hip hop

  1. K

    TANZIA Producer Geof Master aliyefanya kazi Tongwe Records afariki dunia

    Habari wanaburudani, nimepokea taarifa za kusikitisha za msiba wa Producer Geof Master muda huu. Naambiwa alikua kalazwa Ocean road. Mara ya mwisho kuonana nae mitaa ya Tegeta alikuwa na uvimbe puani na alikuwa kwenye harakati za kufanyiwa upasuaji. Naambiwa leo asubuhi amefariki. Mama yake...
  2. central midfielder

    Ni zipi ngoma kali za Hip Hop 2023?

    WAKUU KWEMA. HABARI ZA ASUBUHI. TUKUTANE KIDOGO HAPA NDUGU ZANGU WA HIP HOP. Wakati tunaenda kuumaliza huu mwaka 2023. Nitajie Top 10 ya ngoma zako bora ambazo umesikiliza sana kwa mwaka 2023 kwa upande wa Hip Hop lakini. Sio hizo trap. Ukishindwa nitajie top 5 yako..Yale mawe makali ya HIP...
  3. central midfielder

    Collabo ya Hip hop

    DIZASTA VINA FT CONBOI. Hii ndio collabo ambayo naisubiri sana kwenye game la Hip hop sijui itakuwaje. 🔥🔥🔥
  4. FK21

    Khaligraph Jones vs Tanzania rappers, Je Khaligraph atawaweza Wabongo?

    Jana imesambaa Video ya kalighlaf akijisifia kuwa hakuna rapper yeyote BONGO TZ anaemuweza ku rap "Labda maneno ya wahenga masikini akipata mato.." Kalighlaf BONGO amekuwa introduced na NIKKI MBISHI baada ya Nikki kumshinda Kali kwenye FREESTYLE EAST AFRICA BATTLE Ndiyo wakafanya na ngoma ya...
  5. OKW BOBAN SUNZU

    Hii hapa rap ya karne kwa African Hip Hop

    https://youtu.be/UiIa2i29PZ4 R.I.P Father Nelly wa Xplastaz Nimesikiliza hii nyimbo tangu nikiwa bwana mdogo mpaka leo nimekuwa broo! Nafikiri tukubaliane sasa kwamba kwa Hip Hop hii ndio rap bora zaidi kwa karne hii kwa African Hip Hop. Hii ngoma ilizingatia vigezo vyote. Mistari inaeleweka...
  6. BARD AI

    Hip Hop inatimiza miaka 50 leo. Ni ngoma gani za Hip Hop unazikubali kwa muda wote?

    In the rec room of an apartment building on Sedgwick Avenue, an eighteen-year-old Clive Campbell throws a back-to-school party with his younger sister Cindy. Friends and neighbors dance to the familiar sounds of artists like James Brown, Aretha Franklin, and The Meters — only something has...
  7. Intelligent businessman

    Je, ni wana hiphop gani wameweza kutisha au kufanya vizuri hapa Afrika?

    Kwenye kiwanda cha Hiphop Tumekuwa tukishuhudia vipaji vingi na uandishi mzuri wa mashairi. Kuanzia kizazi Cha kina Tupac, rakims, jada, Jay z, eminem, Wayne na hata N.big. 👉Ambao wamekuwa wakitajwa Kama mafundi wa mashairi ya mazuri. Lakini Leo nimeona tuangazie je ni Wana hip hop gani wame...
  8. HERY HERNHO

    Biden: Urusi haitashinda Ukraine

    Rais wa Marekani, Joe Biden amesema Urusi haiwezi kushinda vita dhidi ya Ukraine. Matamshi hayo ameyatoa mjini Warsaw, Poland ikiwa ni saa kadhaa baada ya Rais wa Urusi Vladimir Putin kusema Urusi itaendeleza mashambulizi yake ambayo yanakaribia kutimiza mwaka sasa. Rais Biden akionekana wazi...
  9. BARD AI

    Hii ndio Midundo (Beats) ya Hip Hop 50 Bora ya Muda Wote

    Kwa mujibu wa RAP CAVIAR na Spotify hizi ndio ngoma 50 zenye Beats kali kuwahi kufanywa. Una maoni gani hapa? 1. Still Dre - Dr. Dre & Snoop Dogg 2. Shook Ones Pt. II - Mobb Deep 3. Grindin' - The Clips 4. Who Shot Ya? - The Notorious B.I.G 5. A Mill - Lil Wayne 6. Power - Kanye West 7. Its...
  10. OKW BOBAN SUNZU

    Tuzo ya Mwanamuziki Bora Hiphop ni dharau kwa wana Hip Hop

    Wasanii waliochaguliwa kuwania Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Hiphop wa Mwaka kwa upande wa Wasanii wa Kiume katika Tuzo za Muziki za Tanzania TMA2022 ni Kala Jeremiah Billnass Countrywizzy Fid Q Joh Makin Hakika wana Hip Hop tumedhalilishwa sana, tunazidi kudhalilishwa. Sikubaliani na uwepo wa...
  11. Saad30

    Msanii wa Hip Hop Bongo Boshoo asaidiwe uwandishi

    Boshoo kama upo humu hii ni yako.. Style yako ya kurap na uwandishi bado ni moja tu. Tangu....atoke Tanga hadi kwenda dar kutafuta tobo bado ni hivyohivyo tu.. Clouds Media wanambeba lakini wapi.. Eti naye kamchana Dizasta Vina 😂😂😂😂 dogo kazingua.... Nendeni kaskilizeni track yake mpya EL...
  12. Mimi Ni Mtu Wa Mungu

    Nimezoea Reggae na Hip Hop leo nimeiongeza Gospel kwenye orodha yangu

    Jioni baada ya kutoka mihangaikoni nimekaa geto, nikitafakari siku yangu imeendaje. Wakati huo wa kutafakari huwa napenda kusikiliza muziki na miziki yangu mara nyingi ni Hip Hop na Reggae ila leo nikaamua nisikilize Gospel. Dah, siku yangu imeisha vizuri mnoo. Hawa wamehusika kuniburudisha...
  13. P

    Hip Hop ya U.S kwa 90% imejaa matusi. Kwani Bongo tunachakujifunza kwao zaidi ya Production?

    Mziki wa Hip Hop unafungamanishwa na ugumu yaani u-hardcore, nyimbo nyingi za Hip Hop zinapewa sifa ya kuibadilisha jamii kifikra. Lakini kwa bahati mbaya sana, wasanii wengi wa mziki wa aina ya Hip Hop hasa hasa kutoka Marekani kwa kila nyimbo wanazoimba basi zinajaa matusi ku.anzia mwanzo...
  14. Scars

    Hip Hop Diss Tracks: Dizasta Vina amjibu Rapcha

    Ya saizi kapiga dakika 11 kabisa
  15. Dj Aiman

    Je, hip hop ndio mziki bora wa wakati wote? Vipi kuhusu misingi yake?

    Hip hop ni aina ya muziki unaoelezea aina ya usanii na utamaduni uliyotokana na jamii ya Wamarekani Weusi na Walatino kunako miaka ya 1970 mjini New York City, hasa katika kitongoji cha Bronx na badae katika miji mikubwa yote Marekani alafu Dunia nzima.Muziki wa hip hop pia huchukua tabia...
  16. Saad30

    Hii ni kwajili ya mashabiki wa Fid Q na muziki wa Hip Hop tu

    Habari wakuu, Naomba kunanza na Track hii ya Fid Q ft Juma nature, SIRI YA MTUNGI. Naandika mistari ya hii ngoma nitakapoishia atendelea mwingine hadi track kuisha, kisha mkuu mwingine anaweka track tunapita nayo. Song: Siri ya mtungi Fid Q ft Juma Nature Verse no: 1 Nilipotoka...
  17. OKW BOBAN SUNZU

    Baada ya Muziki wa dini, mziki namba mbili ni Hip Hop

    Hii tathmini nimeifanya kwa muda mrefu sana, takribani miaka 20 sasa. Nimejiridhisha kabisa baada ya miziki ya dini basi mziki unaofuata ni Hip Hop. Hip Hop ni jina lenye maana kubwa, pana na muhimu zaidi kama mtu utalifuatilia kiundani zaidi. Mfano Manju Kool Herc alisema, "Hip Hop ni kemia...
  18. Akilihuru

    Unajua kwanini 90% ya wana-hiphop huamini kuwa 2pac ni king wao?

    Wakuu inakuaje, nina amini kila mtu yuko vizuri kiafya au sio wakuu. Sasa leo nawaletea mada muhimu, na yenye kueleweka vizuri kwa kila mtu atakaesoma thread hii. Mada hii inamhusu rapper maarufu wa muda wote 2pac Amaru Shakur, ambae pamoja na kwamba ameshafariki miaka 26 iliyopita, Lakini...
  19. Crocodiletooth

    TANZIA Rapa mkongwe wa Hip Hop, Coolio afariki Dunia

    Mkongwe huyo wa Muziki wa Hip Hop aliyetamba na Wimbo wa Gangsta's Paradise amekutwa na umauti akiwa na umri wa miaka 59 nyumbani kwa rafiki yake Los Angeles, Marekani. Rapa huyo ambaye jina lake halisi ni Artis Leon Ivey Jr inaripoti chanzo cha kifo chake ni Mshtuko wa Moyo lakini Polisi...
  20. aka2030

    R&B na Hip Hop zilizotamba kwa muda wote Tanzania

    Kwa sisi tuliozaliwa karne iliyopita ambayo karne hii tulikuwa na uelewa kidogo na kufuatilia music tutakubaliana kuwa nyimbo hizo enzi zake zilibamba sana na mpaka sasa zikipigwa sehemu lazima shangwe 1. Dilemma-Nelly ft Kelly 2.Make it rain-fat joe 3.In da club-50cent 4.Ineed a girl -p diddy...
Back
Top Bottom