Singida, Dodoma...
Man, I wish ungemuona, anavyojitingisha
Jinsi nyuma alivyoshona
Yeah! Singida, Dodoma...
Yeah, mtoto amenona na anavyotetemesha
Zaidi hata tranformer/ X2
(Verse 1)
Yo! Kwa jina ni Irene, huyu bonge la queen
Mtoto wa ku'shine kwenye cover za magazine
Age yake ni kama twenty...
Wadau,
Nianze na motive yangu ya 2022 UTAJIRI NI SIRI NA SIRI NDIO UTAJIRI WENYEWE
Twende madani, mashabiki wazamani wa hip hop wanajua kulikuwa na vikundi vya hip hop matata sana na vilikuwa vina moto na amsha amsha nyingi sana kwa kipindi iko.
Kuna vikundi kama Kikosi cha mizinga chini ya...
JAMANI EEEH. NYIMBO GANI YA ZAMANI YA HIP HOP BONGO FLEVA HADI LEO HAUJASAHAU MISTARI YAKE?
MIMI KUNA HII HAPA CHINI YA JCB INAITWA SINA TAXI REMIX. HEBU TILILIKA NAYO HUKU UKITUPA NA WEWE LYRICS ZA NYIMBO UNAYOKUMBUKA HADI LEO.
Eni sina,
Wamenipukutisha mapene kichina,
Usiku wa manane after...
Wakuu kwema?
Watu wa Hip-Hop ebu tukutane hapa kidogo,,,Hivi ni versi gani kali ya Hip-Hop hapa Bongo uliwahi kuisikia mpaka ukasema yes hii ni versi bora kabisa kuwahi kuisikia hadi leo huchoki kuisikiliza,,,
Kwangu mm versi yangu bora ya muda wote alifanya Albert Mangwea kwenye ngoma...
Doro aliimba stimu ya Kuber ndo imeshaleta matata
Yeye ndo anajua jinsi ipi alikua na demu mkali ila umaarufu akauweka pembeni
Akatia usanii mbele kama ule wa Prof Jize, na skills za Weusi jinsi ambavyo walimshirikishaga Chin Bees mnyama ilihali wao pia wanaimba. Na unaeza cheki skills za Joh...
Huyu mwamba ni habari nyingine mazeee
Ana mistari matata sana, kwenye hii sanaaa
Leo nagusia sehemu ndogo sana ya mistari yake kwenye track mpya ya pamoja kutoka weusi (mbuppu)
Pia nitaonyesha uhusiano wa michano yake na jigga
Daah huyu jamaa anajua ukiachilia flow hatari haijawahi tokea...
Eve Jihan Jeffers Cooper au wengin tunamjua kama EVE, rapper wa kike kutoka nchini Marekani, Philadelphia huko kwa kina Meek Mill na wengine wengi. Watoto wa 2000's ni ngumu kumjua huyu mwanamama unless uwe unapenda kusikiliza ngoma ambazo zilikua zina heat kipindi unazaliwa 😂 😂, usinune bhana...
Naandika nafuta maana nikiandika hii nyingine inakuja naona kama iko mzuka kuanza nayo nikitaka kuanza nyingine inakuja sasa nimekaa hapa hata sielewi nianze ipi nimalize na ipi 😫😀😀
Wazee list yenyewe hii hapa inayovuruga kichwa
Quincy Jones - Producer nambari moja dunia kwa upande wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.