endesha
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 1,680
- 2,760
Bongo shida ni utitiri wa kodi bwana mkubwa..Bei halisi ya gari inalingana au kukaribiana na kodi za Gavoo.Nilimtumia mtu huko TZ , Jumla kulipia hela ya gari huku ilikuwa ni kama kmil 26M hapo TZ Akaitoa 24M
Hiyo ni ya mwaka 2016
Wakati naondoka TZ vanguard zilikuwa 26 hadi 28
Enzi ya JPM hizi gari zilikuwa 27M
I think TZ WATU mnq hela sana
Gari aina ya IST Huku majuu nanunuq dola 2500….. imeisha hiyo
Huko TZ unatoa 20M mmh nimekuja kugundua TZ watu wanahela na wanaishi expensive life ya kimasikini