Serikali awamu ya 4 ilikuwa ni moja ya Serikali Fisadi zilizopata tokea Barani Afrika. Kwa wanasiasa na watoto wao kuchuma mali kadri ilivyowezekana.
Mpaka kufikia kuuza/gawa viwanja/maeneo ya Serikali kutumika na Makampuni binafsi. Refer eneo la Tazara kupewa Kampuni moja ya kuuza Mafuta ya...
Hello bosses, kuna baadhi ya media hasa za Spain na mashabiki wa Ronaldo wanakuza sana effect ya hili jambo la Ronaldo kuweka pembeni chupa za coca cola na kuchagua maji wakidai kitendo hicho kilifanya hisa za Coca cola kushuka.
Nimeona sio mbaya kuchambua hili jambo kwa sababu ni uongo mtupu...
Naomba mwenye ujuzi wa taratibu za kufuata ili niuze hisa zangu naomba mwongozo!Mwaka 2013 nilinunua hisa za benki ya Mwalimu.Hadi leo hakuna kinachoendelea nimeishiwa kupewa tu risiti.Kila nikiuliza nakutana na "uswahili"uliosheheni na majibu yasiyoeleweka!Naombeni utaratibu wa kuuza hisa hizo...
Kwa muda mrefu sasa tumekuwa tukihamasishwa kulinda mali zinazoitwa za umma na kutahadhalishwa kuwa atakaechezea mali ya umma atawajibishwa. Imekuwa hivyo kwa miongo kadhaa na imezoeleka hivyo pamoja na kwamba ni ulaghai tu.
Kwenye mjadala huu pamoja na upana wake ningependa kuwaalika wadau...
Habari ya muda wanajamvi? Napenda kujua kitu kimoja kuhusu HISA, inasemekana kampuni inapopata hasara basi hakuna gawio.
Swali ni kwamba je, HISA zako zitakuwepo hata kampuni ikifirisika na ili uziuze kwa bei ya hasara au ikifirisika unakosa kila kitu.
=========
Makampuni mengi yanayokuwa na...
Millicom wameamua kuuza Tigo kwa kampuni ya Madagascar, hivyo tutarajie tigo kubadilisha jina muda si mrefu.
Jamaa naona wanakimbia uchumi wa kijamaa, uchumi usioangalia Market Force bali unaongalia wanyonge wanasemaje.
Habari zaidi:
Dar es Salaam. Kampuni ya Millicom International...
Nimeona niongee tuu ninacho kiona mie , kama sioni vizuri niko tayari kufundishwa.
Makampuni ambayo yanafanya vizuri kweny Soko la Hisa (DSE) miaka yote ni Sigara na Beer na hii naamanisha kuanzia kupanda kwa Hisa zake pamoja na ugawaji wa dividends kwa wamiliki wa Hisa. Sisemi hazishukagi...
Sijui kama niko sawa ninachokiona kwenye soko la hisa la Dar es salaam kwamba tangia mwaka 2015 soko hili limeenda likishukaa taratibu nikimaanisha bei za share za makumpuni karibia yote. Yaani share nyingi zilikuwa kwa kiwango cha juu mwaka 2014. Baada ya apo zimeenda zikiporomoka kila mwaka...
Toleo la awali ni mauzo ya hisa na dhamana kwa umma kwa mara ya kwanza kwa ajili ya kukusanya mtaji. Kwa lugha nyingine inajulikana kama IPO (Initial Public Offer) Mauzo hayo yana kipindi chenye ukomo.
Baada ya hapo, kama mwekezaji anataka kuwekeza kwenye kampuni hiyo atatakiwa kwenda kwenye...
Mwekezaji anayetaka kuuza hisa atafuata taratibu zifuatazo:
Wasiliana na dalali wa soko la hisa na kumweleza kusudio lako la kuuza hisa
Kabidhi hati yako ya umiliki wa hisa kwa dalali. Dalali atahakiki umiliki wa hisa hizo kabla ya kuuza
Kama hisa haziko kwenye hifadhi ya hisa, dalali...
Mwekezaji anayetaka kununua
hisa atafuata taratibu zifuatazo:
a) Kuwasiliana na dalali wa soko la hisa na kumweleza kusudio lako la kununua hisa
b)Kujaza fomu maalum za kununua hisa na kulipia hisa unazotaka kununua
c) Dalali ataweka fedha kwenye akaunti maalum ya benki kwa ajili ya kununua...
Hisa ni sehemu ya umiliki wa kampuni. Hivyo hisa moja inawakilisha asilimia ndogo ya umiliki katika kampuni
Kama kampuni ina hisa milioni moja na mwekezaji anamiliki hisa 100,000 mwekezaji huyu anamiliki 10% ya kampuni. Mwekezaji anayenunua hisa basi ananunua haki ya kumiliki kampuni.
Stahili...
Hisa zikishatolewa na makampuni ya umma haziwezi kurudishwa mpaka kampuni itakapofilisika. Lakini hisa zinaweza kuhamishwa kutoka mmiliki mmoja kwenda kwa mmiliki mwingine.
Hivyo kama mtu anayemiliki hisa atahitaji kubadilisha hisa zake kuwa pesa hatoiomba kampuni kumfanyia hivyo bali atatafuta...
Soko la Hisa la Marekani na baadhi ya nchi zilizoendelea yako very flexible kiasi ambacho kampuni kushuka au kuongezeka net worth ndani ya masaa ni jambo la kawaida sana.
Chukulia mfano Corona ilivyoweza kufanya makampuni kama zoom kuinuka kwa kasi na hisa zake kupanda chati kwa kasi, au hivi...
Habari wana JF
@ Soko la hisa, UTT AMIS na Hatifungani
CRDB Bank PLC ni kampuni mojawapo iliyoorodheshwa hisa zake katika soko la hisa la DSE.
Hisa za CRDB zimekuwa zikifanya vizuri katika soko la hisa la DSE kwa urahisi wa kuuza au kununua, mabadiliko ya bei na kutoa gawio wa wanahisa wake...
Mauzo ya Iphone yamekua madogo kuliko matarajio ya kampuni ya Apple kupelekea hisa za kampuni kushuka kinyume na matarajio Apple.
https://mobile.reuters.com/article/amp/idUSKBN27E3FP?__twitter_impression=true
Habari za kutwa wana JF.
Matumaini yangu wote mu wazima na mnaendelea vizuri kwa ujumla.
Kwa muda mrefu nilikuwa nafatilia juu ya uwekezaji katika soko la Hisa la Dar es salaam na mifuko (DSE) ya UTT ila bado sijaelewa mambo yanaendaje na nilitamani sana kuwekeza katika maeneo hayo nikaona...
Nyakati zabadilika kweli. Tanzania Uganda, na Rwanda zimeungana kuunda soko moja la hisa. Tumetoka siku za COW hivi sasa nchi za Africa mashariki zinaendelea kuitenga Kenya. Kenya imepoteza deals kadha za ukanda huu kwa mda wa hivi karibuni but we still hold strong. Haya yote yanafanyika bila...
Inafika hatua naanza kujiuliza hivi kwasababu sioni ni kitu gani au ni faida gani inayopatikana kiasi cha kushawishi watu hawa kuendelea kununua hizi ndege.
Unawezaje kuendelea kuwekeza hela nyingi katika biashaara ambayo inakutia hasara au huoni faida yake?
Nawaza sana juu ya hili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.