Haya ni mawazo na mtazamo wangu Tu na sio lazima ukubaliane na mimi!
Kwa jinsi mambo ya uvunguni ya shirika kubwa la misaada la USAID yanavyozidi kuweka wazi na jinsi myororo WA ushahidi unavyowaunganisha wanasiasa na watu maarufu, CIA, vyombo vikibwa vya habari,nk nchini Marekani naanza...