hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Mwamuzi wa Tanzania

    Ukimsaidia Mbongo jambo au fedha, kila tatizo atataka umsaidie tena. Hii ni ishara ya Low IQ

    Hi! Binadamu mwenye akili timamu au mwenye standard IQ anapaswa awe na aibu na utu. Nilomsaidia brother mmoja kumnunulia simu baada ya kuona simu yake ina matatizo. Sasa anataka nimsaidie kununua kaunta book za watoto wake. Anapiga simu kama ugomvi. Nilomsaidia mtu kupata kazi mahali kipindi...
  2. GENTAMYCINE

    Chukueni hii moto moto: Pacome alikuwa haumwi bali alichukia kuona Kocha anamuanzisha Benchi wakati Yeye si Mtu wa Benchi

    Na za ndani zaidi zimeendelea kusema kuwa Maelewano ya Kocha Mkuu wa Yanga SC ambaye wan Simba SC wamembatiza Jina la Uswazinyo / Uswahili Saidi Ramadhani na Pacome sasa si mazuri. Pacome alichukia sana hadi akawaambia Viongozi kuwa kama vipi atahamia Mtaa wa Pili kwenye Raha sasa.
  3. itakiamo

    Hii picha katika ulimwengu wa kiroho ina maana gani?

  4. CARIFONIA

    Wanaume leo tuishi na hii

    Wanaume, Maisha ni magumu, najua. Wakati mwingine unahisi kukata tamaa, lakini kumbuka, "maisha yanapokupa ndimu, tengeneza sharubati ya limau." Unastahili maisha bora, hivyo endelea kupambana. Huna PESA kwa sasa, lakini si MASKINI. Kukosa pesa ni hali ya muda, lakini umasikini ni mtazamo wa...
  5. Meneja Wa Makampuni

    Hatifungani ya Samia Kianzio Tsh 500000: Wale Mliotaka Kuwekeza Kwenye Hati Fungani (Bond) Hii Hapa Samia Infrastructure Bond Kianzio Tsh 500,000 Tu

    Wale Mliotaka Kuwekeza Kwenye Hati Fungani (Bond) Hii Hapa Samia Infrastructure Bond Kianzio Tsh 500,000 Tu Kwa kuanza, unaweza kuwekeza kuanzia TZS 500,000 kwenye Samia Infrastructure Bond kwa muda wa miaka 5. Hii ni fursa maalum ya kufadhili miradi ya ujenzi wa miundombinu nchini, hususan...
  6. L

    Kwa hali hii ilivyo, Bunge lijalo Naliona kama litakuwa na vurugu nyingi hiv.Maana raisi ameshapitishwa tayari

    Wajuvi hebu tuliangazie macho bunge lijalo,hiv litakuwa na sura gani? Naliona kama litajaa pongezi nyingi sana kwa walioteuliwa,halafu kila kitu kitapita bila kupingwa ikiwa kama hongo.Namuona mpina peke yake ndiyo akiwa anasimamia shoo sababu hana cha kupoteza. We unaona nini?
  7. Ritz

    Ripota wa Israel anauliza kuhusu hii video ya Hamas, Israel ilishambulia kwa mabomu siku 450 huko Gaza walikuwa wanapigana na nani?

    Wanaukumbi. Ripota wa Israel anatoa maoni yake kuhusu video hii: "Nataka tu kuuliza kwa upole: Je, Israel imekuwa ikishambulia kwa mabomu kwa siku 450 huko Gaza? Hamas inaonekana kuwa katika nafasi nzuri kana kwamba haikupigana vita dhidi ya jeshi la Israel." Hii video ya Hamas leo Jumapili...
  8. Sina Million 30

    Koti Ya namna hii naweza ipata wapi!? na Gharama yake

    Koti Ya namna hii naweza ipata wadi!? na Gharama yake.. Inaweza nisaidia kwenda kusoma Harvard University Nikizaliwa🚼
  9. Financial Analyst

    Kutokana na hii story yangu hauwezi nikuta humu nashabikia kutoa watoto EMs na ISs na kuwapeleka kayumba

    IT IS A SIMPLE STORY BUT VERY MEANINGFUL.... Kile kipindi cha shule za EM zimeanza kuingia bongo kiliwakuta wazazi wangu wamejaliwa na Mungu uwezo. Wakaamua wanitoe kayumba na kunipeleka EM. Kufika kule wale walimu walishangaa ni namna gani napaswa kuwa darasa la sita, wakati hakuna...
  10. M

    Ikiwa nafasi ya uenyekiti tu wa chama mnabagazana namna hii ingekuwaje kama mngeshika dola kuhusu nafasi ya Waziri Mkuu, Spika, Jaji Mkuu na Mawaziri

    Nimekuwa najiuliza sana kama nafasi ya uenyekiti wa chadema tu mnaongea hadi mnapitiliza, mnatukanana hadi wazazi wenu, mmefikia hatua ya kuua udugu wenu, zogo kila kila siku, kila mwanachama anaita vyombo vya habari anafyatuka tu, Mbowe anaongea kule, Lissu anaongea pale, Lema yuko kule, Heche...
  11. Kichuguu

    Mechi za CAF za kufuatiliwa Week-end hii

    Week-end hii ndipo mizunguko ya michezo ya CAF inakamilika. Kutakuwa ni michezo 16 lakini ya muhimu kufutaila ni hii hapa chini kwa vile mingine itakuwa ni ya kumailisha ratiba tu. CAF-CL Yanga Vs MC Alger: Mechi hii itaamua ni nani kati ya washindani ataingia robo finali na itakuwa ya...
  12. M

    Mimi mtu akinifanyia ubaya lazima apate matatizo makubwa ikiwemo kifo na magonjwa je hii imekaaje ?

    Wakuu Mimi sio mtu wa dini Sana wala ndumba. Mimi huwa naabudu mizimu na Mungu. Ila kitu ambacho huwa sikielewi Mimi mtu akinitapeli , kuniibia basi lazima apate matatizo ikiwemo kifo. Hivyo watu wamekuwa wakiniogopa Sana.
  13. Raia Fulani

    Hii litania bado valid?

    Hebu wakuu nanyi muicheki tuone kama bado inalipa. Hii iliandikwa kipindi kile cha mwaka 2015 wakati TAL anagombea urais. Katika uzi mmoja nikasema kama wakivuka salama hawa wakuu na FAM akawa mkiti, basi maridhiano yawe kwamba TAL apambane tena na SSH Ee Mungu Baba kwa namna ya pekee utuvushie...
  14. Nyani Ngabu

    Tundu Lissu aliwezaje kuiunga mkono hii switcheroo?

    Mwaka 2015, Tundu Lissu aliwezaje kuunga mkono ubadilishaji wa gia angani? Kwa siku na wiki hizi chache kuelekea kwenye uchaguzi wa CHADEMA, Lissu amekuwa akifunguka sana kuhusu mambo ya ndani ya chama chake. Kupitia kuongea kwake huo, yaelekea kuna mambo mengi sana ambayo alikuwa hakubaliani...
  15. Colonialism

    Hii kitu inaitwa FATE/DESTINTY Ni kweli kwenye Mahusiano ?

    Habari Wakuu , Natumai Mko poa . Moja Kwa Moja kwenye Mada . Kwenye Harakati za Maisha yetu ya kila Siku Unfortunately Jana Nikakutana na Ex Wangu . Actually Nilifurahi Kumuona coz Ukiachana na Kua Mpenzi wangu Hapo zamani Ila Alikua rafiki angu sana kwenye Mambo Mengine ya kimaisha ...
  16. secretarybird

    Hii ni kwa wanaompenda na kumcha Mungu tu

    Je ni ruksa kumtukana shetani kwa matusi mazito? Nasema hivi kwa sababu jana nilipitia karibu na kijikanisa cha kilokole nikasikia waumini wakimtukana shetani kwa matusi mazito tena mengine ni ya nguoni, eti "shetani shenzi kabisa, mwizi mkubwa, ***** la mama yako, Malaya weeee, ndo maana...
  17. KING MIDAS

    Je wazungu hawana wivu kwa washindani wao wa kibiashara? Hebu ona hii

    🗣️ "Hongera sana Jeff Besoz kwa kufanikiwa kufika katika orbit katika jaribio la kwanza kabisa la rocket ya New Glenn" Ameandika Elon Musk . — Mmiliki wa kampuni ya SpaceX amempatia Hongera zake mmliki wa kampuni ya Blue Origin mara baada ya kufanikiwa kurusha rocket yao na kufankiwa kufika...
  18. BwanaSamaki012

    Kwa Wale Mnaotaka Kuwekeza Mwaka Huu Pitieni Hapa Hii Idea Inaweza Kuwafaa

    Kama unataka kuwekeza kwenye ufugaji samaki basi anza kufikiria kwenye uuzaji wa Vifaa vinavyotumika kwenye ufugaji samaki (fish farming facilities) au uzalishaji wa mbegu bora ya samaki (sato na kambale), huku ndipo kuna maslahi zaidi kuliko kufuga samaki na baadae kuuza samaki kama kitoweo...
  19. M

    Ukiwa na hii skills ni ngumu kukosa kazi au michongo .

    Katika skills ambayo watu wengi hawana ni "Communication skills" Asilimia kubwa ya watanzania wanakosa hii skills . Ukiwa hauna uwezo wa kuwasiliana vizuri basi hata hizi Ajira zetu za 300K-500K sio ajabu ukawa unazitafuta Kwa tochi na haupati. Vijana wengi hii kitu imewakosesha Sana fursa...
Back
Top Bottom