hisa

  1. I

    Kwa wanaofahamu, naombeni muongozo wa jinsi ya kusajili kikundi cha hisa na mikopo

    Naam naona kichwa cha habari kimejitosheleza, naomba mjuzi anipe muongozo wa utaratibu mzima wa usajili.
  2. K

    Serikali iweke mazingira ya watanzania kununua hisa kwenye mradi wa LNG

    Serikali ikubaliane na wawekezaji kuwa wananchai watanzanai wamiliki hisa, kwenye mgodi wa Gas wa LNG kule lindi.. Wasiwaachie wazungu ndo wanufaike harafu serikali inabaki na vihisa kidogo huku ikusubiri faida na kodi tu,, tuseme hapana lazima watanzania waweze kumilikishwa asilimia 20 % za...
  3. K

    Gawio la Hisa CRDB

    Kama mwanahisa napenda nielemishwe kwa yafuatayo:- (1) Ni kigezo gani kinachotumika (Directors fees)mathalani Wakurugenzi 10 kulipwa Tshs.965,000,000 kwa mwaka na hii ina maana ya Tshs 96,500,000 kwa Mkurugenzi moja kwa mwaka na Tshs 8,041,666 kwa mwezi kwa mkurugenzi moja na kwa siku...
  4. K

    Gawio la hisa za CRDB

    Jana kulikuwa na mkutano wa wanahisa wa CRDB kule Arusha na katika agenda ya gawio kwa wanahisa waliazimia kuwa kila hisa moja watatoa gawio la Tshs.36. Binafsi kama mwanahisa sijaridhika na gawio la Tshs.36 kwa hisa mpaka nipate majibu kwa yafuatayo:- (1) Ni vigezo gani mliotumia kufikia...
  5. H

    Hisa za DCB zinalipa?

    Naomba kuuliza ili nipate kujua Maana nisije ingizwa chaka, mwenye kujua tafadhali.
  6. K

    Malipo ya hisa zangu

    Ninazo hisa kadhaa kwenye Makampuni mbalimbali lakini sijapata malipo yangu kwa muda mrefu. Nimesikia kuwa kuna kampuni inaweza kunisaidia kufuatilia mgawo wangu wa hisa zangu. Ninawaomba kama mtu anaweza kunipa jina la kampuni hiyo, namba ya simu au barua pepe anisaidie ili niweze kuwasiliana...
  7. Lady Whistledown

    USA: Elon Musk anunua 9.2% ya hisa za Twitter

    USA: ELON MUSK ANUNUA 9.2% YA HISA ZA TWITTER Hatua hii inamnafanya Mkurugenzi Mtendaji wa Tesla kuwa mbia mkubwa wa kampuni, karibu mara nne ya ukubwa wa hisa za mwanzilishi Jack Dorsey ambazo ni 2.25%, kulingana na ripoti ya forbes Ununuzi huu unakuja wiki kadhaa baada ya kuishutumu Twitter...
  8. Tony254

    Britam imeuza 6.7% ya hisa inayomiliki ya Equity bank kwa IFC ambayo ni taasisi ya World Bank na kupokea ksh 13 billion.

    Ukiona World Bank wananunua hisa za Equity bank ujuwe kwamba wao wameona Equity bank ina future nzuri. Britam insurance ilinunua shares za Equity zamani sana wakati bado Equity ilikuwa kampuni ndogo. Britam imeuza 6.7% ya shares ya Equity kwa IFC ambayo ni taasisi ya World Bank na kulipwa ksh 13...
  9. U

    Kwanini Makampuni Makubwa ya Gas na Madini hayapo soko la Hisa DSE tofauti na Ulaya

    Kwanini Makampuni Makubwa yaliyowekeza nchi mbalimbali duniani ikiwemo Urusi, Ulaya, USA na China yameorodheshwa kwenye stock market za nchi husika Ila Tanzania Makampuni Makubwa ya Gesi na Madini hayapo, Tena mengine yanafanya kazi hapa lakini yapo kwenye masoko ya Hisa ya Ulaya. Au mi...
  10. Kulupango

    Je, mtaji wa hisa Ulioidhinishwa huhesabiwaje wakati wa kufungua kampuni?

    Msaada ndugu Mtaji wa hisa Ulioidhinishwa huhesabiwaje wakati wa kufungua kampuni? How is Authorised share capital calculated?
  11. Masokotz

    Je, unafahamu maana ya Hisa na Authorised Share Capital?

    Kama umewahi au unamiliki kampuni basi maneno yafuatayo yatakuwepo katika msamiati wa maneno yako Share Capital, Authorized Share Capital, Paid up and issued shares. Maneno mengine ambayo utakuwa unayafahamu ni pamoja na maneno kama Limited Liability, n.k. Kupata maana ya maneno haya ni rahisi...
  12. KingOligarchy

    Twenzetu Uganda: Jinsi ya kununua hisa za MTN Uganda

    Uwekezaji nikiimanisha (investment ) ni jambo la busara kwa kila mtu sababu linatengeneza Passive income. Tukija kwenye masuala ya Hisa ama Stocks wale wanaoinvest kwa mfumo wa kupata Dividend na sio speculation mara nyingi wanatoboa sana,sababu eventually price ya hisa mara nyingi itakuja kuwa...
  13. F

    Vodacom hawajatoa gawio la hisa mwaka huu, shida nini?

    Kampuni ya mawasiliano kwa njia ya simu za mikononi Vodacom, hawakutoa gawio kwa wana hisa wake, shida nini? Ni kawaida kutoa gawio mwezi June au July, lakini mwaka huu hakuna kitu. Kunanini Vodacom?
  14. Wang Shu

    Ipo hatari hapo mbele wanaomiliki hisa 51% kumgeukia MO kama Simba Sc itafanya vibaya ndani na nje

    Wapenzi na mashabiki wa Simba wameridhia Mo kumiliki timu ilimradi wanapata furaha na makombe hawatarajii na hawategemei kama Simba itakuja kushindwa sidhani kama wataweza kumvumilia pale mambo yakienda kinyume na matarajio yao.
  15. Naanto Mushi

    Suala la Serikali kununua Ndege na suala la Dewji kununua hisa za Simba yana ufanano wa maamuzi yanayofanyika bila tathmini ya kifedha

    Katika mambo yote yanayohusu matumizi ya fedha huwa kuna pande mbili. Upande wa mnunuzi wa pesa 'Buy side' upande wa muuzaji wa pesa 'Sell side'. Kwahiyo tayari hii ni transaction kamili kama vile ilivo mtu unavoenda dukani kununua mkate, mnunuzi unahitaji mkate ili ukanywe chai na muuzaji...
  16. M

    Msaada: Nahitaji kufahamu jinsi ya kununua hisa

    .
  17. E

    Hivi ndivyo unavyoweza kusoma Taarifa za Fedha na Kuanza Uwekezaji katika Soko la Hisa (Masoko ya Mitaji)

    Habari ndugu msomaji wa mtandau huu, karibu katika mfululizo wa makala zetu za kukuelimisha katika nyanja ya uwekezaji katika hisa. Leo ningependa kuzungumzia kuhusu namna na urahisi wa kusoma taarifa za fedha za Kampuni ambazo zimesajiliwa katika soko la hisa. Vile vile somo hili la leo...
  18. MC RAS PAROKO

    Fanya hivi kunufaika na ongezeko la tozo katika miamala ya simu (M-Pesa, Tigo Pesa, Halo Pesa)

    Ni matumaini yangu mu buheri wa afya, Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi. kwa kuwa kam tujuavyo kumekua na kilio kikubwa kutoka kila kona nchini kutokana na ongezeko la gharama za kutuma na kutoa pesa kupitia simu zetu (Mobile Money Transactions). Nikiwa ni muhanga...
  19. hiram

    ELIMU YA HISA: Simba wakipata bil40 za Azam basi 49% ni za Mo Dewji

    Mfanyabiashara Mo Dewji anamiliki asilimia 49 ya hisa za Simba, Kama Simba watapata dili la kama la Yanga la bilioni 41 basi moja kwa moja asilimia 49 ya pesa hiyo itakwenda kwa Mo Dewji ambayo ni sawa na bilioni 20 na milioni tisa. Hisa ni nini? Hisa ni namna ya kuchanga mtaji wa biashara...
  20. FRANCIS DA DON

    Kampuni ya Pfizer kutengeneza faida ya Shs. Trillioni 70 mwaka huu wa 2021

    Taarifa hapo chini zinasema kwamba, kampuni ya kutengeneza chanjo za Corona, Pfizer, inatarajiwa kutengeneza faida ya shs.Trillion 70 kwa mwaka huu wa 2021 pekee, je, nawezaje nunua hisa walau 10 tu za kampuni hii? Ikumbukwe, hii ni bajeti halisi ya Tanzania kwa miaka zaidi ya miwili (2) ---...
Back
Top Bottom