Nina Milioni 3 ni bora ninunue hisa za CRDB au niende Chalinze nikanunue kiwanja?

Nina Milioni 3 ni bora ninunue hisa za CRDB au niende Chalinze nikanunue kiwanja?

tucker carlson

Senior Member
Joined
Oct 5, 2025
Posts
182
Reaction score
759
Wakuu,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza

Mwanzo nilikuwa nataka niende nikanunue kiwanja Chalinze lakini nimekutana na video mbalimbali mtandaoni zikionesha the way ambavyo hizo za CRDB zikipanda kuanzia 2020 kwa kweli nimevutiwa sana

Sasa najiuliza tu hivi vijisenti vyangu nikavizike kwenye kiwanja huko Chalinze au ninunue hisa za CRDB ambazo najua tu zitapanda thamani baaada ya muda
 
Wakuu,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza

Mwanzo nilikuwa nataka niende nikanunue kiwanja Chalinze lakini nimekutana lakini nimekutana na video mbalimbali mtandaoni zikionesha the way ambavyo hizo za CRDB zimekuwa kuanzia 2020 kwa kweli nimevutiwa sana

Sasa najiuliza tu hivi vijisenti vyangu nikavizike kwenye kiwanja huko Chalinze au ninunue hisa za CRDB ambazo najua tu zitapanda thamani baaada ya muda
Kununua kiwanja is the best idea!
 
Wakuu,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza

Mwanzo nilikuwa nataka niende nikanunue kiwanja Chalinze lakini nimekutana na video mbalimbali mtandaoni zikionesha the way ambavyo hizo za CRDB zikipanda kuanzia 2020 kwa kweli nimevutiwa sana

Sasa najiuliza tu hivi vijisenti vyangu nikavizike kwenye kiwanja huko Chalinze au ninunue hisa za CRDB ambazo najua tu zitapanda thamani baaada ya muda
Kama huna chanzo cha kuaminika cha mapato bora ufanye biashara achana na mambo hayo mengine
 
Shida ya Kiwanja hakina gawio mkuu. Yaani ukiweka umeweka

Ila nimeambiwa kule kwenye hisa kila mwaka kuna magawio
Hyo 3M ukinunua hisa za crdb kwa bei ya 2700 unapata around 1100 shares, ambapo kwa sasa gawio kwa share ni tsh 90. Means gawio lako la mwaka litakua 1100 x 90 ambayo ni elfu 99 bila kutoa 5% ya kodi ya zuio. Sasa akili kichwani kwako
 
Back
Top Bottom