Habari zenu wana jamvi, kama kichwa kinavyojieleza kiukweli natamani sana kufanya uwekezaji kupitia hisa lakini sifahamu wapi nitaanzia hasa kuyapata hayo makampuni na miongozo mbalimbali.
Kama kuna mtu anaelimu juu ya jambo hili anifunze, ahsanteni.
Leo hii Jumatatu April 17 2023 Serikali imesaini mikataba na kampuni tatu za madini za Australi zinazohusisha uendeshaji wa uchimbaji wa Madini ya Kinywe (GRAPHITE) na madini adimu (RARE EARTH ELEMENTS) katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma na kushuhudiwa na Rais Samia Suluhu Hassan...
Wadau poleni na majukumu nilikuwa naomba kuuliza jinsi ya kunua hisa za NMB au CRDB ni mpaka uwende DSE.
Kingine je faida za hizo hisa zake kwa aliyejiunga zikoje naomba mwenye uzoefu tafazali maana napenda sana uwekezaji nimevutiwa na platform mbali mbali nilizokuwa napitia nimeziona pia...
HISA ZA KAMPUNI BINAFSI
Hisa za kampuni binafsi ni hisa zinazomilikiwa na watu wachache ambao wamealikwa na kampuni kushiriki katika umiliki wake. Kampuni binafsi mara nyingi hazina nia ya kuorodheshwa kwenye soko la hisa na kuuza hisa zao kwa umma.
Kwa kawaida, hisa za kampuni binafsi...
brela
company
fahamu
hisa
kampuni
kampuni binafsi
kisheria
kodi
kodi ya biashara
kuzingatia
lending
mambo
mambo ya kuzingatia
policy
private
sera
sera ya ukopeshaji
tujifunze
usajili brela
usajili wa biashara
usajili wa kampuni
Baada ya Harmonize kulalamika kuwa wasambazaji wa kazi zake Zikiii wanakula sahani moja na WCB kumhujumu , wadau mbali mbali wameibuka na kuanza kunyetisha za ndani.
Inavyoonyesha WCB hawakwepeki kwenye Sanaa ya bongo , utawatukana unavyojua Ila ukiingia studio unawakumbatia bila kujua.
Wakazi...
Familia ya Kenyatta imepata Tsh. Bilioni 58.7 kwa mwaka mmoja kutokana na umiliki wao wa hisa za NCBA Group baada ya mkopeshaji wa daraja la juu kukaidi kushuka kwa soko la hisa na kuibuka kuwa hisa bora zaidi katika Soko la Hisa la Nairobi (NSE).
Hisa za NCBA zilipanda kwa asilimia 57.94 mwaka...
Tanzania haiishi vituko.
Soko la Hisa la Dar es Salaam wanafuatilia kampuni ambayo imesajiliwa kwenye soko hilo inayoitwa JATU PLC.
Hii ni kutokana na hisa za kampuni hiyo kushuka kutoka TZS 2,900 hadi TZS 290 sawa na angulo la asilimia 90.
Angalia hapa.
Swali la kujiuliza, kabla ya...
Ati anataka kuuza hisa zake zipi? Kama ni kweli akamatwe na ahojiwe Kwa kutupotezea muda wetu, hizo hisa alinunua lini na pesa alimpa nani? Na kama pesa ipo inafanya kazi Gani?
Ifike muda tuwakatae wahuni wanaokuja kuharibu Mpira wetu na vilabu vyetu!
Kuna mambo kadhaa nahitaji kufahamu kutoka kwa Wajuzi wa hizi kazi.
Nimeonesha nia ya kutaka kuuza hisa nikapatiwa orodha ya Madalali, sasa nipo njiapanda nitumie kigezo gani kuchagua Dalali mmoja kutoka kwenye orodha.
Na je, kuuza au kununua hisa kwa wakati ina uhusiano na ni Dalali gani ume...
Hello wana JF,
Iatia hasira sana, tangu ni nunue his hiyo bank mwaka 2015 kwa tshs 500 mpaka leo haijawahi panda na zaidi inashuka leo hii ths 380 kwa hisa.
Naona hii bank itakuja ishia na pesa za watu. Kama wameshindwa kuiendesha basi bora ifungwe. Ninachoona kuna wajanja wanakula pesa...
Wakuu,
Kama kawaida kila siku lazima nipitie kwenye mambo yangu ya uwekezaji , ndipo nilipokutana na hili
https://thebusinesswatch.com/cfa-east-africa-signs-an-mou-with-dar-stock-exchange/
https://sokodirectory.com/2022/11/dar-es-salaam-stock-exchange-signs-mou-with-cfa-east-africa-society/...
Sina utaalamu wa kutosha sana na Biashara ya HISA. Lakini nimeshauriwa, kwa kuwa muda mwingi nipo kazini basi vema niwekeze kwenye HISA.
Tafadhali 10m hiyo, HISA zipi nichangamkie?
Je ni makampuni gani Tanzania yanayotoa huduma ya uwekezaji mfumo wa hisa kwa wanachama kwa ufanisi na faida?
Na je maelezo tajwa hapa chini Yana ukweli kuzuia kupata hasara na matatizo ya afya ya akili
DSE watangaza certification yao itakayoanza mwezi ujao. Nilifanya course iliyopita na kwakweli madini niliyoyapata yalikuwa yamesimama. huwa naattend sana forums nyingi za investments na personal finance lakini hii course ilinifanya nijue kiundani jinsi soko la mitaji linavyofanaya kazi...
Thamani ya hisa zilizoorodheshwa kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) imeonesha kushuka kwa kasi katika siku 20 zilizopita huku mauzo ya DSE kwa wiki iliyopita yakipungua kwa 21.62% hadi kufikia Tsh. Milioni 890.43 kutoka Tsh. Bilioni 1.13.
Kwa mujibu wa ripoti za DSE, jumla ya mtaji wa...
MARKET EXTRA
Russian stocks sunk to levels not seen since 2017 on Monday, weighed by a global market selloff, threats of more sanctions and signs of continued unrest after last week’s partial mobilization.
MSN
Igweeee taarifa zisizo Rasmi kesho ni siku itakuwa ngumu kuanzia kwenye masoko ya hisa ya dunia sector ya mawasiliano.
Taarifa zinasema uwenda system zika down kwa masaa kadhaa wakati wa mazishi ya Malikia wa UK.
Kwa mataifa masikini soko la fx litakuwa sio zuri na uwenda kwa mtu anafanya...
Muhtasari:
Dhumuni la nakala hii ni kuelimisha jamii kuhusiana na kanuni za kuzingatia ili kuweza kutajirika kwa kuwekeza kwenye soko la hisa. Pia, kutoa hamasa kwa vijana na wajasiriamali mbalimbali kukuza mitaji na utajiri kwa kuwekeza kwenye soko la hisa la Dar es Salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.