Mzee Warioba hakuisikia hii hotuba?, Anatuvuruga bila sababu.

Mzee Warioba hakuisikia hii hotuba?, Anatuvuruga bila sababu.

Kavulata weye ni mjukuu wa ngapi wa huyu babu yako unaye manga kwa kulishwa maneno na mafisi wa kijani?
Ana umri wa baba yangu mdogo, sio babu. Nyerere kaifuta Tanganyika yeye akiwepo. Alikuwa makamu wa kwanza wa Rais, akawa mwanasheria mkuu wa serimali na akawa waziri mkuu akiwa hakuna Tanganyika. Yeye wakati wao walishindwa kuifufua Tanganyika, lakini sasa anamtaka Samia ndiye ailete Tanganyika kwa nguvu atake asitake.
 
Hakudhani kuwa nchi ndogo inaweza kuimeza nchi kubwa, akasahau kuwa nchi ndogo zinaweza kuzipiga nchi kubwa kijeshi, na nchi ndogo zikijipanga zinaweza kudominate nchi kubwa!
 
Back
Top Bottom