hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Intelligent businessman

    Ndugu yangu Half American, hii ni zaidi ya miyeyusho na mizinguo

    Bro huu sio utu wala uungwana kabisa, hata Kama ni unyama huu sio wa Dunia hii. nakumbuka ni wewe ndio uli nishauri nitoke kwetu nanjilinji, ili nije kukutembelea huko daslam. Kila tuki piga story una nichana eti nanjilinji sio pazuri, eti mi binadamu nakubali vipi kukimbizana na nyani...
  2. Kazanazo

    Napendekeza njia hii itumike ili kuimarisha maadili mema nchini

    Badala ya kuotesha majani halafu tuzuie mbuzi wasile ni bora tusioteshe majani ili hao mbuzi wasipate pakula Badala ya kuweka mianya ya rushwa kupitia katiba halafu tuzuie viongozi wasile rushwa ni bora tukaziba mianya ili hao viongozi wasipate pakulia hiyo rushwa Badala ya kuingiza mitumba...
  3. Davidmmarista

    Roadmap ya karne hii ya kutokukosa hata shilingi mfukoni!

    Habari za Wadau wa JamiiForums! Salamu kwa wapambanaji wote wa maisha, wale wanaokimbiza ndoto zao bila kusubiri kesho ifike. Huu ni mwaka wa ushindi, mwaka wa kufungua milango ya fursa, mwaka wa kuhakikisha hakuna mfukoni mwetu unakosa hata senti moja! Kama unataka kuondokana na hali ya kuishi...
  4. Eli Cohen

    Hii ya fisi 17 wenye chapa kuuliwa sio bure kuna sehemu na namna mitambo ilitingishwa.

    Either kikundi chao walifanyiana civil war wenyewe Or walikuwa hacked/infiltrated/disrupted na adui yao alietaka kuwa expose. Sio kirahisi rahisi hivyo mashine zao kupigwa chini maana hawa jamaa wamefanya hii kazi vizazi na vizazi bila ya kuwa exposed kirahisi rahisi hivi. Inakuwaje mtu...
  5. Gordian Anduru

    WIMBO HII WA VIJANA JAZZ UNAITWAJE?

    Mara ya kwanza uliniomba tucheze wote Muziki wa kwetu siwezi kukataa ....... Mimi ni mke wa mtu ooo mama eeh NImeshaolewa
  6. Lycaon pictus

    Video hii ni fake. AI imefika pabaya sana.

    https://youtube.com/shorts/MSt3ulTfcb4?si=UI9WsdIJxfArjaif
  7. Determinantor

    Hii video haina Maadili, Huwezi kupiga picha na Rais ili umringishie ex wako

    Sijajua kilitokea nini Hadi wahusika wakakubali kitu cha ajabu namna hii kikatokea. Hili lililotokea halikua sehemu ya uchekeshaji.... Huwezi kuomba kupiga picha na Rais WA Nchi (Mwanamke) eti ili umkomoe Ex wako. This is bulshit na Kwa kweli tuzuie huu ujinga usiendelee.
  8. MamaSamia2025

    "Maria mkingiwa dhambi ya asili msimamizi wa nchi yetu" Ina maana gani kwenye hii barua ya TEC?

    Kuna hii barua ya TEC kuwataka wakatoliki kumuombea kiongozi wao mkuu Papa Francis... Wamenichanganya na maandishi yanayosema "Maria mkingiwa dhambi ya asili msimamizi wa nchi yetu". Kwa kuwa imetajwa nchi yetu ndo nimetaka kujua zaidi Maria ahusike kuilinda.
  9. MwananchiOG

    Kwa hali hii ya kubebwa Ligi kuu si bure miaka yote timu inaishia robo fainali haijawahi kuvuka wala kupata hata medali CAF

    Hii ni aibu kwa Ligi yetu, si bure baadhi ya vilabu vinabebwa Ligi kuu ila kule CAF miaka nenda rudi timu inaishia Robo fainali haijawahi kuvuka hatua hiyo, Ni kama laana, Timu inakosa hata medali moja ya CAF ila ukija katika ngazi ya Ligi inaonekana timu bora kumbe kuna bahasha na makosa ya...
  10. Bueno

    Wanawake Pitieni hapa Naomba Maelezo yenu hii imekaaje?

    Sitaki kuongea sana soma hapo kisha toa maelezo mwenyewe.
  11. I

    Matokeo ya usaili Tanzania Aviation Authority

    Hamjambo humu? Imekua mara yangu ya kwanza kufanya written interview za serikali. Nimefanya nafasi ya accounts officer ii, nimepata 78 ila sijawa selected. Nimelichukulia hili jambo very positive na next time nitapambana zaidi.
  12. GENTAMYCINE

    Poleni sana Wakazi wa hii Mikoa tajwa Tanzania kwa Joto Kali mnalolipitia sasa

    Nimetoka kutizama Taarifa ya Habari muda si mrefu na kuona Watanzania wenzangu huko mliko mnavyotaabika sasa kwa Joto Kali ambalo huenda likawa limevunja Rekodi Polemi sana Wakati wa Dar es Salaam, Pwani, Morogoro, Tanga, Lindi, Mtwara na Zanzibar (Unguja na Pemba) Nilipo Mimi Kampala, Mubende...
  13. Mapenzi ya Mungu

    Sio JF pekee itakuunganisha na mwanamke jaribu na nja hii..

    Una kila sababu na kupata umpendao... Pata wanawake wa mataifa mbalimbali na ongeza furaha hapa...
  14. AlphaPii

    Mafundi Seremala,kabati kama hii inagharimu kiasi Gani?

    Gharama yake ni shilingi ngapi wakuu?
  15. kavulata

    Hotuba hii ya Wamarekani itafsiriwe katika lugha zote, inatuhusu wote,

    Hotuba hii JD Vance, Makamu wa Rais wa Marekani alikuwa anawaambia watu wa Ulaya lakini ukweli ni nchi zote za dunia hii na Tanzania ikiwemo, kifupi JD anawaambia viongozi wa Ulaya waache tabia ya kuwatenga, kuwaadhibu, kuwateka na kuwabambikia kesi raia wao wenye mawazo tofauti na yao, badala...
  16. D

    Ufafanuzi juu ya uteuzi wa namna hii unaoleta mijadala: Aliyestaafu ameteuliwa kumrithi aliyestaafu kuwa mstaafu

    Rais AMEMTEUA Jaji mstaafu Awadh Mohammed bawazir kuwa mwenyekiti wa mamlaka ya rufani ya zabuni za umma (PPAA) AKICHUKUA nafasi ya Jaji MSTAAFU SAUDA MJASIRI Ambaye AMESTAAFU
  17. Kiranja Mkuu

    Nchi inapigwa sana hii, maghorofa ya Jeshi Mwenge, yanapangishwa kwa raia

    Haya magholofa ya jeshi yaliyoko Mwenge Kijijini, Dar es Salaam, yamekuwa yakipangishwa kwa raia. Wajanja wachache wamekuwa wakijinufaisha na majengo hayo ambayo yamefanyiwa ukarabati mkubwa na jeshi. Gharama ya kupanga nyumba hizo ni kuanzia laki tano na kuendelea, namna utakavyojiingiza...
  18. K

    Hii imekaaje?

    Habari wanaJF Hapa ni Sehemu ya kupata maarifa na Elimu mbalimbali!Utakuta mtu kaja nyumbani kwako au Sehemu umekata umejipumzisha na unaongea na simu. Mara ghafla na yeye anapokea simu na kuweka sauti(Loud speaker)anaanza kuongea hapo hapo! Unakuwa vulugu kama vile mko vilabu vya pombe za...
  19. Abraham Lincolnn

    Miaka 64 ya uhuru: Watu wanakwama kwa siku 18 kisiwani bila usafiri, Hii ndiyo CCM

    Serikali inayojinasibu kukusanya matrilioni ya mapato ya kodi, Mwaka hadi mwaka inavunja rekodi! Achilia mbali vyanzo vingine vikuu vya mapato ambavyo nchi yetu imebarikiwa, kama madini, vivutio vya utalii, ardhi safi na amani inayohubiriwa kila siku! Lakini kwa miaka zaidi ya 60, Mkulima...
  20. Zuwenna

    Kuuliza Sio Ujinga; Nimepokea Sms hii Je kuna anaye fahamu kuhusu Hili?

    Nimepokea sms ambayo Imenichanganya sana Sio nimechanganywa labda na tamaa Au Kishawishi kilichopo hapo kwenye Sms hapana Kilicho Nichanganya ni Mtumaji . Huyu mtumaji Nimejaribu Kwenda Hata Google Sioni Majibu Yanayo Eleweka kabisa Mimi muoga sana Kufunga Kitu kinaitwa Link Kutoka Sehemu...
Back
Top Bottom