https://youtu.be/mcg2S5LIRAw?si=nJ_oe-WDuw_gE84f
K. Dot akitupa ladha wazee, story teller, mistari na mziki uliokuwa kwenye circle, patterns, hook 🔥🔥🔥🔥
Mstari unaotenganisha Rap na uhuni ni mwembamba sana.
Mimi ni mmoja wa watu wanaopenda zaidi rap kuliko aina yeyote ya mziki. Ili roho yangu isuuzike kusikiliza mziki basi inabidi iwe rap. Zamani nikiwa dogo nilikuwa sipati shida kuupa moyo wangu kile unataka.
Sasa unakuwa bro, kinachosemwa...
1986: Kuanza Safari Baltimore School of the Arts
Nilikulia katika maisha ya kawaida ya huko Bongo land kabla ya familia yangu kuhamia Marekani kutafuta maisha bora. Mwaka 1986, nilijiunga na Baltimore School of the Arts, shule maarufu iliyojulikana kwa kukuza vipaji vya sanaa. Nikiwa huko...
Kwenu wadau mnaofatilia kiwanda cha mziki huu wa bongo, je ni msanii yupi wa kike unafikiria tunaweza kumpa taji la umalikia katika mziki wa hip hop ya bongo.
Bahadhi ya wasanii waliowai kufanya vizuri katika mziki huu
ZAY B
SISTER P
DADA JOO
RAH P
WITNESS KIBONGE MWEPESI
CHIKU KETO
ROSA LEE...
Uzuri sauti yake inambeba kuingia kwenye mifumo ya genre nyingi na content tofauti za muziki
Nyimbo alizoua Chorus na kishirikishwa
1.Bongo DSM na Prof Jay
2. Alikufa Kwa Ngoma na Fa
3. Machoni Kama watu Na Ay
4. Nyaluland na Mike T
5. Ama zangu Ama zao na Gk&ECT
6. Sikiliza Na Ngwea
7. Hawajui...
Mamtoni Kuna ranking za verse Kali za Hip hop ambazo vesi kama zifuatazo zimepata kupewa hadhi ya juu mara nyingi,
NY state of mind verse 1- Nas
Shook one verse 1 - Prodigy - Mob Deep
Loose your self verse 1- Eminem
Long kiss good night verse 1 - BIG
Change verse 1- 2 Pac
Life is bitch vers 1 -...
Natazamwa kama mgongo
Wa kuegewa kama chombo
Nikitegemewa na watoto
Lakini kwa ndani mi' ni mtoto pia
Mtoto wa katikati
Njiapanda kati ya
Ukweli na uongo
Ukubwa na udogo ama
Upofu na uchongo
Ama pumbazo na mwongozo
Katikati ya uhalisia
Na mategemeo
Karibu na jitihada
Mbali na egemeo
Sina...
Kizazi cha kuanzia kwa Mkapa chukueni hii
MAKUNDI YA BONGO FREVA ENZI HIZO:
1. BDP (BIG DOG POSE) - Majobless
2. BORN CREW - Heshima ya ndoa
3. BOYZ FROM THE ARMY - Siku za hukumu
4. BWV (Boys With Voice) - Mzee mchana usiku kijana
5. CBM CREW (Check bob Maarifa) - Kipi kikusitikishacho
6...
Kila mwanaume ana vigezo maalum au sifa anazozitazamia kwa mwanamke ambaye angependa kuwa naye kwenye ndoa, na mara nyingi tabia hizi zinakuwa ni msingi muhimu kabla ya kuingia kwenye mahusiano. Msanii wa muziki wa Hip Hop, Rashidi Abdallah, maarufu kama Chidi Benz, amefunguka kuhusu aina ya...
MOVEMENT YA HIP HOP KUPITIA MEDIA ZA MWANZA.
Mwanza kupitia Radio Free Africa na Kiss FM walifanya mapinduzi makubwa sana kwenye kuiendeleza Hip hop na hii waliifanya makusudi ili kutoa ile dhana kwamba ukiwa Dar ndio utatoka kimuziki.
Kwenye harakati hizi za kuhakikisha Hip hop inafika mbali...
Hii ngoma iliyokutanisha manguli wa muziki wa Rap hapa Tanzania Kwa miaka hiyo kiukweli ilipikwa,ikasukwa na ikasukika ki kwelikweli!
Kiukweli ninayo Jeuri kusema ya kwamba "Kama Kuna mtu anadhani Kuna ngoma Kali kuizidi hii naomba aiweke hapa na nitampatia Tsh 100,000/=
Hii ngoma iliachiwa...
Tasnia ya sanaa inaoneka kuwa mtu akiwa mwanamuziki au muigizaji au muhuni lakini imeonekana kuwa na faida baada ya kutoa viongozi mbalimbali nchini. Baadhi ni hawa:
1. Hamis Mwinjuma 'Mwana FA'
Ni Mbunge wa Muheza pia ni Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo
2. Nickson Simon 'Nikki wa...
HIP HOP IN ZANZIBAR...
MUziki wa Rap ni Muziki pekee ambao hutoa Elimu kwa jamii kutokana na aina ya Tungo au Mashairi wanayoimba wasanii wanaofanya Muziki Huo ..
Kwa Hapa Tanzania tuna list ya wasanii wengi sana waliofanya makubwa katika tasnia Hii ya Muziki wa Rap..
Wasanii Hao ni kama
2...
MUZIKI wa Hip hop au Kemo kama unavyoitwa kitaalamu ni mama wa aina nyingi za muziki tunaousikia, umekuwa na mzuka wa aina yake kwa mashabiki hasa pale MC anapokuwa jukwaani akimwaga ladha ya mistari kwa mistari konde.
Nadhani asili na chimbuko lake ndiyo limefanya uwe muziki wenye amsha amsha...
Habari za wakati huu wadau wa Muziki natumai mmeamka salama.
Wapenzi wa Muziki Aina ya Hip Hop nina imani mnaitambua vyema Historia ya Muziki huu, Muziki huu Asili yake ni nchini Marekani, lakini kibongo bongo Muziki huu ulishirika "Hatamu" Miaka 1990 na kuna makundi kibao ya Muziki wa Hip Hop...
Mwanamziki wa Muziki wa Bongo Fleva na Hip Hop Balozi Dola maarufu kwa jina la Dola Soul ambaye kwa sasa anaishi nchini Marekani amesema muziki wa Hip Hop katika nchi hiyo umepoteza uhalisia wake wa mashairi yenye ujumbe wa maisha badala yake sasa wamejikita zaidi kibiashara.
Balozi aliyewahi...
HIP HOP YA BONGO.
Wasanii wa hiphop wanaunda sehemu kubwa na ya muhimu katika muziki wa Tanzania. Japo kuna watu wanaoamini kuwa ushindani kati ya rappers wa Tanzania umepungua ukilinganisha na wasanii wa kuimba Tofauti na zamani.
Kuna Harakati mbalimbali Mfano okoa Hip hop movement kibao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.