Ni nini cha zaidi wanacho kipata wamiliki wa ist mpaka wananunua hii gari kwa 20M.

Ni nini cha zaidi wanacho kipata wamiliki wa ist mpaka wananunua hii gari kwa 20M.

Kama umeipenda ichukue tu mkuu , mimi kwa binafsi yangu naona kama ni chuma ya kishamba mbo bora ist Mad Max

Sisi wenye mavitambi ukikaa kwenye IST unakuwa kama unekaa kwenye mbuzi (kiti cha kukunia nazi). Space ndogo hiyo gari sana, kuanzia driver seat mpaka, rear passengers seats.
Pia unatumia kigezo gani kisema Outlander gari ya kishamba? Vijana wa dar mbona mnadharau sana!!
 
Back
Top Bottom