hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hii ndio adhabu inayopaswa kupewa hawa matapeli wa soka

    1: Wamiliki wanapaswa kufosiwa kuuza timu maana kwa miaka 9 walitumika katika kufanya utapeli. 2; Kuvuliwa mataji yote walio shinda na kupewa timu zilizo kuwa nyuma yao au kushindana nazo katika fainali 3; Kushushwa daraja 4: Kupigwa faini nzito Ni mimi mtaaalamu wa sheria kutoka nyarung'ombe.
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kuna viashiria na uwezekano mkubwa kwamba chadema wanaandaa, kuratibu na kupanga fujo siku ya hukumu ya Tundu Lisu.

    Hii ni kutokana na hali ilivyo, baada ya maelezo ya mwisho ya mtuhumiwa wa uhaini kuibua hisia mseto, ikiwa ni pamoja na hatima maisha yake na siasa. Kutokana na hilo, huenda Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kinapanga na kuhamisha fujo na vurugu siku ya hukumu ya Tundu Lisu. Uchochezi huu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maswali 5 ya kujiuliza ktk Final submission ya Lissu

    1. Alipata wapi internet na kwa muda gani? Ili kufanya research ya kina, kusoma hukumu, sheria, nyaraka na maamuzi mbalimbali, internet au chanzo kingine cha taarifa kingehitajika. Ikiwa alikuwa chini ya ulinzi, ni muhimu kujua alipataje na lini fursa hiyo. 2. Alipata muda gani wa kufanya...
  4. k-bee

    JamiiForums Tanzania Hii bandika bandua kunani jikoni

    WanaJamvi muhali gani?? Mwenzenu najiulizaga sana kunani jikoni mara baada ya wazee 27 kusukwasukwa na hata zikaja tetesi kuwa kuna mpya inakuja huko kuna kusukwasukwa na kuchekechwa...! Laahaulaaaa! Leo tumejionea kijani lesotho kikichekechwa na kuchambuliwa kuna watu leo mirija imekata na...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kumbe hii miaka yote Man City anatudunda alikuwa anatumia njia za wizi wizi

  6. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Taifisheni mabasi yote yaliyogoma kufanya kazi Leo hii ni hujuma dhidi ya uchumi wetu

    Husika kichwa cha habari hapo chajieleza, kugomea kufanya kazi kwa basi ambalo lilisajiliwa kufanya kazi ya kusafirisha abiria ni hujuma kubwa sana. Hebu jiulizeni wagonjwa wangapi wameshindwa kupata huduma za afya? Watoa huduma wangapi wameshindwa kutoa huduma kwa kushindwa kusafiri? Hii...
  7. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ngoma hii ya Michael Jackson.

    Wadau mwenye ngoma za Michael Jackson kama ifuatavyo anisaidie. Smooth criminal They don't care about us When I come of age Stranger in Moscow Blood on the dance floor N.k. Nitashukuru sana .🤝
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ni nini cha zaidi wanacho kipata wamiliki wa ist mpaka wananunua hii gari kwa 20M.

    Kwa miliki wa IST ni kitu gani kinakufanya uipende hiyo gari, tupeni siri jamani 😃
  9. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wazoefu wa hii njia: Nina safari ya Dar - Kahama, sasa Nina Maswali hapa Msaada

    Nina safari ya Dar - Kahama, Kikazi, ila nitafanya kazi siku 2 tu then narudi Dar. Sasa nilipenda nitumie hii chance kutembelea mikoa/wilaya nyingine za Kanda ya ziwa, wakati narudi. Mahitaji yangu: Kwenda nisiendeshe zaidi ya 500 km kwa siku, kwahiyo Njiani nilale 2 nights. Njia gani ni...
  10. Msanii

    JamiiForums Tanzania Makonda na BASATA: Dudubaya sasa ni talk of the world. Fungieni na hii video kama nyie vodume

    YOU BERA WACH YUA BAACK, HALI NI MBAYA
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je mwanao ana changamoto ya kutoelewa kwa haraka na mwepesi wa kupoteza kumbukumbu? Hii hapa tiba halisi.

    Sukari huathiri kile kinachoitwa mfumo wa limbic (limbic system). Mfumo wa limbic ni kundi la miundo ya ubongo inayohusishwa na hisia, kumbukumbu na michakato mingine ya kujifunza. Huhusika katika udhibiti wa hisia na uundaji wa kumbukumbu, jambo ambalo huchangia katika mchakato wa kujifunza (...
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba hakuisikia hii hotuba?, Anatuvuruga bila sababu.

    TUsiwalaumu wazanzibar kwa sisi kukosa serikali ya Tanganyika. Wakati Nyerere anayasema haya hata Mzee Warioba alikuwa hajafa, alikuwepo na yupo hadi sasa. Alimjibu nini Nyerere aipoyasema haya? https://youtube.com/shorts/oaqKz32hEsw?si=w9HDVY3pWZGaavNV
  13. R

    JamiiForums Tanzania PhD ya uchawa hii hapa

    Kuna mtu kweli hapa!!! Na watoto wanasema tunaye baba? Na mke anasema ninaye mume?
  14. R

    JamiiForums Tanzania Convocation yà PhD ya Uchawa ndiyo hii hapa

    Msikilize Mheshimiwà huyu. He is an authority in the field of UCHAWA making a presentation on his convocation day
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Hii hapa tofauti kati ya Maandamano na vurugu.

    Oct29 yalikuwa maandamano au zilikuwa ni vurugu? Haya hapa ndio maandamano https://youtu.be/i26Ae91J380?si=4_KrCM19JMS7N9iR
  16. D

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa wewe ni mwalimu hii kesi ungeitatuaje?

    Wakuu, hebu tuwekane sawa kidogo. Nimeona video moja mtandaoni huko facebook naamini ilikuwa ya mwishoni mwa mwezi wa nane maana sijatumia facebook muda mrefu kidogo.mtoto mdogo wa kama miaka saba analia sana kwa sababu amefaulu vizuri darasani lakini hajapewa zawadi kama wanafunzi wenzake...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Leo Hii Watu Wanapuuza Habari za El Nino kama Wakati Nuhu Anawahubiria watu Kuhusu Ujio wa Gharika watu walimpuuza

    HAKIKA LEO HII WATU WANAPUUZA TAARIFA ZA EL NIÑO KAMA VILE NYAKATI ZA NUHU: Je, Tunasubiri Gharika Itukumbuke Ndipo Tuamini? Ndugu zangu wa JamiiForums, leo nimekaa na kutafakari sana mwenendo wa jamii yetu linapokuja suala la kuchukulia kwa uzito tahadhari zinazotolewa na mamlaka za hali ya...
  18. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hii kesi inawavua nguo mawakili wa serikali nani wa kuwavisha tena? Njia pekee ni kuwateua wawe majaji

    Huu ni ushauri wangu kwa serikali, Yanayoendelea mahakamani ni aibu aibu aibu aibu, Tundu Lissu anawavua chupi mawakili wa serikali mchana kweupe. Ni aibu mh rais wateule wawe majaji tusiwe tunawaona mara kwa mara ni aibu
  19. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Machinga wanaonewa sana na Serikali hii

    Naweza kuandika maneno elfu 10 lakini. ukweli ni kwamba machinga wanaonewa sana. Nature ya biashara zetu hapa bongo asilmia 80 ni uchuuzi. hawa watu wanateseka na hawana mtetezi. Wasubiri Uchaguzi watarudi tena barabarani na huwa wanatumiwa kama TP
  20. bless on

    JamiiForums Tanzania Hii ndo sababu kwanini wazee wanapenda kuoa vitoto vya afu mbili

    Kwenye vitabu vya kale vya historia, kuna siri moja iliyobaki kwenye kurasa za zamani: Wakati Mfalme Daudi alipokuwa mzee sana na mwili wake ukikosa joto, washauri wake hawakumletea nguo nene za sufu. Walimtafuta binti mbichi kabisa aitwaye Abishag ili alale naye. Lengo halikuwa tu...
Back
Top Bottom