hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo hali ya Nishati ya Umeme katika Taifa letu

    Top 10' ya mikoa iliyoongoza kwa matumizi makubwa ya umeme 2022: 1.Dar es Salaam-2,805.9 GWH 2.Pwani-635.7GWH 3.Arusha-413.9 GWH 4.Shinyanga-411.2 GWH 5.Tanga-408.7 GWH 6. Mwanza-344.5 GWH 7. Morogoro-307.5 GWH 8.Dodoma-249.3 GWH 9.Mbeya-231.5GWH 10.Mara-215.1 GWH
  2. JamiiForums Tanzania Story hii itakusisimua kuliko zote, utatumia dakika 2

    Nikiwa nimekaa leacture room nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu, niliyekuwa nikimuita “Bestfriend” nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri na sura yake ya upole huku nikitamani awe wangu, lakini yeye hakuwa akitamani hilo na nilikuwa nikilitambua hilo. Baada ya leacture, alikuja kwangu...
  3. JamiiForums Tanzania Je JF ingeweka sheria hizi hapa ingekuaje?

    1. Hujiungi bila kuweka namba ya simu yako. 2. Kuwa na picha yako halisi au kitambulisho cha nida. 3. Uweke malengo yako humu JF nini. 4. Uweke kazi yako halisi unayofanya naukidanganya huwezi kulog in au kucreate account tungekuwa tunasumbuana akili kweli kwa kejeli na matusi si watu...
  4. JamiiForums Tanzania Watumiaji wa mtandao someni ushauri huu

    Kuna hoja na mada mbalimbali humu zinazotolewa na members, na members hawa wengi nimeona ni wataalamu wa kitu wanachokiongea, utaalamu si tu wa darasani ila pia kupitia experience ya jambo lake analozungumzia. My concern ni kwamba, kuna mtu anaanza poa kabisa kutoa hoja yake (au just...
  5. JamiiForums Tanzania Wataalam wa bata ni wapi pa kujiachia weekend hii Dar es Salaam?

    Wakali wa bata nipeni suggestions za place tulivu za kujiachia. Nataka kutumia weekend hii kula bata man alone. Sehemu ziwe zile classic zisizo na vurugu kuwe walau na muziki mzuri na warembo. Pia kama unafahamu Airbnb nzuri nitajie nataka nikitoa leo ghetto narudi jumapili jioni.
  6. JamiiForums Tanzania Hakuna Kauli mbovu na ya kizembe niliyowahi kuisikia kama hii ya "Tafuta Hela"

    One of the most reckless statement ever... Kauli ya kizembe sana.. Mtu anafanya kaz serikalin au kwa Kampuni binafsi unamwambia tafuta hela? Unataka aibe au? Na hii kauli ya reja reja sio ya bahati mbaya, ni ya machekbobu wanaotamba kwenye mitandao na scraps za dola 10-15k. Hii kauli inakuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Hii ndio mikoa ambayo Rais Samia amewekeza nguvu kubwa kuiletea maendeleo

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Wakuu.... wengi wetu hapa JF na nchini kwa ujumla, tunajua kwamba raisi wa JMT mh Samia S. Hassan anapambana usiku na mchana, ili kuhakikisha serikali yake inaleta maendeleo katika wilaya, mikoa na nchi yote ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Lakini kama ilivyo...
  8. JamiiForums Tanzania Wapi nitaipata hii kitu Kawasaki Z1000

    Nahitaji hiki chombo used.Naomba nipewe location zilipo
  9. JamiiForums Tanzania Utashi wa kifikra wa vijana wengi wa kiume unazidi kupungua kwa kuendekeza kuangalia video/picha za ngono

    Utafiti wa BBC unasema asilimia 37% ya internet search history zinahusiana na haya mambo na asilimia 35% ya downloads zote kwenye internet zinahusiana na haya mambo, vilevile asilimia kubwa ya watu wanao-search haya mambo ni wanaume tukiwa na asilimia 80% na wanawake asilimia 20% Tasfiri yake...
  10. JamiiForums Tanzania Unahitaji shingapi ili usifanye kazi tena?

    Nimewaza jinsi watu tunavyotumia muda mwingi kwenye maisha yetu katika kutafuta hela. Iwe ni muajiriwa wa kawaida, au hata tajiri, wote wanahangaika na pirika za kiuchumi, na kwa ujumla lengo kuu ni kupata pesa zaidi. Sasa nimejiuliza hivi haiwezekani kuwa na hela za kutosha kiasi kwamba...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nakataa Ombi la Mbunge Wa Kilwa Kusini, Ally Kisinge kuwaridhisha wapiga kura hata pasina na uhalisia

    Mh.Rais Samia ameendelea kuwafundisha watanzania haki zao za kiraia....UKWELI UKWELI UKWELI. Amelikataa ombi la mh.mbunge wa Kilwa Kusini ndg. Ally Kisinge la kulifuta eneo lililo zaidi ya kilomita moja kutoka pwani linalomilikiwa kisheria na kampuni ya kiwekezaji ya KILWA YARK CLUB. Mbunge...
  12. JamiiForums Tanzania Hii ndio Urusi, Ulaya na Marekani wanaiogopa (Miundombinu, Utamaduni, Viwanda, Uchumi na Maliasili)

    BWANA YESU ASIFIWE Nimekuwa nikifanya utafiti wangu wa mara kwa mara na kuleta taarifa sahii zenye uchunguzi wa kina kuhusu nchi mbalimbali na kisha watu waweze kuelewa undani wake. NImefanya utafiti wangu kwa miaka mitano kuhusu nchi ya Urusi. Leo hii nitawaletea hali halisi ya nchi hii...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ewe askari soma hii na uielewe

  14. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO inakata umeme kutwa viongozi wamekaa kimya. Nchi hii sasa ipo tu hamna dereva

    TANESCO sasa hivi wanakata umeme bila ya kutoa taarifa. Halafu hakuna kiongozi anayefuatilia wala kuzungumzia ili suala. Ingekuwa Magufuli angeenda kushuhudia mwenyewe iko kina cha maji kama kweli kiko chini. Sasa hivi hata Waziri haendi sijui kazi yake ni nini yeye anapewa taarifa kama sie na...
  15. JamiiForums Tanzania TANESCO: Tuna upungufu, siyo mgao wa umeme. Wananchi endeleeni kuvumilia

    Akizungumza leo September 18 katika kipindi cha #Supa Breakfast cha East Africa Radio, Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO ndugu Maharage Chande amedai kuwa Tanzania hakuna kabisa mgao wa umeme bali kuna upungufu Wateja na wananchi watuvumilie katika kipindi hiki najua ni kigumu kuvumilika na...
  16. JamiiForums Tanzania Hata Mimi kwa Dharau hii ningekuwa Kocha wa Singida Fountain Gate FC ningewaachia tu Litimu lao

    "Kocha GENTAMYCINE tafadhali tunakuomba upange Kikosi kulingana na Ulivyoambiwa na Kocha wa Yanga SC Gamondi ambao ni Ndugu zetu na siyo upange ujuavyo Wewe sawa?" Boss Mkuu wa Singida Fountain Gate FC. Haya nae sasa Kawaonyesheni kuwa siyo Mswahili kama mlivyo / tulivyo halafu Anajiamini...
  17. JamiiForums Tanzania Mimi na Joannah tunatarajia kufungua Kanisa hivi karibuni ili kukabiliana na hii hali ya Uchumi

    Bwana Yesu asifiwe watu Mungu. Mimi na mama mchungaji Joannah Katika majadiliano yetu ya kukabiliana na hali ya uchumi,tumeonelea tuanzishe Biashara ya Kanisa ili nasi tujipatie kipato kizuri kama wafanyavyo wapambanaji wengine. Haikuwa kazi rahisi kulifikiria hili suala ila namshuku Mungu...
  18. JamiiForums Tanzania Vijana ni Nishati ya Taifa, ila isipotumiwa vizuri Nishati hii inaweza kugeuka Hatari kwa jamii

    Vijana ni Nishati ya Taifa, Wao ni chanzo cha Fahari na Matumaini kwa Nchi husika ila ikitokea Nishati hiyo isipotumiwa Vizuri na kuongozwa kwa Uadilifu, inaweza kuwa hatari kwa jamii. Vijana huathiriwa zaidi na Athari za Ufisadi na Rushwa katika Taifa ikiwemo kukatishwa tamaa kutokana na...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali imchukulie hatua kali za Kisheria huyu aliyemtesa Mtoto kwa staili hii

    Haijalishi hata kama atakuwa Mtoto ana makosa kiasi gani, hii sio namna sahihi ya kumuadhibu Mtoto. Tafadhali Waziri Dkt. Gwajima D tunataka kuona huyu aliyefanya hivi anafikishwa kwenye vyombo vya sheria Pia soma: Jeshi la Polisi linamsaka aliyemfanyia Mtoto Kitendo cha Ukatili na...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa: Haijawahi kutokea kiongozi wa nchi kupita vijijini kama anavyofanya Rais Samia

    Waziri wa OR-TAMISEMI akihojiwa na Clouds Media amesema... Haijawahi kutokea kiongozi wa juu wa nchi kupita maeneo ya vijijini kama alivyofanya Dkt. Samia Suluhu Hassan hasa kipindi ambacho si cha uchaguzi lazima tuliweke hili hewani. Maeneo ambayo Mhe. Rais amepita siku ya jana maeneo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…