Naam huu ndio mwaka wa hekaheka, waswahili husema mtoto hatumwi dukani.
Kama ulikuwa unasikia "tukutane 2025" basi mwaka wenyewe ndio huu.
Kuna mtu aliwahi kusema "mwaka wa kula hela za wajinga" mwaka wenyewe ndio huu.
Mwaka wenye maigizo na vichekesho, mwaka ambao wanyonge hutukuzwa kweli...