1)Ni Gari unaenda kituo cha mafuta Kwa kuona aibu ,siyo Kwa hofu ya kuzimika ETI imeisha mafuta,Na hiyo hiyo Ni NCP 61,
2) NCP 61 km 800 huitaji kituo cha kulala, hapo una overdrive , Gari KIBAO unaenda Nazo sambamba
3) inachanganya fasta unapo-overtake madam service zako ziwe standard,ie engine oil 5-30 viscosity, directly kutoka vituo vya mafuta kama Castrol,total NK,
4) spare cheap Sana,
5) kama hujaweka vyuma vya kuinua juu inaitika Sana Kwa gravitational unapokuwa Lami, una uwezo WA kufika 120 Na Bado you feel it, Kwa udogo wake Ni speed kubwa
Ubaya wale
1) zinafanana Sana ,unaweza fikiri mlango umegoma kufunguka kumbe unafungua ya MTU mwingine
2)rough road unaweza Isi shockup zimekufa
3) watu wengi wanaisema Vibaya Hadi wajinga ambao hata uwezo WA kumiliki pikipiki Hawana Na Hawaii kuwa nao
4) kama unaipenda rough road utapitwa hata Na tractor
NB: binafsi naipenda Sana hii Gari, NCP 61, forward , hii machine Sana , sopati picha NCP 65😂😂