  5. Z

    Ikiwa mtu hayuko pensionable, haya mashirika ya hifadhi ya jamii yanakuwa na uhalali gani wa kushikiria hela za mwanachama?

    Tuliambiwa kuwa mashirika ya hifadhi ya jamii yataunganishwa lakini mpaka sasa Jambo Hilo halijafanyika.kila shirika linajiendesha kivyake. Jambo hili mimi naona limeleta usumbufu mkubwa. Ili mtu aweze kupata mafao ya kustaff anatakiwa awe amechangia miaka 15 . Tangia 2019 tuliambiwa kuwa...
  6. B

    Cuba yapambana kuzima moto mkubwa katika hifadhi yake ya mafuta

    08 August 2022 Havana, Cuba Moto mkubwa, katika ghala ya kuhifadhia mafuta unaendelea kwa siku ya pili baada ya moja ya matenki ktk ghala hiyo ya mafuta kupingwa na radi. Ajali hiyo imetokea Matanzas magharibi ya nchi hiyo, na Vikosi vya kuzima moto vinaendekea kupambana na moto huo mkubwa...
  7. Ibun Sirin

    Ndoto zimekuwa na nafasi muhimu katika maisha ya watu. Njoo nikutafsirie ndoto yako

    Usipuuzie ndoto, tafsiri ya ndoto huleta maarifa ya kina kunako ujumbe husika. Ndoto ni jambo la kushangaza ambalo hufanyika na kutokea majira ya usiku na huwa ina maana ya ndani zaidi nyuma ya uzoefu huu wa ulimwengu wa kawaida. Ndoto ni hifadhi ya ujuzi na uzoefu, lakini mara nyingi hupuuzwa...
  8. Lady Whistledown

    Kilimanjaro: Kijana apigwa risasi hifadhini, Familia yadai ushahidi unapotezwa

    Utata umeibuka baada ya familia ya mtoto, Ngatipa Parmao(17) anayedaiwa kuuawa kwa risasi na askari wa wanyamapori wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kudai kuna njama zimefanywa kuondoa risasi mwilini kwa mtoto huyo katika hospitali ya awali alikokimbizwa kwa matibabu. Familia ya mtoto...
  9. kyagata

    Kwanini Wakurya wanaishi na kufanya shughuli zao ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na Serikali haiwabughudhi kama inavyowanyia Wamasai?

    Eneo la wilaya ya serengeti kuna vijiji viko ndani ya hifadhi lakini hatujasikia wakihamishwa. Kwa nin serikali inaonyesha double standard?
  10. MIXOLOGIST

    Nani aliyetudangaya mbuga na hifadhi za wanyama ni mali yetu?

    Wasalaam wana JF Katika wiki hizi mbili naona malumbano mengi kuhusu hifadhi na mbuga za wanyama na wanyama wenyewe kama vile ni mali ambayo in exclusively kwaajili ya Watanzania. Naomba niwajulishe kwamba hivyo vyote ni urithi wa dunia. Sisi kama Watanzania tumebahatika tu kuwa jirani na huo...
  11. JanguKamaJangu

    Uingereza yasitisha safari za waomba hifadhi kupelekwa Rwanda

    Serikali ya Uingereza imesitisha mpango wa safari ya ndege iliyotakiwa kuwabeba waomba hifadhi kwenda Rwanda baada ya Mahakama ya Haki za Binaadamu ya Ulaya kusema mpango huo unaakisi athari zisizoweza kurekebishwa. Awali ilielezwa ndege hiyo ingeanza safari Juni 14, 2022 bila kujua idadi ya...
  12. Dr Matola PhD

    Hakuna mbuga inayoitwa Burigi, bali kuna hifadhi ya Burigi na iko documented hivyo

    Wahenga walisema mwisho wa ubaya ni aibu. Hatimaye baada ya kifo cha Magufuli sasa mambo yote hadharani, mbunge wa Biharamuro amemueleza wazi Rais Mama Samia kwamba wananchi wanalalamika kudhulumiwa jina la hifadhi yao ya Burigi na kuingizwa neno Chato na entry gate kwenda kuwekwa kilometers...
  13. K

    Urusi yashikilia ⅓ ya hifadhi ya yuan Duniani

    Kwa mujibu wa shilika LA fedha Duniani(IMF) nchi ya urusi imehodhi zaidi ya ⅓ ya hifadhi ya sarafu ya China(yuan) duniani
  14. macedonea

    Mifuko ya Hifadhi ya jamii

    Habari wanajamiiForums, rejea na kichwa habari hapo juu Naomba kwa pamoja tuwekane sawa kwenye haya masuala ya mifuko yahidhi ya jamii, maana mimi ni mhanga wa kutaka kujuzwa zaidi ya hapa ninapo elewa, Kufuatia taarifa ya mkurugenzi wa mifuko ya hifadhi ya jamii, tarehe 14 Nov 2018.kupitia...
  15. BigTall

    Wadai kuchangishwa Sh 10,000 kila mtu ili wasihamishwe Hifadhi ya Ngorongoro

    Baadhi ya wananchi wanaoishi eneo la Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) wamesema 'kiburi' walichonacho viongozi wa vijiji, wazee wa mila wa jamii ya wafugaji wa Kimasai na baadhi ya wanasiasa, kinatokana na kuachangisha fedha wakazi ili kwenda kuwatetea wasiondolewe hifadhini. Wamesema...
  16. John Haramba

    TANAPA yatangaza kifo cha Faru Rajabu (mtoto wa Faru John) katika Hifadhi ya Serengeti

    Shirikia la Hifadhi la Taifa Tanzania (TANAPA) limetangaza kifo cha Faru Rajabu aliyekuwa na umri wa miaka 43, leo Jumatatu Machi 21, 2022 akiwa katika Hifadhi ya Serengeti sababu ikitajwa kuwa ni uzee. Faru Rajabu alikuwa mtoto wa Faru John ambaye alifariki mwaka 2015 akiwa na miaka 47. Faru...
  17. Kijakazi

    Ngorongoro Hifadhi ipo tangia 1959 tu, kabla ya hapo nani aliitunza?

    Mzungu aligeuza Ngorongoro kuwa Hifadhi mwaka 1959 kabla ya hapo mbona Wamasai hawakuiharibu? Kama Wamasai ni waharibifu wa mazingira kwa nini Mzungu aliikuta ikiwa intact? Kwa wasiojua Mkoloni Mjerumani alikuwa anaitumia Ngorongoro kama sehemu ya kufugia Wanyama, na kulikuwa na mpango wa...
  18. John Haramba

    Wizara yafafanua taarifa ya kuonekana kwa FARU MWEUSI katika Hifadhi ya Taifa ya Nyerere

    Wizara ya Maliasili na Utalii inapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kuhusu taarifa iliyotolewa na mtandao wa Tanzania Times, tarehe 3 Machi, 2022 ikieleza kuonekana kwa faru mweusi katika Hifadhi ya Taifa Nyerere. Wizara imeeleza kuwa taarifa hiyo ambayo inaendelea kusambaa katika vyombo mbalimbali...
  19. peno hasegawa

    Mwenye kufahamu aina ya madini yanayopatikana Zanzibar tafadhali

    Mwenye kufahamu madini yanayopatikana zanzibar tafadhali Niko Dubai expo 2022 na tayari nimepata wawekezaji wenye nia ya kuwekeza Zanzibar kwenye sekta ya uchimbaji wa madini . Ninawasilisha
  20. Analogia Malenga

    Waziri Mkuu: Kama Mtu anataka kuhama Ngorongoro, Serikali itamuhudumia

    Picha: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema suala la idadi ya watu ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro ni kubwa, hivyo kama kuna watu watakaotaka kuhama kwa hiyari serikali itawahudumia. Pia amewataka wakazi wa Ngorongoro wasiwalazimishe watu watu kubaki kwa kuwa...
Back
Top Bottom