Wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Mwanzo nilikuwa nataka niende nikanunue kiwanja Chalinze lakini nimekutana na video mbalimbali mtandaoni zikionesha the way ambavyo hizo za CRDB zikipanda kuanzia 2020 kwa kweli nimevutiwa sana
Sasa najiuliza tu hivi vijisenti vyangu nikavizike...
Wakuu, Maisha bila kujilipua hayaendi. Kifupi kama unanifuatilia nilijichanga UTT AMIS na kuweza kupata kiasi cha 60ml sasa nimetoa hiyo hela yote na kununua hisa za CRDB. Kifupi, liwalo na liwe nikipata sawa na nikikosa sawa. Mungu jaalia. Nitaleta mrejesho baada ya Mwaka kupitia.
NB: Kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.