Swali kwa wana Simba na wengineo:
Uwekezaji wa simba Mo anamiliki 49%, wanachama wengine wa simba wanamiliki 51%.
Why bilioni 20 ya Mo Dewji tu ndio inakomaliwa iwekwe? Na kwa nini wanachama wengine wamiliki wa 51% hawaulizwi bilion 22 wao wanaziweka lini?
Naona kama mo ananyonywa vile...
Najaribu kujiwekea Akiba ya hivi visenti vyangu kwa kuangalia tofauti ya taasisi mbali mbali. Kitu kinachonishangaza ni kwamba utaratibu wa mamlaka kutoa elimu ya kwenye haya masoko ya hisa imekuwa mgumu binafsi nimekwenda zaidi ya mara kadhaa DSE na UTT ila kiukweli sijaelewa chochote mbaya...
Huyu JATU anajiita JATU PLC, Public Limited Company maana yake yuko kajiorodhesha kwenye soko la hisa la Dar es salaam. Sina hakika kama yuko kwenye soko la hisa ila ninacho jua ni aina ya upigaji anao ufanya.
Nashangaa mamlaka husika zimelala, haiwezekani ujiite PLC then uendeshe mambo gizani...
Kwa kile kinachoitwa muendelezo wa Marekani kuiwekea mbinyo China, sasa Marekani inatarajia kuziondoa kampuni zote za kichina kwenye masoko ya hisa ya Marekani kwa kutofuata kanuni za ukaguzi wa Marekani.
Kanuni za ukaguzi wa Marekani zinataka kila kampuni inayouza hisa zake Marekani ikaguliwe...
Hii kampuni ya Tanzania oxygen Tol Gas hakika imekua pasua kichwa kwa wanahisa wake.
Ndio ya kwanza kuingia soko la hisa Dar es salaam ila hawajawahi kutoa gawio tangu wameingia soko la hisa hadi jpm juzi alipoanza kukaba mashirika na kampuni zenye hisa za serikali kutoa gawio ndio wametoa...
It’s highly unusual for a 20 year+ established Stock Exchange to have a trading volume of 0 - a whole trading day without a single share being traded. Not even a cent! One for the financial history
Kutokana na Covid19 makampuni mengi yametangazwa bei zake kushuka kwa kasi, hasa nchi zilizoendelea. Kushuka kwa hisa mambo kadhaa kwa wanunuzi wa hisa, lakini pia huashiria kitu kwa kampuni husika ambayo hisa zake zimeshuka
Hisa zikishuka bei huwa, watu hawana hela ya kununua hisa, hela huwa...
1. Hisa ni nini?
Hisa ni sehemu ya umiliki wa kampuni. Hivyo hisa moja inawakilisha asilimia ndogo ya umiliki katika kampuni. Kama kampuni ina hisa milioni moja na mwekezaji anamiliki hisa 10,000, mwekezaji huyu anamiliki 1% ya kampuni. Mwekezaji anayenunua hisa basi ananunua haki ya kumiliki...
hivi hisa Mfano mtu umeuza Nani huwa anahakiki kuwa hisa za Fulani zimeuzwa Leo na kuhakiki kuwa hizo pesa zinaingia kwenye akaunti ya mhusika kwa wakati?
Na gawio la wanahisa likitoka nani anayehakiki kuwa Hilo gawio linaenda kwa wahusika kwa wakati?
Moderators msiipeleke hii habari jukwaa...
Kupata Watanzania wengi matajiri sio rahisi tusiporuhusu watu kununua hisa na kuuza kwenye masoko makubwa ya hisa Duniani yaliyoko Ulaya, Marekani na Japan. Huko ndiko matajiri wa dunia huzalishwa kwenye hayo masoko
Pia Kuwezesha nchi kuwa na pesa nyingi za kigeni badala tu ya kutegemea mauzo...
Kwenye hoja yoyote Kuna aina tatu ya audience Kuna prisoners, graduate na holdermaker. Graduate ni aina ya watu ambao wanajifanya wanajua kila kitu wakati vingine hawajui ukimpempeleka kwenye soka yeye anakuwa kocha ingawa taaluma ya ukocha hana, ukija kwenye siasa anajifanya anaijua siasa...
Mkurugenzi wa vipindi clouds media Joseph kusaga amefunguka kuhusu kudaiwa kuwa ana hisa ndani ya wasafi media kupitia mahojiano yake na jonijoo kwenye kipindi Cha bartender amesema " sina hisa zozote ndani ya wasafi na Wala sijawahi kumchangia chochote diamond zaidi ya kumpa ushauri kuhusu...
Tanzanian Tycoon Rostam Aziz Sells Last Tranche Of Vodacom Shares For $220 Million
Tajiri Kongwe nchini Tanzania Rostam Aziz, Hatimaye amemalizia Ngwe ya Mwisho ya Mauzo fungu la mwisho la Hisa zake za Vodacom Tanzania kwa kuwauzia Vodacom South Africa.
Kwa Mujibu wa report kutoka Citizen...
Makubaliano ilikuwa ni serikali kufidia wote waliopoteza ardhi ili kupisha mradi.
Kwa kugharimia zoezi hilo Tanzania tungepatiwa kiasi fulani cha hisa ktk Bandari hiyo ambayo itakuwa kubwa kuliko zote Afrika Mashariki.
Sasa serikali imeshindwa kufanya hivyo na kupelekea kuukabidhi mradi mzima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.