Milion 20 nanunua Vanguard au Harrier
Na kama unamiliki kabla haijafika million 20 pia naweza kutoa Siriš,Kwa miliki wa IST ni kitu gani kinakufanya uipende hiyo gari, tupeni siri jamani š
Kwanini mtu asinunue aqua hybrid au honda fit hybrid maana kama mafuta inanusa zaidi ya istMatajiri wanahama kutoka kwenye Land cruiser VX kubana matumizi ya mafuta. IST ambayo ni low mileage, kwa watu hao wala hawazi hiyo 20M ila kwa wanaojitafuta hiyo bei bado ni juu sana. The same for Ractis, Spacio, premio etc
Harrier si itakua iliyojichokea sana barabarani mkuu??Milion 20 nanunua Vanguard au Harrier
Hizo zinaweza kuwa nzuri kuliko hata hiyo IST lakini soko la Tanzania linafuata trend zaidi na wengi wananunua gari kwasababu wamemuona rafiki, ndugu amenunua gari hilo basi na wao wananunua. Pia popularity ya gari inapelekea upatikanaji wa spare parts kuwa rahisi na kwa bei nafuu.Kwanini mtu asinunue aqua hybrid au honda fit hybrid maana kama mafuta inanusa zaidi ya ist
Na kinapakika vizuri sana hako maana kafupi na hata kina resale value nzuri sana, halafu demand ikiwa kubwa pia bei huwa inakuwa juu, kingine ni toyota hiyo.Matajiri wanahama kutoka kwenye Land cruiser VX kubana matumizi ya mafuta. IST ambayo ni low mileage, kwa watu hao wala hawazi hiyo 20M ila kwa wanaojitafuta hiyo bei bado ni juu sana. The same for Ractis, Spacio, premio etc
Vanguard hata 10 sinunuiMilion 20 nanunua Vanguard au Harrier