hisa

  1. Mi mi

    TRUMP: Sitizami soko la hisa

    Trump yeye hajali hata kuhusu soko la hisa https://x.com/spectatorindex/status/1897740651107864732?t=LM3GG61kwI11WIYkLzbAhw&s=19 Je, ni kweli au siasa siasa tu za kujaribu kuongea uongo ili kuficha performance ya sera zake ? Huyu ni Rais Trump 2020...
  2. Pfizer

    Serikali Yatoa Maagizo kwa Soko la Hisa na TCB Kuwezesha Uwekezaji kwa Wananchi

    Serikali imeagiza Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) na Benki ya TCB kuhakikisha kwamba Watanzania wanapata elimu ya kutosha kuhusu umuhimu wa kuwekeza katika soko la mitaji kwani ni muhimu kuongeza ushiriki wa wananchi katika uwekezaji wa hisa, ili kuchochea ukuaji wa uchumi na kusaidia...
  3. waziri2020

    Waziri Silaa akiri kasoro usajii wa Vodacom katika Soko la Hisa Dar

    Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa ameeleza kwamba sheria ambayo ilitumiwa na serikali kuishurutisha kampuni ya simu ya Vodacom kusajili asilimia 25 ya hisa zake katika Soko la Hisa Dar es Salaam DSE imekuwa na matokeo mabaya. Slaa ambaye alikuwa...
  4. X

    Masoko ya hisa ya Marekani yapoteza karibu Dola 1.2 Trilioni kwa ujio wa DeepSeek, Makampuni makubwa ya AI yaanza kuhaha

    NASDAQ na S&P 500 ndio masoko ya hisa pendwa zaidi kwa makampuni ya teknolojia ya Marekani na nje ya Marekani Makampuni kama NVIDIA (Marekani) designer wa AI GPU, TSML (Taiwan) watengenezaji wa chips za 3nm na 5nm kwa ajili ya AI, ASML (Nerthelands) watengenezaji wa EUV lithography machine for...
  5. Mike Moe

    Hatifungani ya Azania bank yaorodheshwa rasmi soko la hisa

    Sasa ni rasmi hatifungani hiyo iliyofanikiwa kuvuka lengo la mauzo kwa kufikisha mauzo ya asilimia 210.9 kwa kukusanya sh. Bilioni 63.3, sasa itauzwa kupitia mawakala wa soko la hisa na mitaji.
  6. J

    Nimpeleke mtoto shule ya milioni 1.5 au hela nimuwekezee UTT au hisa?

    Wakuu kuna mtoto wangu kaanza shule mwaka huu, chekechea ada yake ni milioni 1.5 ukijumlisha na vikorokoro vingine inaweza fika jumla milioni 1.7 Sio muumini sana wa hizi shule, ila mama yake ndio aling'ang'ania sana tumpeleke huko baada ya kuona rafiki zake nao wamepeleka watoto wao shule za...
  7. Mike Moe

    Hisa za DCB commercial Bank

    Wataalamu wa mambo naomba kujuzwa kuhusu ununuaji wa hisa za DCB, na mnazionaje kwa mwaka 10 mbele vipi kuna uwezekano wa kupata faida kubwa
  8. Mike Moe

    Naomba wenye uelewa kuhusu hisa za bank ya CRDB tujuzane

    Habari wana jamii naomba wenye uelewa kuhusu hisa za bank ya CRDB tujuzane, mtu anakuaje mwana hisa, hisa moja ni tsh ngapi, na faida zake zikoje mfano ukiwa na hisa kumi unafaidikaje baadae
  9. amshapopo

    Safari ya kujitafuta 2025 inaanzia hapa! Hisa 129,700 za CRDB, NICOL 3864, UTT 400k safari inaendelea

    Wakuu, Mwezi january ndo huo unapamba moto, baada ya mapambano makali ya mwaka jana na bata la desemba, sasa narudi ulimwengu wa vita ni vita Mura. Kifupi liwalo na liwe nikipata nipate, nikikosa nikose. Kifupi mshahara wangu ni 1000k+ as take home. Kwanzia mwezi huu huwa nina tabia ya kusave...
  10. amshapopo

    Mfumo wa hisa wayumba hamna kuingia kwenye Ac zetu! Nini shida?

    Wadau wa hisa leo mmeliona hili tatizo? DSE mnakwama wapi? Nawasilisha ila mpaka sasa bilabila na hamna taarifa rasmi.
  11. Mwakawasila

    Fanya haya kupata faida kwenye hisa

    Kunufaika na hisa (au uwekezaji katika soko la hisa) kunahitaji kuelewa jinsi zinavyofanya kazi na kuwekeza kwa busara. Hisa ni umiliki wa sehemu ndogo ya kampuni, na unaponunua hisa unakuwa mshirika wa kampuni hiyo. Hapa ni njia za kufaidika na hisa: 1. Faida Kutokana na Ongezeko la Thamani...
  12. Mwakawasila

    Umuhimu wa juhudi na subira katika uwekezaji

    SUBIRA, JUHUDI NA ....soma Hadi mwisho ujue Cha tatu Kulikuwa na mkulima mmoja aliyepata mbegu ndogo sana kutoka kwa rafiki yake. Mbegu hii ilionekana dhaifu na isiyo ya thamani, lakini rafiki alimwambia, "Mbegu hii ina uwezo wa kukua na kuwa mti mkubwa wenye matunda ya kipekee, lakini lazima...
  13. Huihui2

    Qatar Air Yanunua Hisa 25% Za South African Air Link

    Qatar Airways has acquired a 25% equity stake in South African airline Airlink, one of Africa’s largest carriers. The deal, which was signed on August 20, 2024, in Doha, builds upon years of collaboration between the two airlines, which already codeshare some of their flights. After this...
  14. Kaka yake shetani

    Kwanini Forex na uwekezaji katika hisa inaonekana ni Utapeli?

    Forex na uwekezaji katika hisa mara nyingi huonekana kama utapeli kwa sababu ya sababu hizi hapa: Udanganyifu na Ahadi za Faida Kubwa: Watu wengi wanavutwa na matangazo yanayodai kuwa unaweza kupata faida kubwa kwa muda mfupi bila juhudi nyingi. Mara nyingi, haya ni matangazo ya udanganyifu...
  15. amshapopo

    Ukisikia kujilipua ndo huku. Ml 60 hisa za CRDB bank, liwalo na liwe!

    Wakuu, Maisha bila kujilipua hayaendi. Kifupi kama unanifuatilia nilijichanga UTT AMIS na kuweza kupata kiasi cha 60ml sasa nimetoa hiyo hela yote na kununua hisa za CRDB. Kifupi, liwalo na liwe nikipata sawa na nikikosa sawa. Mungu jaalia. Nitaleta mrejesho baada ya Mwaka kupitia.
  16. greater than

    Leo naomba nitoe elimu fupi Juu ya Hisa, faida yake na mtu unawezaje kushiriki

    Leo naomba nitoe elimu fupi Juu ya Hisa,,,,Hisa ni nini,faida yake ni ipi na mtu unawezaje kushiriki.... Karibuni katika Darasa hili by Mwalimu Architect Kabla ya kwenda moja kwa moja kwenye Hisa,hebu tujuzane juu ya Kampuni. 1. KAMPUNI : Ni biashara iliyo sajiliwa kisheria kwa ajili ya kutoa...
  17. greater than

    Mambo muhimu ya kuzingatia wakati kuchagua kampuni utakayonunua hisa zake katika soko la hisa D.S.E

    Kuna watu wanatamani kuwekeza kwenye soko la hisa lakini hawajui wangalie mambo gani kabla ya kuzingatia kwenye kuchagua kampuni ya kununua hisa zake. na hili suala lina wakumba mpaka baadhi ya waliowekeza kwenye hili soko,wanakuja kujilaumu baadaye. Leo tuangalie mambo muhimu ya kuzingatia...
  18. greater than

    Masoko makubwa ya Hisa barani Afrika

    Kwa wengi wetu neno hisa ni neno tuliloanza kuliskia tangia udogoni,lakini hata hatuelewi lina maana gani,,,Hii ni kutokana na serikali kutoiweka elimu hii muhimu katika mitaala na kutupatia elimu ya kujua wapi kuna fuvu la kale,dah,, Soko letu la hisa linajitahidi kujipambanua japo kwa...
  19. greater than

    Kwa wenye nia ya kuwekeza na soko la hisa D.S.E

    Za asubuhi wananchi wenzangu na watafutaji wenzangu... Leo nimeamua ku-share na ninyi Kikotoo changu changu nilichokiunda kwa kutumia Program ya Microsoft excel kwa ajili ya kunisaidia kudadavua taarifa za kifedha za makampuni yote ya ndani yaliyo orodheshwa kwenye soko la hisa la Dar. Mimi si...
  20. dr namugari

    Jinsi nilivyopoteza milioni mbili kwenye soko la hisa

    Mwaka 2014 nilishawishika kwa mara kwanza kuekeza kwenye biashara za hisa, Basi nikapata abcd za namna gani na faida za za kuekeza kwenye masoko ya hisa na nikafanya maamuzi ya kununua hisa katika kampuni moja ya uchimbaji na utafutaji wa mafuta inayoitwa Swala energy. Basi nikapewa list ya...
Back
Top Bottom